Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Haya mkoa wa njombe usafiri wa meli wap jangwa la shinyanga
23621215_1722073574766646_8375944825248421969_n.jpg
ENAg6x8XUAAFx_O.jpg
 
Haya angalieni mkoa wenu wa shinyanga ni WA ngap tunavo wambia watu wa huko ni maskini nyie mnakimbilia kuangalia migodi iliyowekezwa na wazungu na Kodi inakusanywa na tra afu ndo uje ushindane na njombe ambao pesa inamilikiwa na wananchi akili hazikutoshi maendeleo njombe yatazidi kukua zaidi wananchi wake ni wachapakazi Sana shinyanga Ina migodi miaka mingi lakini mkoa wa juzi njombe umesha wapita mbali kimaendeleo mnaishia kufarijiana na makorongo na vumbi mliloachiwa
FB_IMG_16785039294750399.jpg
FB_IMG_16785037567884915.jpg
 
Attachments

  • tz-sgr.jpg
    tz-sgr.jpg
    20.8 KB · Views: 5
Haya angalieni mkoa wenu wa shinyanga ni WA ngap tunavo wambia watu wa huko ni maskini nyie mnakimbilia kuangalia migodi iliyowekezwa na wazungu na Kodi inakusanywa na tra afu ndo uje ushindane na njombe ambao pesa inamilikiwa na wananchi akili hazikutoshi maendeleo njombe yatazidi kukua zaidi wananchi wake ni wachapakazi Sana shinyanga Ina migodi miaka mingi lakini mkoa wa juzi njombe umesha wapita mbali kimaendeleo mnaishia kufarijiana na makorongo na vumbi mliloachiwa
View attachment 2545479View attachment 2545480
Alaf kuna kenge mmoja anafananisha lake zone na southern zone,🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Uchangiaji wa pato la taifa .Mahotel .
Iringa imeizd kahama ukubwa wa mji iringa mji una kata 18 kahama kata 11 ni level za mafinga yenye kata 9 iringa imeizd kahama usafi mpangilio wa mji na huduma za kijamii mfano mashule hospital na elimu,miundombinu pia hali ya hewa ya kusini huwez kufananisha na lake zone
 
Mafinga ni wilaya .Mji au manispaa naomba jibu tafadhali
 
Back
Top Bottom