Kama Eva asingekula tunda la mti wa kati

yaani haya mambo ya bible ni umiza kichwa, matokeo ya maisha tuliyonayo sasa ni laana kutoka kwa Mungu,mwanamke hakuwa kwenye mipango ya Mungu kama sio adamu mambo yake ya kutaka msaidizi huendaa leo dunia ingekuwa mahali salama pa kuishi ,lakin je watu wangeongezekaje kama hawazaliani,yaani kichwa lazima kikuume
 
Ni kweli lakini bado yataendelea tu kutafutwa
Kwa mfano dhana ya tunda! Kwanini maranyingi tufaa ndio litumike?
Kitendo cha kula hilo tunda kilijumuisha viungo vitatu macho mdomo na mkono na miguu pia.. Lakini baada tu ya kula wanahisi aibu na kuziziba sehemu zao za siri kwa majani! Kwanini? Kwanini in the first place hawakuziba mdomo uliokula?
7867f28db74476846565fd17120d433b.jpg
Eti ni kwa nini kwenye hiyo picha hapo wana vitovu?
 
Mungu asingemuumba Eva haya yote yasingetokea kwa sababu wanaume si rahisi kudanganyika. Mpaka leo mwanamke ndiye anaetumika ktk kutengeneza uasherati kwa mfano ingia kwenye Makasino uone mwanamke anavyocheza Uchi akizunguka Fimbo ya chuma bado haohao wanatushawishi kufanya Zinaa kwa kutuuzia Papuchi zao na yapo mengine mengi tu...kwa hiyo ndiye aliyefanya maisha yetu kuwa magumu Duniani[/

Bwana Mungu akasema si vema huyo mtu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye.
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
 
Niliwahi kumsikia prof. Of religion anaelezea tunda la Eden. Alichosema nyoka alimshawishi Eva akamuingizia mkia kwny uchi wake. Akamwambia ukiweza kumshawishi Adam akuingizie uume wake hakika utasikia raha na mtaweza kuumba
 
Kumbuka Eva ndo alianza lakini.
Unataka kusema Eva na nyoka walitumia miguu?
Miguu ilitumika kusogeleana. Kama umeangalia hiyo picha, mchuma tunda ni nyoka mwenye miguu na sura ya mtu. Ana mkia wa nguvu kauviringisha kwenye mti.
Sasa kwenye huo mkia ndiyo dhambi ilipoanzia.
Huo mkia aliupitisha makusidi kabisa kwenye "maumbo" ya hawa. Ule mburuzo ukamchanganya mtoto wa kike hadi kutamani "mkia" wa mchumba wake. Akashawishi na ''akapata'' ndipo akili zilipowasogea, kwamba hivi kulikuwa na ulazima gani?
 
Ijumaa Khareem....!

Naandika haya Leo hii kwakuwa kwakuwa Eva alikula tunda la mti wa kati mti wa UJUZI wa MEMA na MABAYA.

Eva hakujilia tu hilo tunda bali ni kwa ushawishi wa nyoka.... Na kamwe hakuwahi kuhangaika nalo kwa kuwa Mungu mwenyenzi yote alikuwa keshakataza kabisa matumizi ya matunda ya huo mti wa kati mti wa Ujuzi wa mema na mabaya. Haya ndio maelezo ya kidini katika ukristo.

Kuna maswali mubashara ya kujiuliza hapa;

- Kwanini kiumbe nyoka? Na si kingine chochote?
- Kwanini kiumbe nyoka hakumfuata Adam?
- Kwanini Eva baada ya kula na kuliona lile tunda linafaa kwa chakula hakuhisi tofauti yoyote mpaka alipompa Adam akala ndio wakajihisi wako uchi?
- Ni nani aliwafunulia siri ya wao kuwa uchi?

Haya maswali yatachukua Karne nyingi kuja kupata majibu mubashara, lakini dunia ipo hapa ilipo Leo! Ipo hivi ilivyo leo kutokana na kile kilichotokea Eden. Nje ya hapo mambo yangekuwa tofauti kabisa.

Inawezekana kabisa Adam na Eva wangeishi pale milele na pengine RACE ya Africa na waafrika tusingekuwepo? Kutokana na picha za wazungu Adam na Eva hawakuwa weusi... Na dunia isingekuwa hivi ilivyo leo.

Kuna dhana zinazopingwa sana na hii pengine ni kutokana na kukosekana kwa ithibati japo za kimaandishi kwamba nje ya Eden huko mbali duniani kulikuwa na viumbe wengine waliofanana na wale wa Eden. Lakini hili linapingwa kwa nguvu na yale maneno ya kwenye Bible kuwa Mungu ndie aliyeumba dunia hii na vingine vyote vilivyomo.

Tunaitwa kizazi cha nyoka je ni sisi wote ama ni wale tu waliokuwa Eden na vizazi vyake? Lakini Kwanini kizazi cha nyoka?..

Ni mkanganyiko tupu lakini bado nazidi kujiuliza kama Eva kwa ushawishi wa nyoka asingekula lile tunda ingekuwaje! Leo hii??? Ama kama angekula peke yake bila kumgaia Adam ingekuwaje? Je story ya Lilieth ingejirudia?

Kuna mengi bado hatuyajui.

Sent from my INFINIX-X551 using JamiiForums mobile app
Historia ya Adam na Ever ni fumbo lililopo katika code kwa hiyo ni lazima udicode ndio utaelewa dhana nzima ya uumbaji
 
Niliwahi kumsikia prof. Of religion anaelezea tunda la Eden. Alichosema nyoka alimshawishi Eva akamuingizia mkia kwny uchi wake. Akamwambia ukiweza kumshawishi Adam akuingizie uume wake hakika utasikia raha na mtaweza kuumba
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]

Sent from my INFINIX-X551 using JamiiForums mobile app
 
Historia ya Adam na Ever ni fumbo lililopo katika code kwa hiyo ni lazima udicode ndio utaelewa dhana nzima ya uumbaji

Miguu ilitumika kusogeleana. Kama umeangalia hiyo picha, mchuma tunda ni nyoka mwenye miguu na sura ya mtu. Ana mkia wa nguvu kauviringisha kwenye mti.
Sasa kwenye huo mkia ndiyo dhambi ilipoanzia.
Huo mkia aliupitisha makusidi kabisa kwenye "maumbo" ya hawa. Ule mburuzo ukamchanganya mtoto wa kike hadi kutamani "mkia" wa mchumba wake. Akashawishi na ''akapata'' ndipo akili zilipowasogea, kwamba hivi kulikuwa na ulazima gani?

Sent from my INFINIX-X551 using JamiiForums mobile app
 
Ila bhn eve asingekula lile tunda maisha yasingekua mazuri wote tungekua sawa maisha gani sasa hapo hamna watu wenye njaa wenye magonjwa
 
Ilikuwa ni lazima tunda liliwe ili dunia iwe vile ilivyo leo na iyo yote mungu anajua na ni mipango yake sioni sababu ya kumbebesha binadamu vitu binavyoitwa dhambi wakati yote ni mipango yake
 
Ijumaa Khareem....!

Naandika haya Leo hii kwakuwa kwakuwa Eva alikula tunda la mti wa kati mti wa UJUZI wa MEMA na MABAYA.

Eva hakujilia tu hilo tunda bali ni kwa ushawishi wa nyoka.... Na kamwe hakuwahi kuhangaika nalo kwa kuwa Mungu mwenyenzi yote alikuwa keshakataza kabisa matumizi ya matunda ya huo mti wa kati mti wa Ujuzi wa mema na mabaya. Haya ndio maelezo ya kidini katika ukristo.

Kuna maswali mubashara ya kujiuliza hapa;

- Kwanini kiumbe nyoka? Na si kingine chochote?
- Kwanini kiumbe nyoka hakumfuata Adam?
- Kwanini Eva baada ya kula na kuliona lile tunda linafaa kwa chakula hakuhisi tofauti yoyote mpaka alipompa Adam akala ndio wakajihisi wako uchi?
- Ni nani aliwafunulia siri ya wao kuwa uchi?

Haya maswali yatachukua Karne nyingi kuja kupata majibu mubashara, lakini dunia ipo hapa ilipo Leo! Ipo hivi ilivyo leo kutokana na kile kilichotokea Eden. Nje ya hapo mambo yangekuwa tofauti kabisa.

Inawezekana kabisa Adam na Eva wangeishi pale milele na pengine RACE ya Africa na waafrika tusingekuwepo? Kutokana na picha za wazungu Adam na Eva hawakuwa weusi... Na dunia isingekuwa hivi ilivyo leo.

Kuna dhana zinazopingwa sana na hii pengine ni kutokana na kukosekana kwa ithibati japo za kimaandishi kwamba nje ya Eden huko mbali duniani kulikuwa na viumbe wengine waliofanana na wale wa Eden. Lakini hili linapingwa kwa nguvu na yale maneno ya kwenye Bible kuwa Mungu ndie aliyeumba dunia hii na vingine vyote vilivyomo.

Tunaitwa kizazi cha nyoka je ni sisi wote ama ni wale tu waliokuwa Eden na vizazi vyake? Lakini Kwanini kizazi cha nyoka?..

Ni mkanganyiko tupu lakini bado nazidi kujiuliza kama Eva kwa ushawishi wa nyoka asingekula lile tunda ingekuwaje! Leo hii??? Ama kama angekula peke yake bila kumgaia Adam ingekuwaje? Je story ya Lilieth ingejirudia?

Kuna mengi bado hatuyajui.

Sent from my INFINIX-X551 using JamiiForums mobile app
 
Me binafsi kwa kweli pia nashangaaa how come mungu atuadhibu au tule msoto kwa ajili ya kosa lililofanywa na watu wengine ikiwa mungu alishasema kila mtu atasimama yeye kama yeye hakutakua na biashara ya kusema kama nimeponzwa na flani hii bado ina utata kiasi flani
 
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Me binafsi kwa kweli pia nashangaaa how come mungu atuadhibu au tule msoto kwa ajili ya kosa lililofanywa na watu wengine ikiwa mungu alishasema kila mtu atasimama yeye kama yeye hakutakua na biashara ya kusema kama nimeponzwa na flani hii bado ina utata kiasi flani

Haupo sahihi kwakua umepewa amri 10 na huzitii, Yeye afanyeje kama sio kichapo tu.
 
Back
Top Bottom