mzee mwenzangu nakupa beyanga ya mbilia inua mamaa hapo pembeni mcheze rhumba kwa niaba ya leodada
Hahah kweli toto la kisukuma upo rada mno, kuna watu tunatamani tupate kapo yako ila ndio hivyo tukija tumelamba bia unakoromewa kama umeiba cha mtu🤣🤣Wewwweeee mi bado sijachakaa niakiapia kwako sister duu+ slay queen wa kwenda
Kwa hizi pini utakuwa bonge la cash madamme 😄Nakupa hii papaa bhoneur ya Cindy japo nimelewa naweza kukosea spell inisikilize na Tresor Mandala popote alipo mwambie haya maisha tu!!
Oooh!!! jamanj nimekupenda ghafla!!!! sasa play list yangu nkkikupa utalia bure wekq hapo na princess of Monaco ya kofiiHizi nyimbo zote zipo kwe ye simu yangu. Ndio nyimbo napenda toka utoto wangu. Na kilingala nakijua. 😊
Oooh!!! jamanj nimekupenda ghafla!!!! sasa play list yangu nkkikupa utalia bure wekq hapo na princess of Monaco ya kofii
Mi mluga luga tu!!! Cindy aliimba upya tena humo.Kwa hizi pini utakuwa bonge la cash madamme 😄
Hivi ni papaa au mon bhenour cindy na ile sauti yake 🔥
Gen z wana wana vyao ishi na mamaa wapi biyaSafi sana. Nawaonea huruma Gen-Z wamepishana na mziki mzuri. 😊
leo dada 🍺🍻Mi mluga luga tu!!! Cindy aliimba upya tena humo.
na wewe isikilize hapo coco ya madilu inua slaya queen tamba nae
we nae ishi na Luciana ya zipomba pombaSijaelewa 😅 mambo hayo mimi mweupe sna 😆
Niambie mdogo wangu unataka kuniongezea???
genz promaxNimetoka kapa😅
sina nenoHahah kweli toto la kisukuma upo rada mno, kuna watu tunatamani tupate kapo yako ila ndio hivyo tukija tumelamba bia unakoromewa kama umeiba cha mtu🤣🤣
Mimi mdogo wako 😄 usifanye hivyo leo dadaNiambie mdogo wangu unataka kuniongezea???
Kwa hizi pini utakuwa bonge la cash madamme 😄
Hivi ni papaa au mon bhenour cindy na ile sauti yake 🔥
Wagonga ulimbo wa jf nyie na raraa reree mtuletee , wajukuu humu madam( jokes)😅Basi nikupe mamaaa ya ghato beevans request hapo ulipo