KONK MASTER
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 1,223
- 512
Tunza beach and resort
Hii shinyanga inakalisha ata arusha.Shinyanga hyo jiji iko safi halina slums kama za njombe mji
View attachment 2543076
Yeah sorry nilikosea nilimlenga mwinginekaka umekosea kuniquote mim ni mwanza mwanza
Ubishi ambao Hauna maana kusini huwez linganisha na lake zone ata kidogo lake zone Iko juu hat ikiwa nchi inajitosheleza Kila kitu kipo na inasomga mbele na miji imeendelea sana pia at viongoz wanapendelea sana lake zone maazimisho na matamasha pamoja na ziara maana watu wengi pia wanakuwa na nguvu kuongea Kwa kuwa maendeleo yapo ila kusini aliyewakumbka alikuwa hayat MAGUFULI ndo kaikumbka sana kusini kaweka Barabara adi home Kwa hayat mkapa, pia kaweka hospitali mtwara kajenga lami.
Kumbka huku lake zone ukiongelea ruvuma ambayo ndo SONGEA na hiyo Lindi watu hawajui kama Kuna watu wanaishi huko maana hata haiongelew sana Kwa habari
Pia nakumbka kipindi flan walisema maendeleo yawe kikanda lakin ilipingwa na kusema Kuna ukanda watakufa njaa hasa mkoa wa ruvuma Hauna mapato Wala chochote Cha maana hivo inabebwa kishikaji na ndio maana Pako doro,,
Namaliza kusema mtaongea sana ila KAHAMA sio mchezo mm mwenyew nashangaaga huu mji ni balaa sana na ndo maana wasanii wakipiga festival lazima wafike KAHAMA Bora waache mikoani lakin KAHAMA. Lazima
Kuna majengo hatari,,supermarket,mahoteli ya maana ad mashirika makubwa yamewekeza hapo kama NSSF ambapo kusini hamna ad mbeya ndo wamejenga juzi TU NSSF,hii ni kuangalia wajenge Kuna Nini?
Kahama mitaa kama yote Ina lami japo sio ya kiwango sana baadhi ya mitaa lakin Ina lami,
Ina milk stand ya malori yote afrika mashariki
Cha mwisho Kaa ukijua KAHAMA ni mji wa biashara
SAFi Sana mkoa wa njombe mikoa ya ambao hawajitambui ni kuikanyaga tu wAcha project ziendeleeShinyanga idad ya magorofa 358.
Njombe 322.
Acheni ujinga magorofa sio tija nyie wehu.Kama gorofa ni kitu cha msingi pwani na morogoro yangekuwa majiji kabla ya mbeya.
Ndo umetoka usingizini au hujaona picha zote et hadithi tatizo umbilikimo wenu unawafanya adi akili kudumaa zinawaza pafupi ulinganishe lake zone nyanda za juu kusini utajiri HIVO mnakielewa msemacho kina TU lake zone ukiskia unajua eeeh Kuna mamboHuu SI wakati WA hadithi leta picha
Unasifia nn wakak magorofa shy ni Zaid ya ruvuma ambay at mtu ukimuuliza ruvuma wanazalisha Nini utampiga uue hajui ila uliza lake zone wanazalisha Nini mapema Sana unapewa majibuSAFi Sana mkoa wa njombe mikoa ya ambao hawajitambui ni kuikanyaga tu wAcha project ziendeleeView attachment 2544603View attachment 2544606
Kansa ya akili Ina kusumbua porojo hatutaki tunataka fact hayo maneno hatu taki hizo ni kama story za vijiwen go njombe goNdo umetoka usingizini au hujaona picha zote et hadithi tatizo umbilikimo wenu unawafanya adi akili kudumaa zinawaza pafupi ulinganishe lake zone nyanda za juu kusini utajiri HIVO mnakielewa msemacho kina TU lake zone ukiskia unajua eeeh Kuna mambo
Kansa ya akili Ina kusumbua porojo hatutaki tunataka fact hayo maneno hatu taki hizo ni kama story za vijiwen go njombe go View attachment 2544619
ZeeKuna kenge mmoja kasema et shinyanga nikuoneshe ghorofa lenye floor tano 😂 nimecheka sana kumbe mtu anadandia Uzi at kutembea hajatembea aya ngoja nimuoneshe Ili awalingishie kwao View attachment 2544382View attachment 2544384View attachment 2544385
Ziko wapi? Mbona wewe huzileti tuone zinavyokimbiza? 😂😂Hjaona picha za mji wa kahama inakimbiza mkoa wenu
Kwa sababu huko ndiko Kuna ng'ombe wasiojitambua wamerundikana kwenye mazizi wanaita nyumba😁😁Hivi kusini hamjiulizag Kwa Nini kampen zikianza nguvu huwa ni lake zone,kaskazin lakin kusini wanaendaga mbeya TU kidogo hii inatoa na kuonesha huko hamna Kila kitu Sasa at mbeya waliipa Jiji Ili msionekane mnatengwa ukanda wenu ila hyo mbeya ni hovyo Bora IRINGA. ingekuwa city kuliko mbeya
🤣🤣 Hii nini Sasa ume post Bwashee! Inatoa aibuUnasifia nn wakak magorofa shy ni Zaid ya ruvuma ambay at mtu ukimuuliza ruvuma wanazalisha Nini utampiga uue hajui ila uliza lake zone wanazalisha Nini mapema Sana unapewa majibu
Halafu hapa sio Capetown au newzaland but ni lake zone cheki palivo View attachment 2544615View attachment 2544617View attachment 2544618
Kwa hiyo Shinyanga ndio imeisha hivyo?Tatizo mlichelewa sana Sasa unapost majengo ya hospitali,shule wakat Kila mkoa na Kila wilaya yapo tena wilaya zingine yapo kitambo kwenu mnaona fahar kweli nyie bado sana haya mm skupi shule Wala hospital nakupa mijengo ya mji kabisa chekiView attachment 2544635View attachment 2544639View attachment 2544644View attachment 2544645View attachment 2544646View attachment 2544647View attachment 2544648View attachment 2544649View attachment 2544650View attachment 2544651View attachment 2544652
View attachment 2544653View attachment 2544655View attachment 2544656View attachment 2544657View attachment 2544658View attachment 2544660
eti hapo ndo town!!! ..Saizi huwezi kuwaona 😁😁
Mbinga town street roadsView attachment 2543999View attachment 2544000View attachment 2544001
Barabara za mitaa za town zenu ziko wapi? 😂😂eti hapo ndo town!!! ..
Hili jengo ni la NHC lipo dsm kweli njombe imewashika pabaya hadi mmeanza kuchukua picha za gorofa za dar mkoa wa shinyanga unafahamika gorofa zenye floor kuanzia Tano zipo mbili njombe imesha waacha mbali mzeeTatizo mlichelewa sana Sasa unapost majengo ya hospitali,shule wakat Kila mkoa na Kila wilaya yapo tena wilaya zingine yapo kitambo kwenu mnaona fahar kweli nyie bado sana haya mm skupi shule Wala hospital nakupa mijengo ya mji kabisa chekiView attachment 2544635View attachment 2544639View attachment 2544644View attachment 2544645View attachment 2544646View attachment 2544647View attachment 2544648View attachment 2544649View attachment 2544650View attachment 2544651View attachment 2544652
View attachment 2544653View attachment 2544655View attachment 2544656View attachment 2544657View attachment 2544658HihView attachment 2544660