waza the white pelle
Member
- Nov 24, 2022
- 85
- 36
Hapo ndo mwanza tena kwa mwanza hiyo ndo tuseme sehem ya chini lakn kwa mbeya nadhani hata hyo hawana..Ni full kutu mwanzo mwishoUchafu uliopost huu Kwa mwanza ni sawa na mabatini uswahilini ndo leval ya picha zote ulozopost maana at mtaa wa H- BABA hapa mwanza unawakalisha nyie mbeyaView attachment 2545178