Hahahaaa hii issue imeongelewa saaaaana mpaka ikatoka kwenye front page, sijui kwanini unairudisha, au kwa kuwa kwenye front page ya JF Int.umekuta hakuna topic inayomshambulia Kagame so ukaona bora uzue yakare,irimradi tuu, Wahenga warisema……
Anyway Kagame ariyatamka baadhi ya hayo maneno japo kuna yako umeongezea sijui ni kwa kujua lugha vizuri zaidi au ni ushabikibi, utajyaza mwenyewe. What I want to tell you is this, pamoja na Kagame kuongea maneno hayo, kwa taarifa yako alikuwa anajibu mapigo , sasa ulitegemea afanye nini. Kwa taarifa yako kabla Kagame hajaongea maneno yale Mheshimiwa Kikwete yeye alikuwa ameyatenda, hakuyaongea tu bari yeye zaidi aliyaweka kwenye vitendo,he put them into action before Kagame's words, na alifanya hivyo huku akichekacheka na kujifanya muungwana wakati ni nyoka mwenye sumu kali sana Kagame hakuwa na option ila kutamka wazi kuwa anajua kinachoendelea that was a clear message kuwa njama zote za Mh.JK zilikuwa zinafahamika malengo na mipango yote.
Kagame alikuwa ameinvest sana kwenye uhusiano ulio bora na wananchi wote wa Tanzania, lakini baada ya kugundua kuwa Rais wa TZ alikuwa ana plan za kuidhuru Rwanda na Kagame mwenyewe plan ambazo alikuwa tayari amejaribu kutekereza mara kadhaa,hakuwa na option isipokuwa kutoa onyo
Ok Utaniambia lete mifano na source, it is clear as a Sun I will come to that later, meanwhile allow me to share my previous post regarding the relationship between Rwanda or Kagame and TZ.
Rwandans including President Kagame loves Tanzanians and your president, am going to try to give some examples for you to think about. However in any relationship there ere some lines you can't cross. So for Rwanda with the History we have passed through, INTERAHAMWE (FDLR) is that line, period. For a country like USA after Sep 11, Such line to USA was BinLaden, and to Tanzania in 1978 that line was Idd Amin etc etc. Kwa mtaji huu sasa, kwa Rwanda even if you are our Friend, by suggesting we sit with Interahamwe, i t is an Insult above everything and we cannot accept that hata kwa mtutu wa bunduki HATUTAKUBALI.
So The People who advised Kikwete to utter such an imaginable words knew what they were doing, so they were hitting Rwanda where it hurts most, " The Good, maturity and respect understanding that existed btn these two countries". Those Advisors knew that Rwandans and Kagame's development plans, were based on good relationship with Tanzania, Therefore Kagame kama mpenda maendeleo kwa watu wake na nchi yake analijua hilo. So Himself and all his Goverment were always working towards maintaining a good relationship with Tanzania(sometimes back he even made it a priority to his cabinet-"Good relationship with TZ"), I remember one incidence sometimes back, there was this Guy a Rwandan from Diaspora a very bright Man, he was genius in Electronics and Communication, he was plucked by Kagame himself from a big project in the First world to come and develop this sector in Rwanda, he was given the only Telecom company available at that time in Rwanda to run and develop, he was given all necessary acknowledgment and support by the country, so the guy was powerful politically to be considered among the 3 most powerful people in Rwanda. He had his private parking at Telecom house, one day a Tanzanian official from the embassy popped at Telecom house and found no parking available, so he decided to use the boss's parking for few minutes, the guards tried to stop him but he insisted that it will only take very few seconds. Before he was back the Boss arrived and found his parking occupied so you can imagine a boss in his own house, there was ugly scene no need to narrate everything.. The Tanzanian ambassador later complained to the Ministry of Foreign affairs, although this issue was very small, but due to the priority,I mentioned above I am telling you the Guy was dismissed with immediate effect out of respect to Tanzania, he is now among the staunch opponents of Kagame's Govt like some members of JF here. Few years later, Ugandan Ambassador was not afforded the same privilege in almost similar circumstances.
Another example of brotherly friendship Rwanda Govt. has over Tanzania, on any big occasion to Rwandan people, Tanzanians are always the first on the List of invitees, regardless of the situation btn the two Govt, regardless of who JK sends as his representative, you will always see prominent Tanzanians like Benjamin Mkapa, The Family of Mwalimu (Mama Maria with daughters or Son) etc etc among our guests. Therefore The true Rwandans and Tanzanians respect each other, with exception of few people who are regular here in JF. Kagame mwenyewe na Kikwete used to be good friends. Nakumbuka mwaka 2005 Mheshimiwa JK alianzisha kampeni yake kuelekea Magogoni akiwa pale University of Dar Es Salaam, ingawa kampeni rasmi irikuwa haijaanza, Mr Kagame presented him with a good opportunity, on that particular day, it happened like this, That day Mr. Kagame was a Guest speaker at Nkrumah hall, the hall was fully parked to its capacity and even its surroundings were all filled with people who had come to listen to some big thinking, The topic and discussion in general were so lively and interesting, at the end of the day these two guys (PK&JK) launched ones campaign without electoral commission's authorization. I was among the participants in that Lecture.
Another example is an economic gains the two country were likely to gain and which they had invested much before, Un Upgraded Central Corridor Railway Line(Dar-Isaka-Kgl) with a later ext. south to Buja and Congo. Tanzania and Rwanda @ had paid 6m Euro on all feasibility and engineering studies. Upon completion, while Rwanda was very committed to start the project, Kikwete had other ideas and he had some good advisors who advised him against the project just to disrupt the Govt of Rwanda's Plans, as a result the project was shelved todate So Rwandans especially our President had been trying to be a good friend to Tanzanians and their President as we have much to gain economically from it. However we can not be held to ransom, and our DIGINITY is paramount, there are LINES you cannot cross no matter how important you are.
Kwa hiyo kama wanyarwanda wengine Raisi Kagame hakuwahi kufikiria kuwa Rais Kikwete au Rais yeyote wa Tanzania angekuwa wa kwanza ku Cross ile Line. But all in all he did it, he did it after a careful planning and manipulation of one Man, a very good friend of Kanali Mrisho pia who for the Past 3-4years was a regular visitor at various official dinners and evening functions at Magogoni, who also managed to establish several lucrative deals from DRC for JK using several connection he had established personally either while still in Service in Rwanda or during his dealings with FDRL. This is Non other than the SPY Master the late Patrick KAREGEYA RIP (Am Sorry to say it but he got what he deserved)
My Friend UBUNGOUBUNGO, huyu jamaa kwa kushirikiana na JK na Jamaa mwingine kwa jina Gen. Stanislas Izabayo Alias Bigaruka (Nambari 2 kwenye uongozi wa wa Kijeshi wa FDLR) walikuwa kwenye njama na mikakati ya ku destabilize Rwanda na Kagamena. Hiyo mipango ilikuwa inafanywa huku JK akijifanya ni rafiki, na akichekacheka. Lakini PK alikuwa anauona mchezo mzima na alichofanya ni kumnyakua huyu General ili kupata mkanda wote na kuzima njama zilizokuwa zinapangwa Ukitaka kujua habari za huyu askari wa FDLR tafuta habari zake kwenye media au muurize mchungaji fulani hapo bongo ambaye ndie alikuwa anamuhifadhi mara kwa mara wakati wa hizo safari zake eti akihofia ku kaa hotel. Kwa mtaji huu Kagame aliona hana haja ya kubembereza hivyo akatamka aliyo yatamka. Kwa kweli kama ulikasirishwa na matamshi yale ni afadhari PK alitamka lakini JK yeye alikuwa anatenda kichinichini huku akijifanya anatoa ushauri. Nonsense ingawa kwa kweli haishangazi Mheshimiwa JK ni mtaalam wa backbiting kama huamini Ask General SAYORE Gideon enzi za Monduli.