Hahahahaha mpwa unamsoma huyu comrade hapa chini? Ndo maana hata yule dada pale Malawi alikuwa anamtia vidole vya macho..... I miss J.K Nyerere (RIP). Hakupitia jeshini kama huyu naniliu lakini mpaka mida hii angekuwa kashatuma salamu....😛ainkiller:
Ukicheza sana na mbwa ataingia utaingia naye msikitini.......... walisema waliotutangulia.....
Kwani tatizo ni nini hapa? Sipendi uongozi wa Jakaya kwa vipindi vyote akiwa madarakani kama Rais wa Tanzania. lakini, kutukanwa na kanchi kadogo kama Rwanda is disgusting!! Kisa Jakaya ametaka peace talks and negotiations kwa nchi zile zilizo katika vita ndani ya maziwa makuu.
Jeuri ya kagame ya kupigana vita vya mstuni, anataka kutuletea sie? Hii haikubaliki hata kidogo...
Sasa wewe mwenye akili isiyo ya kipuuzi ulitaka wafanye nini kulienzi Taifa hili?Hawa ndio watu wa media ya bongo with zero brain na hata reasononing hakuna,ukitoa ushauri sio lazima ukubali tena ukiwa wa kipuuzi unapata na zaidi ili siku nyingine uache kelele za kipuuzi
alisema hivyo akiwa wapi? au ni maneno ya kulishwa?
hii inaonyesha ni kwa jinsi gani ulivyo dhaifu.na haufai kuwa kiongozi hata kidogo.ni nani alikuambia kila ukijibiwa vibaya ni lazima upigane vita?hii inaonyesha jinsi gani usivyoangalia matokeo ya hiyo vita,utapoteza ndugu zako,uchumi utashuka,watanzania watakuwa wakimbizi,,,je ndio ndoto zako kuona akina mama wamejibebea mizigo kichwani wakitafuta makambi ya wakimbizi?hufai hata kidogo thats why unaona kiongozi wa Tanzania haliongelei hilo suala.mlianza na malawi mkaropoka at last akasema maongezi ndio solution,na hili la rwanda nalo liwe sababu ya kwenda kupigana vita?Putin rais wa Russia S 300 missiles alizokuwa akizisafirisha kwenda syria israel wamezilipua njiani mara 3 kwa mwaka huu tu,PRISM ni mpango wa marekani kuspy communication duniani na snowden alifichua kuwa hadi na EU walikuwa wapo under prism na Obama akakiri,na EU wamekasirika lakini did you ever heard of war option?ney
enyi wanasiasa ama mnajiita wanasiasa na kuweka vita mbele be carefull
kind regards Chimbuvu
Hasira wanayo onyesha vijana wetu ambao wengi siyo tu kwamba hata hawana mafunzo yoyote ya kijeshi na hawaijui hata historia na uelewa wa wanachoshabikia inatosha kwa wenye akili kujua nchi yetu inavozidi angamia kwasababu vijana wetu wengi hawana maarifa!
Ukubwa wa nchi siyo sababu ya kushinda vita,na wenye akili hawapigani vita kwasababu eti rais ama mkuu wa nchi katukanwa!
Vijana msipende kuishi Tanzania ya Nyerere wakati mmekubali kuongozwa/kutawaliwa na watu wa hovyo! Mtapigwa kweli pengine ndipo ntaamini enzi yetu imepita!
Hili liwe fundisho JK usiwe unaandikiwa kila kitu, wewe huwa unasema akili ya kwaambiwa changanya na yako. we kila unachoambiwa na kuandikiwa unakubali tu, Hongera sana Kagame.
Ndugu mpendwa, una akili sana wewe. Tusiingie vitani ki kichwa kichwa bila kumjua adui. Bora kukaakimya sasa wakati ambao ambao hatujui adui ana zana gani na anasaidiwa na nani? Tukijua ukweli, tujiweke kwenye mizani, kama tunaweza tuwachape tu, kama hatuwezi tuipotezee tu.
Pia tukumbuke kuwa VITA NI GHARAMA KUBWA, HADI LEO HATUJALIPA DENI LA VITA YA KAGERA
Tuwe careful mkuu huyu jamaa Kagame ana kitu nyuma yake. Hebu tazama kiburi inatoka wapi....
Rwanda Military
Armed forces growth 1,246 [1st of 132]
Armed forces personnel 70,000 [50th of 166]
Arms imports > constant 1990 US$ 14,000,000 constant 1990 US$ [64th of 100]
Branches
Rwandan Defense Forces: Army, Air Force
Conscription
No conscription (FWCC).
expenditure > % of central government expenditure 29.17 % [5th of 88]
expenditure > % of GDP 2.17 % [35th of 145]
Expenditures 2.9 % of GDP [25th of 87]
Expenditures > Dollar figure $50,100,000.00 [57th of 111]
Manpower > Availability > Females 2,392,933 [73rd of 162]
Manpower > Availability > Males 2,430,469 [80th of 210]
Manpower > Availability > Males age 15-49 1,932,640 [91st of 175]
Manpower > Availability > Males age 15-49 1,973,713 [90th of 175]
Manpower > Fit for military service > Males age 15-49 1,004,296 [101st of 174]
Manpower > Reaching military age annually > Males 111,791 [73rd of 226]
personnel 53,000 [69th of 170]
personnel > % of total labor force 1.27 % [60th of 168]
Service age and obligation
18 years of age for voluntary military service; no conscription
US military exports $378.00 thousand [67th of 109]
Weapon holdings 107,000 [114th of 137]
Source:NationMaster.com
Kagame amepata kichwa baada ya kusikia kauli ya Mnyika Bungeni.Mnyika ndo amezalisha yote haya ya Rais wetu kudharauliwa.Siku zote ukiona mtu mzima anaongea upumbavu mbele ya media au watu dhidi ya kiongozi mwenzake ujue ana matatizo.
Rwanda ni kama sisimizi kwetu, kama anazungumzia vita Tanzania inaweza kuichukua rwanda na kuifanya wilaya kama biharamulo tu.
This idiot must be stopped now.
Kagame ni muuaji na --------, huwezi kukataa kumaliza matatizo na adui yako hata uwe nani labda tu uamini kuwa unaweza kuwaua wote ubaki peke yako. Leo tunaona marekani yenye uwezo wa kuwamaliza kabisa Taleban imekubali kukaa chini na kuongea nao sembuse Rwanda na interahamwe ambao ni wahutu na Rwanda ni nchi yao?
Ndugu mpendwa, una akili sana wewe. Tusiingie vitani ki kichwa kichwa bila kumjua adui. Bora kukaakimya sasa wakati ambao ambao hatujui adui ana zana gani na anasaidiwa na nani? Tukijua ukweli, tujiweke kwenye mizani, kama tunaweza tuwachape tu, kama hatuwezi tuipotezee tu.
Pia tukumbuke kuwa VITA NI GHARAMA KUBWA, HADI LEO HATUJALIPA DENI LA VITA YA KAGERA
Uganda na Kenya watawasaidia.akifanya at right time atashinda, plus vp uganda wakiwasaidia
Hili liwe fundisho JK usiwe unaandikiwa kila kitu, wewe huwa unasema akili ya kwaambiwa changanya na yako. we kila unachoambiwa na kuandikiwa unakubali tu, Hongera sana Kagame.
An excellent point...You are right! Mazingira ya sasa si kama yale ya Nyerere kabisa. Wakati ule mtu alikuwa anajivunia kuitwa mtanzania na alikuwa yupo tayari kufa kwa ajili ya nchi yake. Hivi leo hii yule aliyefiwa na ndugu zake kutokana kupigwa risasi na polisi unafikiri ataweza wapi kuitetea Tanzania? Atatamani majeshi ya kigeni yashinde ili utawala dhalimu uondolewe. Yaani tukiingia vitani sasa hivi tutapigwa kama alivyopigwa Iddi Amin. nawashangaa sana wanaosupport vita kwenye nchi iliyosambaratika kama hii.
hiyo hailezi vizuri,tunataka tujue ako na vifaru vingapi,mizinga,ndege etc.jaribu kucheck globofirepower.com wanaweza kuwa na hint.hata hivyo huyu si silaha alikua anapitishia hapa dar,military inteligence watakua wanaj