Richard
JF-Expert Member
- Oct 23, 2006
- 14,988
- 20,596
- Thread starter
- #21
Hapana tuache tamaa (greed) wizi na kupenda njia za mkato.Mleta mada kama nawe unaweza kukopa na kusepa fanya tu.
Kila mtu anakula kwa urefu wa kamba yake.
Woga wako ndio umasikini wako.
Tufanye kazi kwa bidii tulipe kodi na tujenge nchi kwa ajili ya vizazi vyetu vya baadae.
Mimi nimesoma, na hadi hapa nilipo nimefika kihalali kabisa na hata mkopo huwa napata kihalali kabisa kutoka katika benki zetu hakuna shida.
Nipo hapa Kibaigwa ndo makazi yangu na nafaidi matunda ya kazi zangu.