Kaka yangu anatembea na mama mkwe wangu

Kaka yangu anatembea na mama mkwe wangu

kesi Hipo,
kwa sababu huyo Kakake sasa atakuwa ni Babamkwe wake, na Watoto wa Kakake sasa watakuwa mashemeji zake, Na Mkewe anamwita huyo kaka ya Mmewe kuwa ni Babayake na watoto wa wa huyo shemeji yake watakuwa wadogo zake
Kaaaaaazi kwelikweli
story ndefu ya nini anko hao co ndugu bwana acha ale tu teehee teeheee
 
Hapo mwana haina mbaya ila cha msingi mkeo asijue vingnevyo patachafuka, na nivyema uongee na broo wako awe anaenda kupigia nje ya home
 
Hapo solution kaka yako arudi kwao na mama mkwe aende kwao

Pumb.avu wasiokuwa na aibu wala maadili
 
aisee.. kaka mkwe. huyo mama kaamia hapo mazima au?
 
Huy aliefufua hii topic ana yake

hivi maajza kama faiza foxy si Wana nyege tu kama wengine?

wacha wajane nao wafaidi mbegu
 
Naishi dar, brother wangu mkubwa ambaye ni mstaafu kaja kufuatilia madai yake.
Nyumbani kwangu anaishi pia mama wa mke wangu.
Juzi nlipotoka kwenye mizunguko na kurudi nyumbani mida ya saa tano asubuhi niliwakuta live wakilimega tunda.
Kwa kweli kaka yangu ni mtu mzima ambaye kwa umri kamzidi hata mkwe wangu.
Lakini hii siielewi, matokeo yake nimejikuta mi ndo naona aibu hata kuwaangalia.

mkuu hapo sioni tatizo as long as wao ni above 18 hamna kosa alafu ukumbuke kuwa pia wao ni binadamu na damu inazunguka mwilini mwao.
 
sioni kosa lolote isipokuwa kama walifanyaukumbini litakuwa kosa la heshima
nimeshaona kaka mkubwa kuoa mama mkwe na dogo hakuwa na noma
 
Jamani tupatie update uliendeleaje? Pole lazima bado inakuuma. Kama ulishatoa update basi jus sijasoma tangu enzi hizo ulirorusha
 
Jamani tupatie update uliendeleaje? Pole lazima bado inakuuma. Kama ulishatoa update basi jus sijasoma tangu enzi hizo ulirorusha
Imuume wapi? Sana saaana waweza kukuta alisimamisha mjenenge alipowakuta siku ile

haya mambo haya.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom