Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Halaf nlichogundua njombe mnabishana bila fact .. Asa unapoleta mabasi kwani kahama hayapo ?? ? leta vitu vya msingi
Wanaleta bas halafu hawana hoja wanamilikiwa na jamaa mmoja kawaoa wote SUPER FEO na anaendesha anavotaka hawana pakwenda gar ni hizo tyu mikoa ya njombe na ruvuma ni huruma waje kahama waone matajiri wametanda
 
Jiji lote la mwanza huwez Kuta Banda la nguruwe kenge mjamzito ewe,, unapost mbeya iliyopat lift juzi mabat yote kutu yaan ni takataka kabisa
Wewe ni kajinga na umedandia treni Kwa mbele..

Tumepost sana mauswazi ya Mwanza na Sina mda wa kurudia kama unabisha leta picha yeyote ya aerial nikuoneshe.
 
Wanaleta bas halafu hawana hoja wanamilikiwa na jamaa mmoja kawaoa wote SUPER FEO na anaendesha anavotaka hawana pakwenda gar ni hizo tyu mikoa ya njombe na ruvuma ni huruma waje kahama waone matajiri wametanda
Kama utajri inajulikana wazi kuwa matajiri wengi kwa Sasa wanatoka njombe ushahidi nenda kariakoo
 
Wanaleta bas halafu hawana hoja wanamilikiwa na jamaa mmoja kawaoa wote SUPER FEO na anaendesha anavotaka hawana pakwenda gar ni hizo tyu mikoa ya njombe na ruvuma ni huruma waje kahama waone matajiri wametanda
Saizi Feo anawapelekea moto huko huko Usukumani kaja kuwatoa ushamba.
 
Ndio maana nakwambia ukipunguza ujinga utapata akili.
Target ni bil.8, Makusanyo halisi yatafika 13. plus hiyo ni Asilimia ngapi ya lengo?

Mwisho unatakiwa uongoze Kwa pesa sio Asilimia harafu pesa huna 😂😂

we jielewe kuwa kama msomi ..Lini ushawah kuongoza mapato na ukazidi wilaya zote tz..Hata baba yenu mbeya hajawahi
 
Back
Top Bottom