Kama Eva asingekula tunda la mti wa kati

Kuna dhana potofu kuwa tunda la mti wa kati ni uchi wa mwanamke, Adamu alizuiliwa kula matunda yote icpokua la mti wa kati na kama tunda la mti kati ni hilo je matunda mengine aliyoruhusiwa ni yapi? Pili, kabla Adam na Hawa hawajala tunda, Mungu alishawaambia wazae waijaze dunia ss dunia wangejaza vp au Mungu ni muongo? Tatu, Imeandikwa ni Hawa ndiye aliyeanza kula tunda ndipo akampa Adam nae akala, ni kivipi mwanamke anaweza akala tunda lake mwenyewe? Alijitia vidole au?
 
Hapo sasa mi nakaribia kukubalia na nawewe, ila ukweli ni UPI sasa??.
 
Unajua watu wanataka kutushawishi kwamba Adam na hawa walisex.
Sasa mimi nauliza Eva alisex na nani kabla ya Adam? Mana yeye ndo alianza kula tunda
Alimegwa na shetani, akauona utamu, ndio akaenda kumshawishi Adam, nae akala mzigo, ndio mambo yakaharibika.

Mbona ni simple logic tu wadau, kwa nn mnashangaika sana , lugha iliyotumika humo kwenye biblia ni tasifida tu wakuu
 
Aisee
Kama ni hivyo acha wanawake waitwe,viumbe dhaifu
 
Ijumaa Khareem....!

Naandika haya Leo hii kwakuwa kwakuwa Eva alikula tunda la mti wa kati mti wa UJUZI wa MEMA na MABAYA.

Eva hakujilia tu hilo tunda bali ni kwa ushawishi wa nyoka.... Na kamwe hakuwahi kuhangaika nalo kwa kuwa Mungu mwenyenzi yote alikuwa keshakataza kabisa matumizi ya matunda ya huo mti wa kati mti wa Ujuzi wa mema na mabaya. Haya ndio maelezo ya kidini katika ukristo.

Kuna maswali mubashara ya kujiuliza hapa;

- Kwanini kiumbe nyoka? Na si kingine chochote?
- Kwanini kiumbe nyoka hakumfuata Adam?
- Kwanini Eva baada ya kula na kuliona lile tunda linafaa kwa chakula hakuhisi tofauti yoyote mpaka alipompa Adam akala ndio wakajihisi wako uchi?
- Ni nani aliwafunulia siri ya wao kuwa uchi?

Haya maswali yatachukua Karne nyingi kuja kupata majibu mubashara, lakini dunia ipo hapa ilipo Leo! Ipo hivi ilivyo leo kutokana na kile kilichotokea Eden. Nje ya hapo mambo yangekuwa tofauti kabisa.

Inawezekana kabisa Adam na Eva wangeishi pale milele na pengine RACE ya Africa na waafrika tusingekuwepo? Kutokana na picha za wazungu Adam na Eva hawakuwa weusi... Na dunia isingekuwa hivi ilivyo leo.

Kuna dhana zinazopingwa sana na hii pengine ni kutokana na kukosekana kwa ithibati japo za kimaandishi kwamba nje ya Eden huko mbali duniani kulikuwa na viumbe wengine waliofanana na wale wa Eden. Lakini hili linapingwa kwa nguvu na yale maneno ya kwenye Bible kuwa Mungu ndie aliyeumba dunia hii na vingine vyote vilivyomo.

Tunaitwa kizazi cha nyoka je ni sisi wote ama ni wale tu waliokuwa Eden na vizazi vyake? Lakini Kwanini kizazi cha nyoka?..

Ni mkanganyiko tupu lakini bado nazidi kujiuliza kama Eva kwa ushawishi wa nyoka asingekula lile tunda ingekuwaje! Leo hii??? Ama kama angekula peke yake bila kumgaia Adam ingekuwaje? Je story ya Lilieth ingejirudia?

Kuna mengi bado hatuyajui.

Sent from my INFINIX-X551 using JamiiForums mobile app

Biblia inasema 'Nyoka alionekana kuwa ni kiumbe mwerevu kuliko wanyama wote' hivyo shetani aliamua kumvaa nyoka na kutumia werevu wake kumdanganya Eva.
 
Mshana Jr, inabidi na wewe ule hilo tunda upate majibu
 
Kwa jinsi ilivoelezea ni tunda halisi mana alianza kula Eva then akampa Adam,kama wangeanza kula wote kwa pa1 hapo tungeleta tafsiri nyingine.
Mana kama tunda ni sex je Eva alisex na nani kabla hajaenda kwa Adam?
Labda alianza na Huyo alomwitia tunda
 
Back
Top Bottom