:cheer2😀ream!!!!!Tukae kimya vijana wapo congo pale na ni hao hao watafagia njia mpaka kigali.na baada ya hapo huyu bwana hana pa kukimbilia.kagera hawezi kigoma hawezi,uganda anajua kabisa museveni hacheui kwetu hivyo halali yake itakua ukimbizi na the hague inamngoja.
aAcha fix wewe! sio hii! asilimia 99 ya wanabidii ni member hapa.
Kwanza samahani kwa lugha kali ya mwanzo, kumbe wewe ni ndugu yangu Mtanzania? nilidhani Mnyiarwanda anatutisha kutupa mifano ya Wayahudi.
nimwekwambia kabila langu lina udugu na Watutsi, sasa nitakuwaje Mwaarab? mimi Israel siichukii, tena ningeipenda isipokuwa tu kwa dharau walionayo juu yetu waafrika siipendi sana. Vita ya siku 6 sawa, lakini, jua kwamba vita vya sasa sio watu, ni teknolojia, na ikiwezekana isiwe ya kununua, sasa Rwanda kama sio kwenda Urusi kama sisi itawezaje kutushia teknolojia au udogo?
unamaanish rama huyu mng'oa meno na kucha?Hivi ile ishu ya Malawi imeishia wapi??
Noma ni pale mtakapolianzisha na Kagame yule Mama analianzisha kule chini, can we fight in two fronts?? Intelijensia wetu akina Rama Ighondu watatujuza...
Sasa wa Tanzania mbona mnaishia kutoa Povu tu hata.
What is the next Move.
Kagame ndo kashatukana
Nyooo!! We endelea na uchonganishi wako kwanye keybord tu. Wewe front line, unaijua?Will alwayz side with my country, my motheland, my destine.
On this!! I stand with whatever. Commander in chief of our armed army will decide.
Am ready to volunteer my self in army for the better future of my country.
Mungu nisaidie
Nahamu na Vita! Hawa wanajeshi wetu wanakula kodi zetu za bure wanatoka vitambi. Mpaka wamesahu majukumu yao sasa wamekuwa wanasiasa, kama vipi kinuke tu.
Pamoja na yote tukumbuke Israel ni nchi ndogo sana lakini ikiamua kuichakaza Tanzania yote ni siku tatu tu.
Tusitowe maoni yetu kwa kudharau inchi kuwa ndogo.
Ni upuuzi sana kuendelea kuendekeza kauli za .Kipumbavu. za huyu jamaa! Anaidhalilisha sana ofisi ya rais na kimsingi lazima tuoneshe kutokukubaliana nae kwa maneno na vitendo!
Hahahahaha mpwa unamsoma huyu comrade hapa chini? Ndo maana hata yule dada pale Malawi alikuwa anamtia vidole vya macho..... I miss J.K Nyerere (RIP). Hakupitia jeshini kama huyu naniliu lakini mpaka mida hii angekuwa kashatuma salamu....😛ainkiller:Kagame ukipata upenyo chapa makofi Huyu dhaifu wa Tanzania
Na namkubali sana JK kwa ukimya wake na ni Mtu wa kipekeee big up jK
Daima ntakubali saana kwa werevu wako... Unajua unachofanya na pia
Ni Mtu wa amani.. Daima nipo nyuma yako na Mwenyezi akupe maisha marefu... Haya mambo sio ya kukurupuka Kama wengi wenye fikra mgando wanavyo zani... Kaa Kimya hivyo hivyo... Funika Kombe mwanahar...... apiteeeeeeeeeeeeeee