Kama kweli Magufuli aliletwa na Mungu basi uchaguzi wa 2025 utakua ni patashika nguo kuchanika

Kama alivyojaribu Babu yenu Nyerere(mnayetamani kumuabudu) kuifanya Tanzania iwe jamhuri ya kikatoliki lakini akashindwa japo alijaribu kwa mara ya pili kwa kumtumia kibaraka wake Mkapa naye akashindwa na yule mwingine akapaishwa mawinguni kabla hajainajisi kabisa Tanzania yetu.
Serikali yetu imatakiwa isiwe na Dini vipi Raisi anavaa hijabu.
 
Changamoto ni Nani atafikia standards alizoweka Magufuli ndani ya miaka 5.
Maana kwa miaka yote mpaka Rais anamaliza 10yrs anatuambia Kasungura kadogo.
 
Jiandae kisaikolojia, Samia anamalizia miaka minne aliyoicha Magufuli, then anapiga ya kwake 10, halafu tunamuongeza mitano ya shukrani.

Swala la Rais mpya mlifikirie kuanzia 2040.

Ukweli mchungu huu umeze tu ili usipate ugonjwa wa moyo kutamani kitu ambacho hakipo, ur kissing the wind.
Mimi sijasema mtu bana 🤣🤣🤣
 
Hicho ndicho kilichonijia kichwani leo nikiwa natafari mwenendo wa siasa za Tanzania kwa sasa.

Maswali ni je nani atakubali kusimama na ni nani atakubali mwenzake kusimama.

Itakua nipatashika nguo kuchanika ndani ya vyama na nje ya vyama.
SIYO KILA UTAWALA HUTOKA KWA MUNGU.

Kwa nini Mungu aliwaepusha wana wa Israel na mateso ya Farao nchini Misri kama Falme zote zinatoka kwa Mungu? (Mwanzo 12:10-20, Mwanzo: 37-50. na Kutoka: 1-40)

Je nao utawala wa Nebucadnezar wa Babeli ulitoka kwa Mungu? Mbona aliwatumia manabii kuwatoa mikononi mwao na kuwarudisha Jerusalem ? (Ezra: 1-10)
Kwenye agano jipya Yesu mwenyewe amejaribiwa mara tatu na Shetani lakini amekaidi akiwa kwenye mfungo wa siku 40. (Luka 4:1-13). Yesu amekataa kumtii Herode alipomtaka ageuze maji ili iwe mvinyo ili amuachie baada ya Wayahudi kumkamata kabla ya kuhukumiwa na Ponsio Pilato.(Luka 23:7-15)

Hii ina maana kuna tawala dhalimu ambazo zinatoka kwa shetani lazima tuzikatae kwa nguvu zote kama Wakristu. Kinyume cha hapo ni kudhalilisha Ukristu wetu.

Utawala wa Magufuri ulitoka kwa shetani, siyo kwa Mungu wetu aliye hai, na tuliukataa kwa nguvu zote. Magufuri hakuwa na Mungu kabisa katika matendo na fikra zake. Mtawala anayetoka kwa Mungu hawezi kuwa na roho kama ya Magufuri inayotuma kuua Tundu Lissu, kuua Ben Saanane, Azory Gwanda.

Utawala unaotoka kwa Mungu hauwezi kubomoa nyumba za watu wa Kimara- Mbezi bila kuwafidia halafu ukaacha nyumba za Wasukuma wa Mwanza bila kuzibomoa.

Utawala unaotoka kwa Mungu hauwezi kukawafukuza wafanyakazi waliofoji vyeti vya Form IV ili wawe madreva na kumuacha Makonda aliyefoji cheti cha form IV na kuwa Mkuu wa Mkoa. Ndiyo maana ameondolewa pamoja na kuiba uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa 2019 na uchaguzi Mkuu wa 2020. Mungu hazihakiwi
 
Hijab ni vazi kama mavazi mengine kwani anavunja sheria gani mbona ile takataka yenu ilikuwa inahubiri kutoka kanisani kila jumapili akitumia chombo cha habari cha umma?
Sisemi kwamba Magufuli alikuwa sahihi,ila huoni kuwa kuvaa Hijab Ikulu kuwa kutalitumbikiza Taifa kwenye machafuko?
 
Kivipi labda.
Sio uongo, Magufuli alikuwa Dikteta mwenye uelewa mdogo, kwahio kwa yeye kuchanganya Dini na siasa haikua ajabu, ninachoshangaa ni huyu wa sasa kuvaa Hijabu wakati yeye ni Raisi wetu sote na Serikali yetu ni Secular Why.
 
Wewe mwenye uelewa mkubwa umefanya nin cha kumzid Magufuli mwenye uelewa mdog.
Kua raisi wenu ndio inamuonndolea uislam wake?
 
Jiandae kisaikolojia, Samia anamalizia miaka minne aliyoicha Magufuli, then anapiga ya kwake 10, halafu tunamuongeza mitano ya shukrani.

Swala la Rais mpya mlifikirie kuanzia 2040.

Ukweli mchungu huu umeze tu ili usipate ugonjwa wa moyo kutamani kitu ambacho hakipo, ur kissing the wind.
 
Jiandae kisaikolojia, Samia anamalizia miaka minne aliyoicha Magufuli, then anapiga ya kwake 10, halafu tunamuongeza mitano ya shukrani.

Swala la Rais mpya mlifikirie kuanzia 2040.

Ukweli mchungu huu umeze tu ili usipate ugonjwa wa moyo kutamani kitu ambacho hakipo, ur kissing the wind.
Haya sio mageni..,
Kunawenzako miez michache walitamka kama wewe(mitano tena).
 
Sio uongo, Magufuli alikuwa Dikteta mwenye uelewa mdogo, kwahio kwa yeye kuchanganya Dini na siasa haikua ajabu, ninachoshangaa ni huyu wa sasa kuvaa Hijabu wakati yeye ni Raisi wetu sote na Serikali yetu ni Secular Why.
Hijab ni vazi kama mavazi mengine na kama hijab ni tatizo mbona aliapa huku ameshika msahafu(kuran) vipi hapo haikuwa tatizo? Sasa sijui tatizo la hijab lipo wapi! Lakini endelea tu kupaza sauti ili unachokitaka kifanikiwe.
 
SIYO KILA UTAWALA HUTOKA KWA MUNGU.

Kwa nini Mungu aliwaepusha wana wa Israel na mateso ya Farao nchini Misri kama Falme zote zinatoka kwa Mungu? (Mwanzo 12:10-20, Mwanzo: 37-50. na Kutoka: 1-40)

Je nao utawala wa Nebucadnezar wa Babeli ulitoka kwa Mungu? Mbona aliwatumia manabii kuwatoa mikononi mwao na kuwarudisha Jerusalem ? (Ezra: 1-10)
Kwenye agano jipya Yesu mwenyewe amejaribiwa mara tatu na Shetani lakini amekaidi akiwa kwenye mfungo wa siku 40. (Luka 4:1-13). Yesu amekataa kumtii Herode alipomtaka ageuze maji ili iwe mvinyo ili amuachie baada ya Wayahudi kumkamata kabla ya kuhukumiwa na Ponsio Pilato.(Luka 23:7-15)

Hii ina maana kuna tawala dhalimu ambazo zinatoka kwa shetani lazima tuzikatae kwa nguvu zote kama Wakristu. Kinyume cha hapo ni kudhalilisha Ukristu wetu.

Utawala wa Magufuri ulitoka kwa shetani, siyo kwa Mungu wetu aliye hai, na tuliukataa kwa nguvu zote. Magufuri hakuwa na Mungu kabisa katika matendo na fikra zake. Mtawala anayetoka kwa Mungu hawezi kuwa na roho kama ya Magufuri inayotuma kuua Tundu Lissu, kuua Ben Saanane, Azory Gwanda.

Utawala unaotoka kwa Mungu hauwezi kubomoa nyumba za watu wa Kimara- Mbezi bila kuwafidia halafu ukaacha nyumba za Wasukuma wa Mwanza bila kuzibomoa.

Utawala unaotoka kwa Mungu hauwezi kukawafukuza wafanyakazi waliofoji vyeti vya Form IV ili wawe madreva na kumuacha Makonda aliyefoji cheti cha form IV na kuwa Mkuu wa Mkoa. Ndiyo maana ameondolewa pamoja na kuiba uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa 2019 na uchaguzi Mkuu wa 2020. Mungu hazihakiwi
Babu vipi?, mungu mwenyewe alimwiita Nebukednezer mtumishi wangu, , ,
Mungu alimwita mfalme koreshi wa iran, MASIHA, kwasababu ya kuwakomboa wayahudi toka utumwani babel na kuwarudisha caanan
 
Kwa minajiri kuwa hata Ibilisi aliletwa na Mungu basi pasi na shaka Magufuli aliletwa na Mungu.
Ila ninachojua ni kwamba Mungu hawezi kuleta zawadi ya hovyo kwa watoto wake.
Magufuli ni mtu wa hovyo, kichaa.
Sema tu yale maamuzi yake yakiwendawazimu ndio yaliyompa kiki.
 
Hijab ni vazi kama mavazi mengine na kama hijab ni tatizo mbona aliapa huku ameshika msahafu(kuran) vipi hapo haikuwa tatizo? Sasa sijui tatizo la hijab lipo wapi! Lakini endelea tu kupaza sauti ili unachokitaka kifanikiwe.
Kiapo kila mmoja wetu ana Imani yake,kila (Mtanzania ana Dini yake lakini Serikali yetu ni Secular)mbona Mwinyi alipoteuliwa kuwa Raisi alitaka kuvaa Baraghashia lakini akaambiwa ni kinyume na Katiba yetu ya zamani, sasa mbona hilo jambo linajirudia tena why?
 
Mimi sijawahi kutegemea pesa za Kodi kama Wanasiasa mimi jasho langu na utaftaji wangu tena nimekuwa nikimlipia Magufuli mshahara kwa Kodi zangu.
Impact ya uelewa mkubwa mpaka uwe mwanasiasa?
HIyo Kodi uliyolipa toka 2015 ni kiasi gan kutosha mshara wa Magufuli?
Samia kuwa raisi haimuodolei Uisilamu wake haihitaji mjadala.
Kama ni hivo wabadili na majina yasiwe ya kiislam wala kikristo, yasifungamane na dini yeyot
 
Back
Top Bottom