Kama Eva asingekula tunda la mti wa kati

Kama Eva asingekula tunda la mti wa kati

Ni kweli lakini bado yataendelea tu kutafutwa
Kwa mfano dhana ya tunda! Kwanini maranyingi tufaa ndio litumike?
Kitendo cha kula hilo tunda kilijumuisha viungo vitatu macho mdomo na mkono na miguu pia.. Lakini baada tu ya kula wanahisi aibu na kuziziba sehemu zao za siri kwa majani! Kwanini? Kwanini in the first place hawakuziba mdomo uliokula?
7867f28db74476846565fd17120d433b.jpg
Miguu ilitumikaje wakati Eva anaanza kula lile tunda?
 
Kwenye kitabu cha mithali kuna sentence inayosema.... Na miguu iliyo myepesi kukimbilia uovu.... Hapo miguu inatumika kwenye mwendo/umbali kufika 'mtini'
Kumbuka Eva ndo alianza lakini.
Unataka kusema Eva na nyoka walitumia miguu?
 
Naomba kuongeza na hili ni kwanini Mungu aliuweka huo mti wa katikati (kama ni mti kweli) Eden,ulikua kwaajili ya matumizi ya nani?
Hapo hapo jiulize kwa nini Eva ndo alianza kula? Then akampa adam
 
Kumbuka Eva ndo alianza lakini.
Unataka kusema Eva na nyoka walitumia miguu?
Inategemea walikuwa umbali gani toka mtini, kumbuka pia nyoka wa Eden alikuwa na miguu
 
Ni mti wa KATI mti wa ujuzi wa mema na mabaya
Unajua watu wanataka kutushawishi kwamba Adam na hawa walisex.
Sasa mimi nauliza Eva alisex na nani kabla ya Adam? Mana yeye ndo alianza kula tunda
 
Ni kweli lakini bado yataendelea tu kutafutwa
Kwa mfano dhana ya tunda! Kwanini maranyingi tufaa ndio litumike?
Kitendo cha kula hilo tunda kilijumuisha viungo vitatu macho mdomo na mkono na miguu pia.. Lakini baada tu ya kula wanahisi aibu na kuziziba sehemu zao za siri kwa majani! Kwanini? Kwanini in the first place hawakuziba mdomo uliokula?
7867f28db74476846565fd17120d433b.jpg
Mkuu hao mbona wanavitovu..?
 
Hizo story za Adam na Hawa ni mbwembwe za white man tu.. Ukitaka kujua ukweli jitahidi ufike mbinguni pale ukipiga soga na sir God atakupa ubuyu wote.
 
some one help me. hivi tunda pa mti wa mema na mabaya lilikuwa tunda kweli km embe au kilikuwa kitendo?
 
Back
Top Bottom