Kama Eva asingekula tunda la mti wa kati

Naomba kuijua hiyo story ya Lilieth pleeeeease.

Yes i know this story na ukisoma mwanzo unaona kama kuna uumbaji wa aina mbili wa mwanamke ingawa wengine wanasema ile ya kwanza ni kwa ufupi tu na ya pili kwa vielelezo zaidi but nadhani ile ya pili haisemi kama eva aliumbwa but kama alitolewa ubavuni so ni kama alitengenezwa...na sidhani yeye aliambiwa hii ishu ya kuzaliana but yule wa kwanza straight after aliposema "Na akamuumba mtu mwanamme na.mwanamke" na akawaambia wakazaliane. Na baadae kwa eva sioni haya maneno ni adamu aliamka tu akatamka "sasa" huyu ni.nyama kwa nyama yangu...Embu angalia hilo neno "sasa" alilosema adam....ina maana kabla kulikuwa na mwingine ambae hakuwa wa nyama yake???? @ mshana
 
Huwezi kuandika matusi kwenye vitabu vya dini... ila hakuna tunda lolote lililoliwa siyo apple, chungwa wala cheza... ukweli ni walifanya matusi...
 
Siri ya uunbaji its beyond human thinking... ni sawa na kufikiria kabla ya kuzaliwa ulikuwa wapi?
 
Nimependa artical yako kuhusu maswali ambayo tunajiuliza lakini hatufiki mwisho na Kupata jibu sahihi.Hata kama majibu yanakuwa na mikanganyiko mbalimbali haituzuii kutafuta majibu ya maswali hayo,katika hoja zako nashangaa sana kwa kuwa umeeleza kwa kutumia reference moja ya Bible tu,nadhani hiyo haitoshi katupa majibu kamili kwa kuwa kuna imani zaidi ya hiyo ambayo nao wanaweza kuleta hoja zao.Jet Quran tukufu inasema nini kuhusu habari hii......
 
alfau kama Mungu kweli alimpenda sana Adam kwanini amuwekee mitego alio jua hawezi kuruka,maana kwenye maandiko tunaambiwa yakuwa yeye anajua kesho yetu na tuyawazayo...!!
 
MUNGU hakuumba Wazungu .
MUNGU aliumba MTU mweusi.
Malaika walipo ona binti black zina shape Kali, sura na rangi wakavutiwa.
Wakaja duniani na kuzaa na binadamu, ndio wakapatikana Wazungu.
Ngorongoro creator ndio ilikuwa Eden.
Habari ndio hiyo mshana jr The king of JF.
Duh!huu uongo siyo wa dunia hii
 
Binadamu ni kiumbe cha mwisho kuumbwa hapa duniani.
Kwa maana hiyo ni kwamba, Mungu alimtayarishia kilakitu ili binadamu aje kuvitumia na kuvimiliki.
Je ni baada ya Adamu na Hawa kula tunda, ndiyo kifo kikaanza?
Inaonekana siyo kweli. Tunaelezwa katika historia ya dunia kuwa, kuna viumbe walikuwepo mf: mijusi(dinosours) wengi ambao binadamu hakupata kuwaona, yaani waliangamia kabla ya kuumbwa kwa binadamu.
Hivyo dhana ya kusema kifo kilitokana na kuliwa tunda, haina mashiko kwa sababu binadamu aliumbwa akakuta kifo kipo.
Halafu hilo tunda linalosemekana kuliwa, si tunda ulijualo wewe nanasi ama apple. Ni lugha ya picha iliyotumiwa kufumbia tendo linaloitwa la dhambi lililotendwa na waasisi wetu hao ili binadamu waweze kuzaliana na kuongezeka.
Kwamba yawezekana ikawa ni kweli kuwa M/Mungu aliwakataza kula tunda (kuzini) hadi hapo atakapoona inafaa.
Kama ilivyo leo kwa wazazi. Hakuna mzazi anayefurahia mwanae aanze mambo hayo kabla ya ndoa.
Lakini kwa kuwa wanawake ni wepesi kupevuka na kama unavyojua kipindi cha balehe(ungo) kinavyohangaisha wasichana/wavulana.
Ndipo huyo shetwani kwa kutaka kuvuruga taratibu alizojiwekea M/Mungu, kwamba wanae hao haijulikani alipanga waishi muda gani kabla ya kuwaruhusu kuanza mambo hayo na kujitegemea.
Shetani hana mwili, kwa hila zake na kwa kuelewa udhaifu wa binadamu, akatumia mwili wa nyoka kufanya aliyofanya.
Wakati huo Adamu na Eva walikuwa uchi, hivyo alimvizia Eva akiwa amekaa, kwa kutumia mkia wake, akauburuza kwa nguvu kwenye maumbile ya kike ya Eva hadi Eva akasisimka. Chanzo ni mkia. Dah! Kwa kuwa na Adam alikuwa na "mkia" ndipo alipomshawishi Adamu amburuzie "mkia"wake apate raha kama aliyoipata alipoburuziwa mkia wa nyoka.
Adamu akamtii Eva, akamburuzia "mkia" wake.
Eva akawa anataka tena na tena.
Ndipo M/Mungu alipoona kuwa kumbe hawa sasa wameishakua, wanauwezo wa kujitegemea. Hawastahili kulelewa tena, waondoke wakaanze maisha.
Hadhithi zingine za kusema walimuudhi M/Mungu baada ya kula tunda (kuzini), si za kweli. Bali kama ni kumuudhi, walimuudhi kutokumtii makatazo yake na maagizo yake.
Kama kulikuwa na nia ya binadamu kuishi milele, M/Mungu wala asingeweka mitego ya jinsi hiyo kwa vijana wadogo ambao walikuwa hata hawana akili za kupambanua mambo tena hata hawajabalehe.
Angeweza kutengeneza mfumo wezeshi wa kuishi milele, pia kusingekuwepo kwa vifo kwa viumbe vingine tangu mwanzo wa dahari.
 
Nimekuelewa sana mkuu watu hawajui kuwa kifo kiliumbwa kabla ya binadam.Pia kabla binadam M/Mungu alishaumba majini hawa waliishi duniani na walifanya dhambi na kumwaga damu miongonj mwao(waliuana)
 
Mnimesoma tu hii kichwa kimeanza kuuma! Biblia itakua imeficha mengi saana.
Kitaachaje kuuma mwali? Mie nimeishia kuimba ule wimbo wa dini ya kikristo una kibwagizo "Evaaa, Evaa, Eva, mbona umekula tunda?
 
Huwezi kuandika matusi kwenye vitabu vya dini... ila hakuna tunda lolote lililoliwa siyo apple, chungwa wala cheza... ukweli ni walifanya matusi...
Alafu utaanzaje kuandika matusi na watoto wanapita humo lazima waweke mafumbo wenye akili tutaelewa.
 
Nimependa artical yako kuhusu maswali ambayo tunajiuliza lakini hatufiki mwisho na Kupata jibu sahihi.Hata kama majibu yanakuwa na mikanganyiko mbalimbali haituzuii kutafuta majibu ya maswali hayo,katika hoja zako nashangaa sana kwa kuwa umeeleza kwa kutumia reference moja ya Bible tu,nadhani hiyo haitoshi katupa majibu kamili kwa kuwa kuna imani zaidi ya hiyo ambayo nao wanaweza kuleta hoja zao.Jet Quran tukufu inasema nini kuhusu habari hii......
Asante na ndio maana nikaweka wazi source yangu hiyo hizo nyingine sio mjuzi kivile hivyo nakaribisha mwenye ufahamu aongezee
 
alfau kama Mungu kweli alimpenda sana Adam kwanini amuwekee mitego alio jua hawezi kuruka,maana kwenye maandiko tunaambiwa yakuwa yeye anajua kesho yetu na tuyawazayo...!!
Maneno ya Mungu yanasema hawezi kukujaribu kuzidi uwezo wako
 
Back
Top Bottom