Kama Eva asingekula tunda la mti wa kati

Kama Eva asingekula tunda la mti wa kati

Hapo hapo jiulize kwa nini Eva ndo alianza kula? Then akampa adam
Hapa ndo logic ilipo kwanini nyoka alimfuata Eva na sio Adam? Nyoka au shetani alimgegeda Eva, Eva naye akampa utamu Adam hapo ndo alipoharibu[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Hapa ndo logic ilipo kwanini nyoka alimfuata Eva na sio Adam? Nyoka au shetani alimgegeda Eva, Eva naye akampa utamu Adam hapo ndo alipoharibu[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kumbe Eva alipigwa shine na nyoka
Ha ha ha
 
Unajua watu wanataka kutushawishi kwamba Adam na hawa walisex.
Sasa mimi nauliza Eva alisex na nani kabla ya Adam? Mana yeye ndo alianza kula tunda
Shetani alikuwa anajua mchezo mzima na ndie aliyeanza show na Eva[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Kwa jinsi ilivoelezea ni tunda halisi mana alianza kula Eva then akampa Adam,kama wangeanza kula wote kwa pa1 hapo tungeleta tafsiri nyingine.
Mana kama tunda ni sex je Eva alisex na nani kabla hajaenda kwa Adam?
Nyoka aliwatokea Adam na Eva akawaambia kuleni hilo tunda mlilokatazwa na Mungu kwa vile Mungu anajua mkila mtakuwa kama yeye. Adam na Eva wakawa wanajishauri ikabidi shetani aanze show then baadae ndo Eva akampa Adam[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Hebu soma mwanzo 3:1-14
 
Hapa ndo logic ilipo kwanini nyoka alimfuata Eva na sio Adam? Nyoka au shetani alimgegeda Eva, Eva naye akampa utamu Adam hapo ndo alipoharibu[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mmmmh nyoka atamgegedaje binaadam jamani.
 
Mungu aliwaambia hivyo lakini Kumbuka alimwambia nini mwanamke? Nawe mwanamke utazaa kwa uchungu (hao watoto aliwaambia wakazaane waongezeke)
Alimwambia atamuongezea uchungu sio atazaa kwq uchungu. Alishawaruhusu wazaliane so japo kwa uchungu mdogo mdogo
 
Kuna baadhi ya sect za kikistro zinamtaja kama mke wa mwanzo kabisa wa Adam
Yes i know this story na ukisoma mwanzo unaona kama kuna uumbaji wa aina mbili wa mwanamke ingawa wengine wanasema ile ya kwanza ni kwa ufupi tu na ya pili kwa vielelezo zaidi but nadhani ile ya pili haisemi kama eva aliumbwa but kama alitolewa ubavuni so ni kama alitengenezwa...na sidhani yeye aliambiwa hii ishu ya kuzaliana but yule wa kwanza straight after aliposema "Na akamuumba mtu mwanamme na.mwanamke" na akawaambia wakazaliane. Na baadae kwa eva sioni haya maneno ni adamu aliamka tu akatamka "sasa" huyu ni.nyama kwa nyama yangu...Embu angalia hilo neno "sasa" alilosema adam....ina maana kabla kulikuwa na mwingine ambae hakuwa wa nyama yake???? @ mshana
 
Maisha yangekuwaje...
Tusingekuwa na viwanda vya nguo... Hospitali... Shule.... Makanisa..... Miskiti... Magari... [emoji445]..... Na kila kitu unachokiona.
Tungekuwa na punda milia kule porini...tunakaa nao... Kama anavyo kaa na swala... Pia wangekuwa marafiki zetu.... Tusingewala hakuna cha nyamachoma wala mchemsho wala kitimoto... Duuu.... Tungekomaa na matunda na nyasi tuu.
Population ingekuwa ndogo sana maana mahitaji yangepelea hapo ingekuwa tabu.....

Sijui lkn hayo ni mawazo yangu na Mungu alikiwa na plan tuishi vipi...
 
Back
Top Bottom