KONK MASTER
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 1,223
- 512
Rudi nyuma angalia picha zote utaonaBarabara za mitaa za town zenu ziko wapi? 😂😂
Rudi nyuma angalia picha zote utaonaBarabara za mitaa za town zenu ziko wapi? 😂😂
Ndio maana tuna akili tunakula parachichi aka green goldMnavicha vikubwa akili ni kama kokwa la parachichi
Nyuma wapi wewe kima,mie ndio nimenzisha Uzi ,hazipo zaidi ya kutafutizaRudi nyuma angalia picha zote utaona
Akili Yako fupi kama ulivo huku magari yote luxury tena mengi scania na sio mchina za super feo mnamuita MFALME kusini, huo ujinga Kanda yote muolewe na mtu mmoja kweli amken kondoo nyieMbumbumbu nyie luxury mumeanza kuziona mwaka Jana mwishoni 😁😁
Halaf wanapata wapi ujasiri wa kulinganisha mwanza na mbeya yaani mwanza jiji la pili kiukubwa tz na moja kati ya majiji makubwa africa ndo ulinganishe na mbeya ???Wewe ni kajinga na umedandia treni Kwa mbele..
Tumepost sana mauswazi ya Mwanza na Sina mda wa kurudia kama unabisha leta picha yeyote ya aerial nikuoneshe.
Wamezidiwa mbali na njombe wasituletee porojo hapaNyuma wapi wewe kima,mie ndio nimenzisha Uzi ,hazipo zaidi ya kutafutiza
Nabishana na mtoto aliyetolewa nepi majuzi juzi..Akili Yako fupi kama ulivo huku magari yote luxury tena mengi scania na sio mchina za super feo mnamuita MFALME kusini, huo ujinga Kanda yote muolewe na mtu mmoja kweli amken kondoo nyie
Wamezidiwa nini??Wamezidiwa mbali na njombe wasituletee porojo hapa
Fursa na maendeleo ya mkoaWamezidiwa nini??
Njombe kuizid kahama sahau maana huko mmelala sana kama kondoo amuken mchangamkie fursa na sio super feo awe MFALME kusini yaan kampun moja tu kutwa mnalialia mtandaon et anawaonea anajipangia Bei na mizigo Sasa so mnunue nanyi kenge wajawazito nyie au umaskin unawasumbuaWamezidiwa mbali na njombe wasituletee porojo hapa
Kaka watu wafupi akili zao ziko karibu na matako wanawaza super feo ndo mme wao huko kusini, Sasa watapost Nini wakat hawanakwanza kahama ni manispaa njombe ni mji ...Halaf majitu yanabisha tuu bila hata fact ..Et unaleta mabasi ..
Let fursa pia hapo unaelewa utajiri gan wanasemea?
Sasa huna fact na uzee wako si Bora ufeNabishana na mtoto aliyetolewa nepi majuzi juzi..
Endelea kujadiliana na wanuka mikojo wenzio.
Uchafu uliopost huu Kwa mwanza ni sawa na mabatini uswahilini ndo leval ya picha zote ulozopost maana at mtaa wa H- BABA hapa mwanza unawakalisha nyie mbeya
kabisa kaka yaambie hayo manyumbuKAHAMA inapaswa kushindana na IRINGA na sio MBEYA,NJOMBE,RUVUMA,LINDI
Hizi kwa Lake Zone ni kumbi za Harusi na sherehe mbali mbali.Kansa ya akili Ina kusumbua porojo hatutaki tunataka fact hayo maneno hatu taki hizo ni kama story za vijiwen go njombe go View attachment 2544619