The mission 2017
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 4,824
- 10,297
Duhh pesa za kulipa mwanaume hapana! Sina kasoro kiasi cha kukosa wa bure😏
Ubahiri tu 😀
Duhh pesa za kulipa mwanaume hapana! Sina kasoro kiasi cha kukosa wa bure😏
Nichangie basi nijiokotee dogo mmoja humu jukwaani😆Ubahiri tu 😀
Mkuu sina mzuka na watoto, kuna wakati nilijaribu ila kiukweli haviendani ni basi tu. 35+ hiviUsioe dogo dogo,
Utaishia kushikia vijana bunduki bure.
😂
Umri wako kwanza..Kuna comment naiyafuta humu endeleeni kuandika wakuu
Vitoto vitakaa kwa watoto wenzao 35+ huno ndio mwake.Mkuu sina mzuka na watoto, kuna wakati nilijaribu ila kiukweli haviendani ni basi tu. 35+ hivi
Umri wako kwanza..
Kwa African life, Tanzania in particular...mfumo wa maisha na hali ya kiuchumi haitakupa hiyo Pleasure unayoisema ya kuenjoy na young boy wa 24 yrs...kwasababu kwa maisha ya Bongo huyo wa 24 bado hana maisha kabisa amejaa stress zake za kukosa pesa au ajiraJamiinimetushape kwamba ndoa ni kitu cha lazima sana vinginevyo hamna urafiki,mapenzi au mahusiano ya namna yoyote kati ya me na ke
Na hii ndo inasababisha ndoa nyingi kuwa za hovyo kuliko maelezo
Watu wangekuwa wanadate bila kufikiria au kuweka kipaumbele cha ndoa ingekua ni rahisi sana mtu kuweka kila kitu chake mezani....yaani kumjua vizuri mtu...na ku enjoy sana
....ila sasa kwa kua focus ni ndoa
Watu wanaficha mambo yao,kila mtu anakua mnafiki aonekane mwema alafu mkishaingia kwenye ndoa hapo ndo mna unleash ur full potential ndo inakua suprise sasa kumbe huyu yupo hivi...
Mwishoni migogoro,,,,mwishoni michepuko.... dakika za jioni kataa ndoa mwanachama mpya
....kingine kwa sababu jamii inakuafanya uone kufunga ndoa ndo fainali
So kipindi cha uchumba watu wanajituma secta zote....baada tu ya ndoa kila kitu kinasimama
....mimi binafsi ningeweza kurudisha siku nyuma nisingedate mtu mzima kwa kigezo ndo waoaji wazuri
Ukishaolewa sasa ndo unaona vitu ulivyoviacha nje huko
....kama bado hujaoa wala kuolewa
Date for looks,date for good sex,date for care...good attention
Ingia kwenye mahusiano na mtu ambae
Box zote za furaha ana zitick....please achana na mawazo ya huyu ndo muoaji au huyu ndo wife material
Unapishana na vitu ambavyo ulitakiwa ku enjoy..
Sawa wa 40 atakuoa ukiwa na 25 or 28...but imagne a 24 year old d$ck...
Imagne all thise pleasure...
Unamis sehem muhimu sana ya maisha yako kwa kufocus na ndoa
.....haya mambo hayana formula but jamii inavyo force mambo ya ndoa na ndo matatizo mengi yanazidi kutokea
Kwa sababu watu wanaacha kuenjoy,kujuana na kupendana vizuri wanawaza tu ndoa
Date ur age...young than you a bit au akuzidi pia kidogo
...then enjoy mapenzi...
Kama hicho kifungo cha kujitakia kitakuja let it be automatically
Focus kwenye ku enjoy ,utakuja kuzikumbuka hizo siku
Ni hayo tu
I'm 26, pls think of me too
Exactly, naona yeye ameassume maisha ya Bongo ni kama ya New Jersey, London au Frankfurt ambapo mtoto anazaliwa na kukuta kila kitu...akiwa around 14 tayari ana Billions kadhaa kwenye account yake...Swali: Huo muda wa kuenjoy unatakiwa uanzie wapi na uishie wapi???
Miaka 7-22 hapa ni shule (Kwa yule aliyefuata mtiririko vizuri) Huyu huko msingi, sekondari mpaka chuo kuna kitu atakuwa ameenjoy!
Miaka 23-40 hapa ni kujiandaa kuwa mama (Mungu akikupa huo uwezo (Hata kama hutaki kuolewa) Maandalizi yanaanzia kwenye suala zima la kutafuta utulivu kwa maana ya kazi, biashara, mahusiano,ujasiriamali n.k.
Miaka 40s na 50s ni umri wa kutulia na siyo kuhangaika na dunia coz hamna ambacho hujakiona kwenye ujana wako.
Hapa namaanisha kuiva kiakili hasa na kuwa mtu mzima na siyo mtu mzima ovyo.
Kwenye maisha huwezi kupata kila kitu kwani ndiyo asili ipo hivyo.Hicho ambacho ulikitaka na hukukipata kubali kuwa haikuwa riziki yako na usiumize sana kichwa.
Unatakiwa ufurahie hata kwa vile vidogo ambavyo muumba amekujalia.Kosa kubwa ni kujilinganisha na wengine!!!!!!!!Maana halisi ya maisha ni wewe mwenyewe kuyapa maana!
Nb: Ni mtazamo wangu!
Foolish age 😱Umri wa kuchanganyikiwa 😁🤸
Mzigo unao sio 26 afu una kipilipili..I'm 26, pls think of me too
Wa kutosha sana.....8"Mzigo unao sio 26 afu una kipilipili..
Sawa takucheki!Wa kutosha sana.....8"
Am waitingSawa takucheki!
Unataka kusukumwa kizazi 🤣
Nimefikisha watatu so far🙇🏽♀️Unataka kusukumwa kizazi 🤣
Endelea kujikusanyiaNimefikisha watatu so far🙇🏽♀️