waza the white pelle
Member
- Nov 24, 2022
- 85
- 36
Tuna bandari kavu Ya isaka inayotegemewa na nchi jirani za burundi na kongo kwa uchumi wao.Kahama inaizd iringa kwa watu na mapato (mzunguko wa Hela) taja kingne kahama ilichoizd iringa
Tuna bandari kavu Ya isaka inayotegemewa na nchi jirani za burundi na kongo kwa uchumi wao.Kahama inaizd iringa kwa watu na mapato (mzunguko wa Hela) taja kingne kahama ilichoizd iringa
Mbeya ishapitwa na dodoma now mbeya ni ya tano nazan itafutwa kwenye list ya majiji soonKahama ikifka level hzi basi tutapata shida tafuta miji mikubwa tanzania
1 Dar 2 Mwanza 3 Arusha 4 Mbeya 5 Dodoma 6 Tanga 7 Moro 8 Iringa 9 moshi
We vipi unadhani mondi huwaga anakuja kahama analala wapi ???au hujiulizi kwa nini wasafi na huyo mondi mwenyewe wanapenda kuja kahama wanaangalia vitu vingi..Ikiwemo sehem za kufikia..Haya niambie ni lini mondi ashakuja huko iringa au njombe naye anaangalia na sehem za kulala ...Huwezi ukamlza mti kama mondi huko njombeKahama kuna hotel gani hapo boss? 😂🙆♀️
Kweli ufupi hasara kabisa unapost magar yapitayo let maendeleo ya miradi na mijengo pimbi nyie
Hawajielew Hawa pimbi wa kusiniWe vipi unadhani mondi huwaga anakuja kahama analala wapi ???au hujiulizi kwa nini wasafi na huyo mondi mwenyewe wanapenda kuja kahama wanaangalia vitu vingi..Ikiwemo sehem za kufikia..Haya niambie ni lini mondi ashakuja huko iringa au njombe naye anaangalia na sehem za kulala ...Huwezi ukamlza mti kama mondi huko njombe
unaijua royal supermaeket au upoupo tu..Kahama kuna hotel gani hapo boss? 😂🙆♀️
Hawana cha kuleta humu kaka ...Asa sehemu kama hzo si unazipata mwanza na dar tu hapa tz ..Mbeya hakuna hzoKweli ufupi hasara kabisa unapost magar yapitayo let maendeleo ya miradi na mijengo pimbi nyieView attachment 2545349
Kama ndo umeingia slide nyuma kidogo utaona zote au nikusaidie kenge mjamzito eweKahama kuna hotel gani hapo boss? 😂🙆♀️
Sasa Royal supermarket ni hotel braza?, Au unasemea Royal food?,, Ile nayo siyo hotel ni mgahawa tu,,unaijua royal supermaeket au upoupo tu..
Hii kahama hotel at least,, zingine hapo ni lodge tu za ghorofa,,Kama ndo umeingia slide nyuma kidogo utaona zote au nikusaidie kenge mjamzito eweView attachment 2545350View attachment 2545351View attachment 2545352View attachment 2545353View attachment 2545354View attachment 2545355View attachment 2545358View attachment 2545359View attachment 2545362View attachment 2545363View attachment 2545364![]()
Hoteli za mwanza unazijua boss?Hii kahama hotel at least,, zingine hapo ni lodge tu za ghorofa,,
Ni kama kwa mwanza xmas tree, wande, shinyanga gesti uite hotel,, sababu ni ghorofa mbili au tatu,, wakati reality hizo ni Lodge
Kwan Ili iitwe hoteli kumbe lazima ghorofa? 😂😂Hii kahama hotel at least,, zingine hapo ni lodge tu za ghorofa,,
Ni kama kwa mwanza xmas tree, wande, shinyanga gesti uite hotel,, sababu ni ghorofa mbili au tatu,, wakati reality hizo ni Lodge
Nilizokutajia ndio hadhi ya hotel nyingi kahama,, sijasema hoteli mwanza hakunaHoteli za mwanza unazijua boss?
Huduma,, kahama wanadhani ikishakua ghorofa basi ni hotelKwan Ili iitwe hoteli kumbe lazima ghorofa? 😂😂
Hii kahama hotel at least,, zingine hapo ni lodge tu za ghorofa,,
Ni kama kwa mwanza xmas tree, wande, shinyanga gesti uite hotel,, sababu ni ghorofa mbili au tatu,, wakati reality hizo ni Lodge
Hii ndo iko ubavuni mwa idara 6a maji? 😲View attachment 2545373
na hyo ni lounge??
Huduma,, kahama wanadhani ikishakua ghorofa basi ni hotel
We ndo jinga mbona unafichamia mwanza mzee Leo tupo mkoa wa njombe na shinyanga njombe again Yana tuliaha wambia mkoa wa njombe kimaendeleo upo juu check unavowatoa mapovu watu wa mkoa wa shinyanga hadi huruma wameanza kutapatapa mara picha za mwanza mara dar njombe imewanyooasha muwe na adabu siku nyingineKweli ufupi hasara kabisa unapost magar yapitayo let maendeleo ya miradi na mijengo pimbi nyieView attachment 2545349
Hii sio point ya maendeleo Bali ni Chaka la kujifariji tuView attachment 2545375View attachment 2545376View attachment 2545377View attachment 2545378View attachment 2545379View attachment 2545385
kwanini waje kahama na sio iringa au njombe???
Usilete hadithi hapa leta vitu tuvione haya mkoa wa njombe again bandari kavu makambako kwa nchi za SADC na mikoa ya nyanda za juu kusini pia Kuna project ya ujenz wa mantank ya mfuta makambako kwaajili ya mikoa ya kusini Sasa nyie wazee wa porojo mtaponea wapiTuna bandari kavu Ya isaka inayotegemewa na nchi jirani za burundi na kongo kwa uchumi wao.