Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,297
- 101,006
hahahahaha, hapa umemaanisha ,enjoy weekend leo, pande zipi sasa tukaribieNa enjoy hapa kwa senti zangu ghafla dj kapiga Spanish guitar
hahahahaha, hapa umemaanisha ,enjoy weekend leo, pande zipi sasa tukaribieNa enjoy hapa kwa senti zangu ghafla dj kapiga Spanish guitar
hahahahaahaha, umeamka poa? upate supu sasa ya mchemsho na maji mengi ,kisha zimua na mojaKwa kweli ukilewa usichat......
za asubuhi humu ndani nawasalimia jamani Chivundu raraa reree Tresor Mandala min -me kazi ziendelee
Salama kabisa...hahahahaahaha, umeamka poa? upate supu sasa ya mchemsho na maji mengi ,kisha zimua na moja
safi sana ,uko vzr ,piga kaziSalama kabisa...
mapema sana niko nalijenga taifa. huwa sinywi asubuhi hata nilewe vipi mi huwa naikata pombe na miwa