Kaka yangu anatembea na mama mkwe wangu

Waacheni wajipe rahaaa! wakipeana mimba Kiranja mkuu utapata sasa sijui atakuwa shemeji yako huyo mtoto wao!??:A S 13:
 
KM ana wasiwasi akipeleka kesi kwa wakwe afu kaka-babamkwe mkware namna hiyo hakawii kumwambia amuache mke alale pale aje kumchukua kesho yake...
 
Hamna dhambi tamu kama uzinzi..
hao wote ni wazinzi na ni washerati, waache waendelee kupooza mioyo yao, ila wakipata gono sijui sura zao watazifichia wapi?
 
Naishi dar, brother wangu mkubwa ambaye ni mstaafu kaja kufuatilia madai yake.
Nyumbani kwangu anaishi pia mama wa mke wangu.
Juzi nlipotoka kwenye mizunguko na kurudi nyumbani mida ya saa tano asubuhi niliwakuta live wakilimega tunda.
Kwa kweli kaka yangu ni mtu mzima ambaye kwa umri kamzidi hata mkwe wangu.
Lakini hii siielewi, matokeo yake nimejikuta mi ndo naona aibu hata kuwaangalia.
Mama mkwe anamegwa sebuleni kwa watoto wake?!!!!!!!!! Kuwa makini maana mkeo atafundishwa hivyo....!
 
Kama hawakukuona, hio mezea, ama jifanye hata huna habari, mambo mengine bana unaona na unaachana nayo. Hao ni watu wazima na mambo yao , hakuna alie lazimishwa!!!!!!!!!
 
hapana,kaka kafanya vibaya.maana mama mkwe wako nae ni mama mkwe wa kaka ako.sasa utaanza vp kummega jamani.au ni mzaramo???maana kwa makabira ya kanda ya kati na kanda ya ziwa najua ni vibaya hata kukaa karibu na mama mkwe.
 
Naishi dar, brother wangu mkubwa ambaye ni mstaafu kaja kufuatilia madai yake.
Nyumbani kwangu anaishi pia mama wa mke wangu.
Juzi nlipotoka kwenye mizunguko na kurudi nyumbani mida ya saa tano asubuhi niliwakuta live wakilimega tunda.
Kwa kweli kaka yangu ni mtu mzima ambaye kwa umri kamzidi hata mkwe wangu.
Lakini hii siielewi, matokeo yake nimejikuta mi ndo naona aibu hata kuwaangalia.
Hapo shida iko wapi? We si una wakwako mwache na yeye aendelee kubemendwa.
 
pole dogo,kaa na bro mtete.
Je, bro naye ni mjane?
Wewe je umeoa au ndio kusaidiana maisha?
Sipati picha ya mama mkwe kuwa mdogo kuliko bro wako!

Miaka 20 alimzaa mtoto wa kike. Sasa hivi mama mkwe ana miaka 50, hivyo mke ana miaka 30. Mme ana miaka 35 na ndiye mtoto wa mwisho katika familia ya watoto 8. Kaka mtu huenda akawa na miaka zaidi ya 50. Inawezekana kabisa.

Inawezekana mama mkwe alitaka ajue utamu anaoupata binti yake indirectly, kama kweli genetically kaka ni sawa na mdogo wake.
 
Jamani hebu tuwe makini hapa, hawa wote ni wamalaya wa kutupwa hiyo ni live bila chenga, sisi kikwetu mama mkwe wangu na dada zangu na kaka zangu ni mama mkwe wao pia, sasa hawa ni wa wapi jamani, shiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiit huu ni ucafu na ufuska na haukubaliki hata kidogo, mashetani wakubwa hawa sehemu yao ni kwenye lile ziwa liwakalo moto wasipotubu :embarrassed::embarrassed::embarrassed::embarrassed:
 
hawa ni watu wazima ailimia mia moja wamekubalina hakuna mbakaji, hapo wajua tenakiangazi arthi ikikauka walau manyunyu yakipta inashukuru.ulicho kiona kishie machoni mkeo asijue ugomvi huumalizi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom