Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,302
- 96,517
Imuume wapi? Sana saaana waweza kukuta alisimamisha mjenenge alipowakuta siku ile
haya mambo haya.....
Hahahah arif naona unarusha ngumi jiwe.. Angalia usimhamishe meza.
Bado uko Bosnia au usharudi kisiwani?