leo dada
JF-Expert Member
- Oct 26, 2023
- 3,790
- 18,910
Boss mkubwa huyo anione nikae kivuliniKumbe jamaa ana pesa! raraa reree, wewe ndo wakuchukua dada kumbe. Pesa unazo mkuu.
Boss mkubwa huyo anione nikae kivuliniKumbe jamaa ana pesa! raraa reree, wewe ndo wakuchukua dada kumbe. Pesa unazo mkuu.
Boss mkubwa huyo anione nikae kivulini
Harare toa majibu basi nikae kimvuliniKweli aisee! Tajiri huyo.
raraa reree toa majibu ya kunyooka yaje na dedication ya Marioo ya madiluKweli atoe majibu. raraa reree
Chivundu sasa raraa reree akiona hapa afanye maamuzi kama ya luciana wa zipomba pomba
raraa reree toa majibu ya kunyooka yaje na dedication ya Marioo ya madilu
weuweee wapi kijana @rararee na kati ya Manuel ya bozi bozianaAchaa.
..lelo makambo.. lobi makambo. Naleliee ee. Marioo naleliee eeh.
Lelo=Leo
Lobi= Kesho
Makambo/likambo= matatizo/shida
hahahahaha, enjoyNakupa hii papaa bhoneur ya Cindy japo nimelewa naweza kukosea spell inisikilize na Tresor Mandala popote alipo mwambie haya maisha tu!!
Acha habari zako weeeeeeh 😄Sina hakika halafu raraa reree inasemekana ni boss mkubwa!!! nichukue basi wangu niache kudanga ovyo
swadaktaAchaa.
..lelo makambo.. lobi makambo. Naleliee ee. Marioo naleliee eeh.
Lelo=Leo
Lobi= Kesho
Makambo/likambo= matatizo/shida
hahahahaha, enjoy
nialilke huko uliko
Acha habari zako weeeeeeh 😄
zako zipi uko wapi nije nipokee likes liveAcha habari zako weeeeeeh 😄
Hahahahaaaaaa tuta fika hukoo 😄zako zipi uko wapi nije nipokee likes live
Na enjoy hapa kwa senti zangu ghafla dj kapiga Spanish guitarhahahahaha, enjoy