imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 46,674
- 71,039
Serikali yetu imatakiwa isiwe na Dini vipi Raisi anavaa hijabu.Kama alivyojaribu Babu yenu Nyerere(mnayetamani kumuabudu) kuifanya Tanzania iwe jamhuri ya kikatoliki lakini akashindwa japo alijaribu kwa mara ya pili kwa kumtumia kibaraka wake Mkapa naye akashindwa na yule mwingine akapaishwa mawinguni kabla hajainajisi kabisa Tanzania yetu.