Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Mbeya to mwanza ....zote pride of mwanza
20221205_164357.jpg
20221209_194059.jpg
20221209_194046.jpg
 
Kuna vitu vina umuhimu kwenye miji check hapo geita na kahama geita inaonekana
hqdefault(0).jpg
2018-01-31-1200x675.jpg
 
Ukitoa ukubwa wa kieneo mbeya ni kijiji mbele ya morogoro hata kwenye ligi ya hotel za nyota tano mbeya ndo haiifikii Moro hata kwa asilimia 1%


Hats ndugu zangu wa arusha mjiangalie vizuri kwa hii kasi ya ukuaji na uwekezaji wa Moro Luna Siku mtalia
aerial-view-morogoro-town-aerial-view-morogoro-town-tanzania-143913609.jpg
704df4470579bc6bf51587a236b52433.jpg
aerial-view-morogoro-town-aerial-view-morogoro-town-tanzania-143914982.jpg
maxresdefault.jpg

Morogoro kuwa junction imechochea Sana ukuaji hasa kwa kuzitumia vizuri fursa zilizopo
 
Kuna vitu vina umuhimu kwenye miji check hapo geita na kahama geita inaonekana
View attachment 2445467View attachment 2445475
Halafu Geita wanalilia kuhunganishwa na Kahama kwa barabara ya lami Wabunge Geita ‘wamlilia’ Rais Samia ujenzi barabara Geita-Kahama Aaiseee 😄 😄 😄 😄 😄 . Kahama ni zaidi ya hizo keep left, na hiyo miundo mbinu itafuata Kahama yenyewe serikali ipende isipende kama vile mabank yanavyopigana vikumbo kutafuta fursa Kahama,
 
Miji inayokua kutokana na kuwepo kwa junction zinazo unganisha na TAZAM high way hapo ni makambako na morogoro
Map-of-United-republic-of-Tanzania-a-Makambako-District-b-and-c-Morogoro_Q320(0).jpg
 
Nilikuwa sijapitia uzi wa dar vs Nairobi, yaani nacheka peke yangu mbeya inavyopekenyuliwa😂😂
 
Nilikuwa sijapitia uzi wa dar vs Nairobi, yaani nacheka peke yangu mbeya inavyopekenyuliwa😂😂
aerial-view-of-mbeya-city-tanzania-WXY214.jpg

Hiyo ndio picha aliyoweka kwenye uzi wenu wa dar vs nairobi, wakamuuliza wakenya mbona mji hauna ata barabara za kupitisha pikipiki kwahiyo wanajenga wakiwa hawana hitaji la magari wala chombo chochote cha usafiri?
 
Back
Top Bottom