Mangisandy
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 2,652
- 2,272
Mkuu Mchambuzi, Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni! Mazaa hata angevunja lile baraza, hilo jipya angelisaka kwenye kichaka kile kile, kilicho patikana kupitia uchafuzi ule! Lazima tuwe realistic, Mazaa hawezi kubadilisha vitu overnight! Hata Lisu angeshinda, kuna mambo ingebidi aende nayo taratibu.mistake ya kwanza aliyofanya ni kukumbatia baraza la mawaziri lililoundwa na marehemu pombe.
Kuhusu Mganga, hata mimi sijaridhika, lakini how many people are you going to be able to please, at the same time! Mazaa anaweza kuwa anakosea lakini ni vizuri tukamhukumu katika long run, na siyo sprint! Kwa mfano: ⏱baya akipitiwa na ridandasi, mimi ntamsamehe Mazaa kila kitu, hata lile benzi!