Kaka yangu anatembea na mama mkwe wangu

ni jambo la aibu!
wote kuoa sehemu moja!
kwa vile umemzoea kaka yako,huyo ndio uongee naye..
mwambie jinsi lilivyo jambo la aibu na mkeo akijua jinsi atakavyoghafilika,...

au ongea na mkeo aongee na mama yake..,
wasiwaibishe kama ni ukame wakatafute wapenzi huko nje!
mijitu mingine sijui ikoje...haina aibu!

Wewe unataka mama mkwe ashughulikiwe na nani? Na unaambiwa baba mkwe alisha fariki hivyo basi mama mkwe anaukakasi kibao
 
Naishi dar, brother wangu mkubwa ambaye ni mstaafu kaja kufuatilia madai yake.
Nyumbani kwangu anaishi pia mama wa mke wangu.
Juzi nlipotoka kwenye mizunguko na kurudi nyumbani mida ya saa tano asubuhi niliwakuta live wakilimega tunda.
Kwa kweli kaka yangu ni mtu mzima ambaye kwa umri kamzidi hata mkwe wangu.
Lakini hii siielewi, matokeo yake nimejikuta mi ndo naona aibu hata kuwaangalia.

Mhh!!! inaonekana wageni wako umewawekea geti kali/mbwa mkali hivyo uvumilivu ukawashinda. Hata hivyo wote wana makosa, jitahidi kila mmoja wao arudi kuwajibika nyumbani kwake maana hayo ni matokeo ya kula na kulala.
 
Wewe unataka mama mkwe ashughulikiwe na nani? Na unaambiwa baba mkwe alisha fariki hivyo basi mama mkwe anaukakasi kibao

hata wanaobaka hutafuta reason kujustfy upuuzi wao,
sijamkataza asiwe na mtu ila sio shemeji yangu!
kama kashindwa kutambua mipaka kwa shemeji yangu...next time itakuwa kwa mume wangu!...napo atasema sio kabila moja,au ukame ulimsukuma...
hili jambo liko sooo wrong..
 
Bila kuwawekea geti kali si nyumba ya mshkaji ingegeuka kuwa danguro.
Kikubwa zaidi jamaa ahalalishe raha zao na awaweke chumba kimoja ili kuongeza nafasi, maana ni matumizi mabaya ya vyumba na kuwanyima raha zao nyakati za usiku
mhh!!! Inaonekana wageni wako umewawekea geti kali/mbwa mkali hivyo uvumilivu ukawashinda. Hata hivyo wote wana makosa, jitahidi kila mmoja wao arudi kuwajibika nyumbani kwake maana hayo ni matokeo ya kula na kulala.
 
hata wanaobaka hutafuta reason kujustfy upuuzi wao,
sijamkataza asiwe na mtu ila sio shemeji yangu!
kama kashindwa kutambua mipaka kwa shemeji yangu...next time itakuwa kwa mume wangu!...napo atasema sio kabila moja,au ukame ulimsukuma...
hili jambo liko sooo wrong..

Fab unanichanganya...yani Kiranja Mkuu ndio hubby?
 
Naishi dar, brother wangu mkubwa ambaye ni mstaafu kaja kufuatilia madai yake.
Nyumbani kwangu anaishi pia mama wa mke wangu.
Juzi nlipotoka kwenye mizunguko na kurudi nyumbani mida ya saa tano asubuhi niliwakuta live wakilimega tunda.
Kwa kweli kaka yangu ni mtu mzima ambaye kwa umri kamzidi hata mkwe wangu.
Lakini hii siielewi, matokeo yake nimejikuta mi ndo naona aibu hata kuwaangalia.

Mkuu hapo tatizo ni kama bro nae ana mke... ila kama hana mke ruksa hiyo kumegana!! kiu mbaya nyie asikwambie mtu:peep:
 
badilisha kichwa cha habari sasa mana huyo sio bro tena ni baba mkwe wako sasa cheo kimepanda
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom