Kama nilisema Manchester ni timu yangu nisamehewe🙏

Kama nilisema Manchester ni timu yangu nisamehewe🙏

min -me

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2022
Posts
61,402
Reaction score
178,026
Kujiita manjesta hii ya wapinga nyeto ni kosa langu la kwanza hapa jf , kwa kweli naomba nisamehewe sana🙏

Hii timu ina wazungu pori na matapeli kwa sasa , nimejitoa rasmi manjesta , hii nguvu nawekeza simba tu , mpaka manjesta atapata tajiri anae jielewa nitarudi🙏
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom