Tuwe careful mkuu huyu jamaa Kagame ana kitu nyuma yake. Hebu tazama kiburi inatoka wapi....Huyu jamaa inabidi apelekewe wale migambo wa city tu wanamtosha
Awaulize wamarekani walikimbia nini Somalia? Au ni kwa kiasi gani waliendeshwa kwenye vita ya Vietnam. You can imagine ka Vietnam kalivyo kadogo lakini fikiri kalivyoichezea Marekani. Au mkumbushe jinsi dunia nzima ilivyokuwa inakaribia kushindwa kuipiga Japan wakati wa vita ya pili ya dunia kiasi cha kupelekea kutumia mabomu ya nuclear. Au hajui kwamba korea kaskazini yenye eneo dogo kuliko jimbo moja tu dogo la New York, ni tishio kubwa kwa marekani nzima?
Pharaoh, hueleweki kabisa. Naona utakuwa Mwaarabu maana ndiyo wanaosema Israel haipo ila ukweli ni kuwa Palestine ndiyo haipo leo kwenye ramani kwa sabau Israel ndiyo Palestine yenyewe.
Useme utakavyo, hao wanajeshi wa Kiyahudi kwa siku 6 walizichapa nchi sita za Kiarabu hadi zikawa hoi kama Kibaka aliyebakwa kwenye bweni la Wanawake la Secondary ya Weruweru.
Heshima? Sisi wenyewe kama Nchi tunajiheshimu? Tanzania hatuna heshima tena zaidi ya shamba la bibi.
Hebu ona Secrety Service walivyomfanya Kova siku chache kabla ya mwezi wa Ramadhani:
FBI wakagua ofisi ya Kova kwa mbwa - Kitaifa - mwananchi.co.tz
Hivi na nyie mnaamini huu upuuzi wa habari za websites za genocidals,hao ni ant Kagame wanajaribu kuwaingiza king hapo na wengi naona mmekubali,na wengine mpo tayari kwa combat naona
Mkuu usipate mfadhaiko, Kagame anahara na anajua fika anachoweza kukikabili, pindi akituchokoza.Pharaoh, hueleweki kabisa. Naona utakuwa Mwaarabu maana ndiyo wanaosema Israel haipo ila ukweli ni kuwa Palestine ndiyo haipo leo kwenye ramani kwa sabau Israel ndiyo Palestine yenyewe.
Useme utakavyo, hao wanajeshi wa Kiyahudi kwa siku 6 walizichapa nchi sita za Kiarabu hadi zikawa hoi kama Kibaka aliyebakwa kwenye bweni la Wanawake la Secondary ya Weruweru.
Heshima? Sisi wenyewe kama Nchi tunajiheshimu? Tanzania hatuna heshima tena zaidi ya shamba la bibi.
Hebu ona Secrety Service walivyomfanya Kova siku chache kabla ya mwezi wa Ramadhani:
FBI wakagua ofisi ya Kova kwa mbwa - Kitaifa - mwananchi.co.tz
Hivi na nyie mnaamini huu upuuzi wa habari za websites za genocidals,hao ni ant Kagame wanajaribu kuwaingiza king hapo na wengi naona mmekubali,na wengine mpo tayari kwa combat naona
ninani anampa kiburi huyu dc wa wilaya maarufu kaskazini mwa tanganyika? Kuna kazi kweli sasa aikpewa ukuu wa mkoa itakuwaje? Nafikiri rais amtoe kwnye madarka aasimpe hata uenyekiti wa kitongoji . Anaonekana jeuri yake ni kwasababu aliwahi kwenda jkt kambi moja nchini uganda......those people [tanzanian president jakaya kikwete] you just heard siding with interahamwe and fdlr and urging negotiations negotiations? Me, i do not even discuss this topic, because i will just wait for you [tanzanian president jakaya kikwete] at the right place and i will hit you! He[tanzanian president jakaya kikwete] did not deserve my answer. I did not waste my time answering him it is well known. There is a line you cannot cross, there is a line, a line that you should never cross. It is impossible it is in these ominous terms that the rwandan dictator general paul kagame threatened to get even with tanzanian president jakaya kikwete, while addressing rwandan youth on june 30, 2013 during a summit called youth konnect, sponsored by his wife, janet kagame. Relations between tanzanian president jakaya kikwete and rwandan leaders have soured in the last weeks. On several occasions rwandan leaders called the tanzanian president a genocide and terrorist sympathizer, ignorant, arrogant, and mediocre leader. The relations have deteriorated following the recommendation by president jakaya kikwete of open negotiations between rwandan, ugandan and congolese leaders and their respective armed opposition in order to bring durable peace and security in the african great lakes region.... Source..i will just wait for you at the right place and i will hit you, rwandan general paul kagame threatens tanzanian jakaya kikwete![]()
.....Those people [Tanzanian President Jakaya Kikwete] you just heard siding with Interahamwe and FDLR and urging negotiations negotiations? Me, I do not even discuss this topic, because I will just wait for you [Tanzanian President Jakaya Kikwete] at the right place and I will hit you! He[Tanzanian President Jakaya Kikwete] did not deserve my answer. I did not waste my time answering him It is well known. There is a line you cannot cross, there is a line, a line that you should never cross. It is impossible
It is in these ominous terms that the Rwandan dictator General Paul Kagame threatened to get even with Tanzanian President Jakaya Kikwete, while addressing Rwandan Youth on June 30, 2013 during a summit called Youth Konnect, sponsored by his wife, Janet Kagame.
Relations between Tanzanian President Jakaya Kikwete and Rwandan leaders have soured in the last weeks. On several occasions Rwandan leaders called the Tanzanian President a genocide and terrorist sympathizer, ignorant, arrogant, and mediocre leader. The relations have deteriorated following the recommendation by President Jakaya Kikwete of open negotiations between Rwandan, Ugandan and Congolese leaders and their respective armed opposition in order to bring durable peace and security in the African Great Lakes region....
source..I will Just Wait For You At the Right Place And I will Hit You, Rwandan General Paul Kagame Threatens Tanzanian Jakaya Kikwete
![]()
Hivi na nyie mnaamini huu upuuzi wa habari za websites za genocidals,hao ni ant Kagame wanajaribu kuwaingiza king hapo na wengi naona mmekubali,na wengine mpo tayari kwa combat naona
kagame you right
hha ahaha ahahah.....acha kutoa mapovu wewe ,ndio nyie mnasikia umetukanwa na jirani basi huulizi na unajifanya una hasira kuliko na mtaa mzima haukaliki,wajanja wamewapata this time na huko walipo wanacheka mbavu hawana wakisoma mnachoandika humuWacha upimbi wako wewe, mnaanza kugwaya chacha. Sisi ni taifa sio kabila.
Excuse me mr/mrs mimi sio msemaji wa Rwanda ila kwa mwenye akili anayeijua Rwanda angeangalia ile source tuu angejua whats going onIf what you say is true, then I think it is wise for the information organ of the government of Rwanda to come forward and clarify these issues.
If this is pure propaganda from the genociders, then It is time for the government of Rwanda to refute this information
Mkuu mbwa ni nani sasa hapo???