Kaka yangu anatembea na mama mkwe wangu

Naishi dar, brother wangu mkubwa ambaye ni mstaafu kaja kufuatilia madai yake. Nyumbani kwangu anaishi pia mama wa mke wangu.

Juzi nlipotoka kwenye mizunguko na kurudi nyumbani mida ya saa tano asubuhi niliwakuta live wakilimega tunda.

Kwa kweli kaka yangu ni mtu mzima ambaye kwa umri kamzidi hata mkwe wangu. Lakini hii siielewi, matokeo yake nimejikuta mi ndo naona aibu hata kuwaangalia.
walikuwa sebuleni? kama walikuwa wanamegana chumbani anakolala mama mkwe wewe una matatizo makubwa kuliko kaka yako. ulikwenda kufanya nini chumbani kwa mkweo?
 
Hakuna tatizo la kimaadili wala kidini hapo.

Huyo ni mama mkwe wako wewe sio mama mkwe wa kaka yako.

Hii dunia ukitaka amani lazima ujue kutofautisha vitu na kujua mipaka.

Hapo mama mkwe ni shemeji yako kwa upande mwingine.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom