Watu wengi wanahusisha tunda lililoongelewa hapo na tendo la ndoa lakini cyo tendo la ndoa ....
Kwasababu Adam na Mkewe baada ya Kuumwa waliambiwa enendeni mkazaane mkaijaze dunia...
Sasa hapo unaona ya kwamba MUNGU asingeweza kuwaambia waijaze dunia alafu awazuie kufanya mapenz..wangezaliana vp...?
Ukweli ni kwamba MUNGU asingeweza kuwaambia Zaeni Mkaijaze Dunia Alafu baadaye aje kuwapa adhabu ..kwa Dhambi ya Uzinzi....
Ukweli ni kwamba tunda linalozungumziwa hapa ni Tunda halisi (Tunda la mti) na Cyo Tendo la .......