mganyiz magayane
Member
- Mar 14, 2017
- 38
- 113
Watanzania wenzangu pole na majukumu yenu
Uchaguzi wa 2020 uliniachia dhambi ambayo hadi leo nikiikumbuka ninaumia sana lakini pia inanifanya kuwa mnyonge.
Mimi nilikuwa msimamuzi mkuu wa kituo cha uchaguzi wa maraisi,wabunge na madiwani 2020. Siku moja kabla ya uchaguzi alikuja mkurugenzi wa halmashauri na mtendaji kata wa kata yangu tukitwa wasimamizi wakuu wa vituo peke yetu.Tukaambiwa kwenye kituo chako usipopata 95% ya uchaguzi kwenye nafasi ya rais, mbunge na diwani utaeleza ulikuwa unafanya nini.
Mkurugenzi akaenda mbali na kusema raisi ametuagiza tuhakikishe tunawapa ulinzi na saport ili mhakikishe ushindi wa kimbunga unapatikana. Kwenye kituo changu sasa ilinibidi kuhakikisha mtendaji wa kata anafnya mpango wa kuhakikisha mawakala wote wa vyama vya upinzani hawakai ndani.
Barua alizowapa alizigonga mhuri mmoja alafu barua ya msimamzi wa CCM ikagongwa mihuri miwili.Sasa maelekezo yakaja kuwa endapo amekuja wakala chama kingne barua inamhuri mmoja anatakiwa kurudishwa kwa mtendaji ili ikamilike. Mtendaji nae akafunga ofisi ili wakienda wasimkute waanze kuzunguka tu.
Aisee sisi humo ndani tukabaki wenyewe tukaambiwa tuchane karatasi tupige kura tukishirikiana na wakala wa ccm. Kwenye matokeo diwani 98%, mbunge 98% rais 95% tukaona Lissu tusimnyime kabisa tukampa 3% na wengne 2%.
Ila mpaka leo nafsi inaniuma kweli kweli kwa hicho tulichokifanya.Wale waliompenda Lisu tulihakikisha zinakuwa za Magu ili tupate 95% kama maelekezo valivyotolewa. Tulilinda kazi zetu lakini ni dhambi kubwa tulilazimishwa na Magu.Mungu atusamehe tushamuomba toba.
Sijui Magufuli kama alikuwa ashaomba toba au laa mpaka kifo kinamjia.Kama alikuwa bado huko yupo anavuna alichopanda kwa kupata virungu vya maana lakini kama kosa alilijua mapema akaomba msamaha Mungu ashamsamehe.
Namuomba Samia asithubutu 2025 kufanya huo unyama la sivyo Mungu atamuadhibu na inawezekana akamchukua mapema 2026 baada ya uchaguzi.