Kagame tells Kikwete "I will hit you......"

Kagame tells Kikwete "I will hit you......"

Status
Not open for further replies.
Hahahaa, Makomandoo wa Tanzania ni wakali bana, usiwasingizie. Kuanzia Komandoo Hamza Kalaja na malizia na huyu Nchemba.

Kitimoto sasa hivi nimesoma kuwa kitashuka na Bei, jamaa wakilianzisha mwisho wa mwezi, wengine watakuwa hoi na mfungo na wengine tumenenepeana kama Mwanamke Mrusha tufe.
969969_498877033499459_965656489_n.jpg
images

Hao wakiungana na hawa snipers.... Kagame kwishney...!!

A6PrzkF rvdWAAAAAElFTkSuQmCC
 
Unajua Lenny Kravits ni MYAHUDI na MJAMAICA? Ingawa kwa kimila, hatakiwi kuwa Myahudi kwa sababu Mama ni Mjamaica ila alikuwa akienda kwa Baba basi anavaa Kibalaghashia na kushuka kwenye Masinagogi yao.

Mnyarwanda pia anaweza kuwa Myahudi. Hujawahi kusikia zile ndege za jeshi zilikuwa zimetengenezwa kwa msaada wa Wageruman na zikawa zimeshawekwa Egypt uwanja wa ndege tayari kwenda kuisambaza Israel? Kuna Mdada ambaye Mama yake alikuwa Myahudi na Baba M-Misri. Alipoona zile ndege na zipo pale kwa nini, basi akachukua simu na kupiga kwenye hiyo namba aliyopewa na MAMA yake na dakika kadhaa baadaye, Ndege kadhaa zilishuka na kuzisambaza ndege zote za wa Egypt na ngoma ikalala. Inasemekana na Watusi wako hivyohivyo.

Sasa hivi Silaha ni pesa yako. Nilishawahi kuishi sehemu ambapo kama kilomita mbili kutoka ninapoishi, kulikuwa na Soko ambalo watu walisema pale ukitaka hata kifaru au ndege ya kivita utanunua. Na kweli, Guinea Conacry pamoja na kuwa walikuwa na kizuizi cha kununua Silaha, walikuja na kununua silaha za kutosha. Usafirishaji wake hapa analaumiwa sana kampuni ya MAERSK kuwa na yeye huwa anacheza rafu. Mzigo utachukuliwa hadi sijui Canada, huko unabailidhwa na kuwa mbao na kuletwa tuseme Spain, na Spain ukifika unakuwa ni msaada wa nguo na madawa kwenda Guinea, kumbe ndani ni SILAHA.

Kama sisi tunaweza, na wao wanaweza kununua. Hapa ni mwenye silaha kali na askari wazuri anashinda vita.

Lugha kali? Mungu bariki nilipitia JKT.

Sio Radio mbao kweli? Teknolojia hainunuliwi, kivita bora uwe na ya kwako.

B-2 Spirit, Bei zaidi ya Trilioni 4 kwa moja, je tutaweza?
 
Tatizo langu inawezekana hii issue hatuijua kiundani sana sisi JK ndiye anayejua na ndio maana hajibu. Kama amiri jeshoi mkuu alipaswa kumjibu kagame yeye na sio sisi, tulitakiwa tumwambie amjibu. Nina wasi wasi tunapopaona sio penyewe issue inawezekana ilianza zamani na itelejensia zao hawa watu wawili
uongozi ama uraisi sio kama uimbaji wa taarab kwamba kila mwenzio akitoa wimbo ukiona unakusema lazima umjibu. Mambo mengine prezdaa anaact kikomavu sana sana na huyu kagame akitaka kuona cha moto aguse pua yke Tz.

Istoshe kuna vitu ambavyo huwez kuvikuta vimeanikwa wazi wazi hapa manake jeshi ni kitu nyeti cha serikali and FYI hakiwe kuanika uwezo wake hapa ambapo kila adui anaweza kuingia na kusoma.

No wonder majuzi mkawa mnahoji juu ya website ya jeshi mkasahau kwamba hata wajeda wenyewe ambao wao hawako kwenye zie ofisi nyeti hawana access na hiyo web site. ndo maana leo hii unaweza kukuta wengi tu wanatumia yahoo, lkn sio kwamb ahawana website yao as jeshi la ulizi ten ambayo iko secured kuliko unavyofikiri.

Capacity ya hii jeshi since tupate uhuru haijawah kushuka na kila siku inakua. Ukitaa kuamini uwezo wetu kivita basi lazima utamtafute nje ya mtandao akusimulie ama la nitafute mm nje ya mtandao nikuambie
 
Ukimuona Mtanzania anamuunga mkono Kagame katika Mipasho yake anayoirusha ujue huyo ni Mtutsi

Kwa sheria gani? Ya watu au ya asili?

This is what I call irritating idiocratic oversimplification.
 
Vibaka wanaiba hela za kodi za USA.... USA ikisema hainunui, bei inashuka. Sema tu USA hawaruhusu.
Sio Radio mbao kweli? Teknolojia hainunuliwi, kivita bora uwe na ya kwako.

B-2 Spirit, Bei zaidi ya Trilioni 4 kwa moja, je tutaweza?
 
sijui nani wakuwashawishi tena watanzania na maneno matamu kwenda vitani,
sio JK, akitangaza vita tutamzomea, ni dhaifu sana huyu mtu, anaweza akatangaza huku anachekacheka.
 
vita ya nini? Kagame hawezi kuanzisha vita hata siku moja, is he that suicidal? JK nae aache ku-seek cheap populairity kwa kujifanya anawashauri majirani, waache? Ndo maana Obama, na miguvu yake na ukubwa wa nchi yake alikataa kutaja nchi kwa majina. Na akasema wanaofanya makosa waadhibiwe (FDLR). Sasa JK anaandikiwa ma speech na anasoma eti anawashauri watu, mbona UN haijawahi kuiambia Rwanda ikapatane na FDLR? We have to respect sensitivity of other countries.But this is a minor issue, why blahallo! Alafu Kagame na ka nchi kake, na vulnerability ya ukabila aliaanzishe na Tanzania, atakuwa anaumwa!

you must have missed a point dude!
hata Obama alimpongeza Kikwete kwa kuishauri Rwanda, na alitaja kabisa kwamba anafurahishwa na jins Rais wetu alivyoongea juu ya Rwanda. Infact Kikwete haihitaj popularity bali he knows kwamba incase of any genocide again wahanga ni TZ. hivi wafikiri machungu ya wakimbizi wa Rwanda yamesahaulika miongoni mwetu??
 
Juhudi za kuimalisha ulinzi mipakani,uamiaji na katika vijiji vya mipakani zinapaswa kuongezwa maradufu.Na pale tulipokosea hatuna budi kujirekebisha hata kama hatufahamu kwamba habari ni kweli au ni uzushi tu.Kama habari hii ni ya kweli pengine labda upande wa pili umekasirishwa na upande mwingine kuingilia maslahi yake kupitia majadiliano ya kidipromasia,basi ipo haja kutumia dipromasia hiyo hiyo kumaliza majibizano hayo.

Majibizano haya ambayo kila kukicha yanaletwa na upande mmoja ulioshauriwa kama yakiendelea hivi na upande ulioshauri ukaa kimywa ule upande mwingine pengine unaweza fikiria labda umedhihakiwa kwa kutokujibiwa na hivyo kuamua vyovyote vile iether kwa ghafla au pole pole.

Ni vema Mh.Rais wa Rwanda akawa na uvumilivu wa hali ya juu sana juu ya kauli za viongozi wa kiafrika kwani ni kauli nzuri tu zenye nia njema ya kutatua mgogoro katika maziwa makuu.Na ni wajibu pia kueshimu uhuru wa mawazo ya wenzake wenye nia njema na panakuwepo na hitilafu ni bora akatumia njia waliyotumia wenzake kumshauri.
 
Look at this fool.Ajaribu aone jinsi watanzania tutakavyoungana kumfunza adabu and dump him huko lake Tanganyika.Na sisi tumekua wapole mno maana mimi ningemuonyesha cha moto.Hakuna cha intetnational community!

hii inaonyesha ni kwa jinsi gani ulivyo dhaifu.na haufai kuwa kiongozi hata kidogo.ni nani alikuambia kila ukijibiwa vibaya ni lazima upigane vita?hii inaonyesha jinsi gani usivyoangalia matokeo ya hiyo vita,utapoteza ndugu zako,uchumi utashuka,watanzania watakuwa wakimbizi,,,je ndio ndoto zako kuona akina mama wamejibebea mizigo kichwani wakitafuta makambi ya wakimbizi?hufai hata kidogo thats why unaona kiongozi wa Tanzania haliongelei hilo suala.mlianza na malawi mkaropoka at last akasema maongezi ndio solution,na hili la rwanda nalo liwe sababu ya kwenda kupigana vita?Putin rais wa Russia S 300 missiles alizokuwa akizisafirisha kwenda syria israel wamezilipua njiani mara 3 kwa mwaka huu tu,PRISM ni mpango wa marekani kuspy communication duniani na snowden alifichua kuwa hadi na EU walikuwa wapo under prism na Obama akakiri,na EU wamekasirika lakini did you ever heard of war option?ney
enyi wanasiasa ama mnajiita wanasiasa na kuweka vita mbele be carefull
kind regards Chimbuvu
 
Last edited by a moderator:
Pres Kikwete alitoa ushauri ambao kagame angeweza kuukubali au kukataa- hakulazimishwa wala kushinikizwa, but am so surprised na reactions frm kagame. tangu pres kikwete atoe ushauri ule hakuwahi tena kulingumzia suala hili but what we hear ni kwamba mara kagame kasema hiki mara kasema kile. i think this man is severely sick. tumechoshwa na kelele zake if he is capable of hitting Tz let him do so now. it is nonsense to continue discussing this issue anymore.
 
Watanzania mnaifanya issue ya Kagame kama vile mechi ya simba na yanga ambayo ikiisha kila mtu anachukua time yake. Aliyefungwa na aliyefunga. Hi issue ni serious, wengine wanasema wana jeshi zuri ukiwauliza hawana data, wengine wanasema nchi yetu kubwa hiyo nayo haina mashiko, kubwa so what? wengine wanasema wanatz wana uzalendo hawana data, na wengine wanasema tutamnyongelea mbali hawajui hata uwezo wa jeshi letu. Wapo wenye data za mwaka 47 ambazo matokeo yake tulishayaona mbagala na gongo la mboto. Na simple research kwenye mikutano ambapo polisi wakituliza ghasia wanaua, huo umakini wetu uko wapi??? mpaka tujisifu????? Hivyo hili swala sio mpira wa yanga na samba la sivyo itatu cost sana.

Huyo ana Machadema kichwani.
 
Ni kawaida sana kwa hawa watu.na usishangae choko choko hizi hazitaisha.kwa ukweli huyu bwa mdogo anahitaji kupewa displin japo kidogo tu.kinachomtia jeuri ni hao kina Tony Blair na Clinton wanaomshauri pale.
Hasira pia imempanda zaidi baada ya kujua Obama haendi Rwanda na anakuja Tanzania.haelewi kilichoongelewa kwani Marekani alikua suppoter wao mkubwa.sasa kitendo cha Marekani kuwanyima msaada wa kijeshi na kuja Tz kwa Obama kunafanya kengele ya hatari kugonga kichwani kwa Kagame
Pia na jeshi la kulinda amani pale Congo ndo linamalizia kumtia machungu zaidi
 
sijui nani wakuwashawishi tena watanzania na maneno matamu kwenda vitani,
sio JK, akitangaza vita tutamzomea, ni dhaifu sana huyu mtu, anaweza akatangaza huku anachekacheka.

uhm!! tunamkosea heshima raisi wetu, ni kitu cha ajabu kushabikia raisi wa nchi yako akiaibishwa hadharani! hata km ni dhaifu ni raisi wako pia hastaili kukosewa heshma kiasi hiko na baadhi tunashangilia! i stand to corrected
 
I fully supporting Kagame Tanzania taifa la mfalme juha....chapa makofi Kikwete
 
'Kagame piga tu', ningefurahi kama Pinda angesema hivi bungeni.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom