Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,568
- 104,511
Una moyo tepetevu wewe!Kaza roho mwanangu.Mimi siiachi hadi nihakikishe inanitoa roho.Kujiita manjesta hii ya wapinga nyeto ni kosa langu la kwanza hapa jf , kwa kweli naomba nisamehewe sana🙏
Hii timu ina wazungu pori na matapeli kwa sasa , nimejitoa rasmi manjesta , hii nguvu nawekeza simba tu , mpaka manjesta atapata tajiri anae jielewa nitarudi🙏