Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Huo si mgawanyo wa tarafa za wilaya ya dodoma ..HIV unajua vigezo vya manispaa wew au unaongea tu
Na vijua Sana Kwan mji si unaanzia kwenye tarafa ndo maandaliz hayo mzee hawaja weka zone hizo kiboya ujue tayari vichwa vimesha umiza kuwa lazima makao makuu yaje kuwa na manispaa kadhaa mbeleni saiz mikoa inayo jielwa inafanya hivyo na hii inachochea Sana maendeleo
48646485913_39082ca32e_z.jpg
 
Huo si mgawanyo wa tarafa za wilaya ya dodoma ..HIV unajua vigezo vya manispaa wew au unaongea tu
Hata njombe hizo halmashauri nne zilikuwa tarafa now ni halmashauri ko ni mipango mwaka 2011 bado zilikuwa tarafa baada ya kugawa mkoa tayari wilaya ya njombe ikatoa halmashauri nne ambayo km za mraba inalingana na mufindi dc na hapo tunaongelea iliyokuwa wilaya ya njombe nje ya wilaya ya makete na ludewA zinazounda mkoa wa njombe
political-simple-map-of-iringa-single-color-outside-borders-labels.jpg
free-fancy-gray-simple-map-of-njombe.jpg
A-map-showing-the-study-districts-and-their-respective-wards-in-Njombe-region-Tanzania~3.jpg
3-0.jpg
 
mkoa wa njombe umeimarika Kila sector Hizo ni Barabara za wilaya za ludewa na makete mkoa umefunguka Kila Kona full maendeleo
FB_IMG_16760148512204617.jpg
FB_IMG_16757340856327748.jpg
sddefault(0).jpg
maxresdefault(2).jpg
 
Back
Top Bottom