Niseme kwa story zako wewe ni age mate.Hahah siwezi kuwa mdogo wako , inasemekana na kipara na kitambi lakini😅
Kwa hali ilivyo sidhani kama tutafika nae weekend ijayo.Yule Carrick mnamfukuza lini?
Halafu kuna ile ya madilu mamaa wapi biyaHahaha kumbe😅 ukiwa na uhakika wa pombe raha sana😅 mengine yanakuja tu
Nakupa hii papaa bhoneur ya Cindy japo nimelewa naweza kukosea spell inisikilize na Tresor Mandala popote alipo mwambie haya maisha tu!!
sio mbaya wewe ni mdogo wangu nipe kazi ya kukutafutia bikra uishi nayoNimetoka kapa hapo😆😆😆
Uko sahihi kabisa Cindy kaweka vionjo vyake.Hallo hallo, hallo papaa...
Bonheur telefonee...
Ba maman mbote... Ba papa respect..
Tulemonde tchatcho....
Cyndy Le Coeur, amerudi ma huu wimbo. Wimbo huu orijino unapatikana kwenye album ya Koffii "Papa Plus" ya mwaka 1993. Nipo na mika minne hapo.
Baba yangu ni mpenzi mkubw sana wa Koffi. I grew up listening to his (Koffi) song.
Tresor Mandala
Kuna pahala imefika napewa hata bure , ila nakomaa na pombe zangu na kulala tu , 😅😅😅sio mbaya wewe ni mdogo wangu nipe kazi ya kukutafutia bikra uishi nayo
Uko sahihi kabisa Cindy kaweka vionjo vyake.
Ngumu sana mwarabu kupewa ile timu. Utd ni nembo ya Uingereza, imebeba historia kubwa pamoja na utambulisho wa Taifa laoYule jamaa hataki kuachia timu,maana anapata faida, mashabik wanapaga msongo wa mawazo..!!
Wale waarabu walikuwa wanataka washindane na Man city, mmarekan akagoma.
Wewwweeee mi bado sijachakaa niakiapia kwako sister duu+ slay queen wa kwenda😅😅 yeah numekula chumvi , kiasi chake ila sie ile ya kuchakaa ujue😅
Endeleeni kuwaamini malijendi. Akitoka carick mpeni timu lijendi mwingineTimu la kizayuni hili bwashee
mzee mwenzangu nakupa beyanga ya mbilia inua mamaa hapo pembeni mcheze rhumba kwa niaba ya leodadaNa ka sauti kake kale kembamba... hatari sana.
KivipiSijawahi kuamini kwenye kushindwa na matumaini hewa😆