Kaka yangu anatembea na mama mkwe wangu

Kaka yangu anatembea na mama mkwe wangu

Kwani Baba Mkwe wako yuko wapi?


Alifariki siku nyingi nyuma

Inavyoonekana huyo mkweo hajapata chakula cha usiku toka afiwe na mumewe na pia hakuwai kutongozwa na wanaume wengine. Hiyo imekuwa ni kama zari la mentari kwake. Kaka yako kategwa naye kategeka, acha wajilie vyao, kumbuka ng'ombe hazeeki maini. Ila hakikisha kuwa mkeo hajui, akijua itakuwa msala, unaweza ukaachwa!!!!!!!!!
 
akaona chelewa chelewa utakuta mwana si wako na pia akakumbuka kuwa ngoja ngoja huumiza matumbo
Inavyoonekana huyo mkweo hajapata chakula cha usiku toka afiwe na mumewe na pia hakuwai kutongozwa na wanaume wengine. Hiyo imekuwa ni kama zari la mentari kwake. Kaka yako kategwa naye kategeka, acha wajilie vyao, kumbuka ng'ombe hazeeki maini. Ila hakikisha kuwa mkeo hajui, akijua itakuwa msala, unaweza ukaachwa!!!!!!!!!
 
hata wanaobaka hutafuta reason kujustfy upuuzi wao,
sijamkataza asiwe na mtu ila sio shemeji yangu!
kama kashindwa kutambua mipaka kwa shemeji yangu...next time itakuwa kwa mume wangu!...napo atasema sio kabila moja,au ukame ulimsukuma...
hili jambo liko sooo wrong..

Umesema vema kabisa...Sijui ni kwanini dhambi hii imetokea kutetewa na watu wengi sana?
Badala ya kuikemea na kuikimbia zinaa ati watu wanaikimbilia na kuikumbatia!
Kuzini ni mkwe si jambo la kawaida hata kidogo...Hapo shetani anazidi kufuzu katika kazi yake ya kuipotosha jamii.
 
What? Eeh God forbid! Pray forgiveness for your brother he must be very sick upstairs.
 
Alifariki siku nyingi nyuma

kwani kakako kaoa??na kama ajaoa unajua ukifiwa na mume ama mke mjane ni mpaka ufikishe miaka 60 mama mkwe wako ana miaka 60 na kama ajafika unacholalamiakia hasa ni kumegwa kwa mama mkwe ama ni aibu sababu amekuzalia mkeo..nasema hivi nikusaidie maana wawezekana unajua kakako ana tembea na mizigo kama hiyo lakini si mamamkwe ukakaa kimya ukifurahia mama za watu kumegwa sasa kale kalaana kameingata nyumba yenu so m nafikiri umechelewa na kama umechelwa subiri aoe na we umngate mkewe muwe draw
 
hizi nyumba za kina YEZEBELI SHIDA TUPU YAANI....
 
tuombe na kusali sana.... maana wakipata tu mtoto huyo kaka yako na mama mkwe wako kila kitu kitabadilika na status zenu zitabadilika pia:hail:😛ray2:
 
Kweli Safari ni Safari
images
 
Naishi dar, brother wangu mkubwa ambaye ni mstaafu kaja kufuatilia madai yake.
Nyumbani kwangu anaishi pia mama wa mke wangu.
Juzi nlipotoka kwenye mizunguko na kurudi nyumbani mida ya saa tano asubuhi niliwakuta live wakilimega tunda.
Kwa kweli kaka yangu ni mtu mzima ambaye kwa umri kamzidi hata mkwe wangu.
Lakini hii siielewi, matokeo yake nimejikuta mi ndo naona aibu hata kuwaangalia.
Nature has taken its course
 
Heshima hakuna siku hizi....

Hawaheshimu hata nyumba yako.?
Kwa nini wasifanyie mambo yao kwingine??????

Na huyomama mkwe ndo atamshauri nini mkeo???????
 
Si unajua mafao nayo yanachukua muda mpaka kupata!! Sasa ngoja braza apate kitu cha kumweka bize ili na mizinga ipungue kwako
 
So long wamekubaliana mie naona hamna tatizo, ukiondoka wawekee mikanda ya kujiepusha na ngono zembe. otherwise mpe big up bro kwa kumsaidia mjane!
 
Hamna dhambi tamu kama uzinzi..
hao wote ni wazinzi na ni washerati, waache waendelee kupooza mioyo yao, ila wakipata gono sijui sura zao watazifichia wapi?
Haaa haaa we Hamph sijui ukoje yani we unawaza gono tu, wakipata gono ndo watajibeba na utu uzima wao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom