Kagame tells Kikwete "I will hit you......"

Kagame tells Kikwete "I will hit you......"

Status
Not open for further replies.
natamani kusikia counter attack statement toka kwa JK.actions speak louder than words n' kucheka cheka.

Suppose unaoga then akaja kichaa/mwehu kachukua nguo zako na kukimbia nazo ukaanza kumkimbiza ili umnyang'anye, nani ataonekana kichaa/mwehu??
 
Acheni kuweka vitu vya kutunga,Rwanda ni nani kwanza,tupe source of information,wewe kama critical thinker huwezi andika vitu ambavyo havina ushaidi,shame on you.
 
Ni upuuzi sana kuendelea kuendekeza kauli za .Kipumbavu. za huyu jamaa! Anaidhalilisha sana ofisi ya rais na kimsingi lazima tuoneshe kutokukubaliana nae kwa maneno na vitendo!


Hivi mbona Tanzania tumekaa kimya wakatti kila kukicha Kagame anamshambulia Rais wetu? Yaani JK kusema kwamba Kagame azungumze na waasi imekuwa dhambi kiasi kwamba Kagame awe anamshambulia Rais wetu kila akipata nafasi?

Membe ama Samwel Sitta tunaomba kauli zenu katika hili kabla Rais naye hajalisemea.
 
Mimi nahsi hawa waheshmiwa wakae chni wajtasmin coz majanga yanaanza hvi hvi kwa maneno
 
Bora umesema wewe maana mimi nimemwambia akasema eti kisa kanichukulia mke ndo nimeleta bifu hadi huku


Mkuu wangu vijana wetu hata hawajui tupo Congo kwa ufadhili wa nani! Lakini hawajui hata hawa maboss wa dunia hawawezi ruhusu vita ya kipuuzi eti Tanzania ipigane na Rwanda!
Kama kawaida yetu tuna kumbumbuku fupi kama nyumbu,lakini wenzetu hawako hivyo. Bila kujali ushauri wa Kikwete kwa Kagame ma reaction yake,nadhani vijana wetu wangekua wanawaza kwa maarifa wangesoma zaidi na kutambua kwamba Dunia haikuwatendea haki wananchi wa Rwanda wakati wanachinjwa kama kuku,na zaidi majirani wa Rwanda!
Mataifa makubwa hayawezi ruhusu vita yoyote ndani ya Rwanda ktk miaka ya karibuni,naamini hata watawala wetu wanalijua hilo na hii ndiyo jeuri ya Kagame zaidi ya kufahamu udhaifu wetu wa sasa!
Binafsi nimekua naheshimu sana michango ya Ben Saanane,lakini ktk hii issue mchango wake ameongozwa na hisia zaidi badala ya weledi!
 
Tuandae mechi ya ngumi wapambanishwe hawa jamaa wawili atakayeshindwa alazimishwe kuomba msamaha kwa mwenzake.
 
I hope that he will hit him personally when they meet and not nation-wise ...that will be a big mistake for the Rwandese
 
Hivi mbona Tanzania tumekaa kimya wakatti kila kukicha Kagame anamshambulia Rais wetu? Yaani JK kusema kwamba Kagame azungumze na waasi imekuwa dhambi kiasi kwamba Kagame awe anamshambulia Rais wetu kila akipata nafasi?

Membe ama Samwel Sitta tunaomba kauli zenu katika hili kabla Rais naye hajalisemea.

Hawa uliowataja hawana guts za kuongea wao wanavizia uraisi tu. Angekuwa yule mzee wa Monduli mwenye nywele nyeupe angeweza kutoa msimamo. Nakumbuka akiwa mwenyekiti wa kamati fulani ya Bunge alitoa kauli kuhusu mgogoro wa TZ na Malawi mpaka JWTZ wakaogopa ikabidi wao wakanushe hadharani.
 
I love my country and I respect my president. However, it is stupid to try to tell someone how to negotiate a deal with a person who killed his family on the telephone from the comfort of your bedroom. For starters, you dont know how deep is the pain and you have no idea of the implications. In a way, my president would have reacted the same way (I strongly believe so) had Kagame told him to chase Pinda away and refute the '..wapigeni tu..' statement made in the parliament recently. Or else had Kagame commented on Mapinduzi ya Zanzibar, vurugu za mtwara etc. Under the same light I understand Kagame position and emotional state whenever this subject is brought up - much less by a president who have never sweated a day to make a tough and manly decision on anything. Just as Nyerere retorted strongly against Idd Amin back in the days (which gave hope and united the whole of Tanzania behind him) so is Kagame this time. Kagame has to be strong and spat fire just as he has done, because thats what a leader should do whenever a very core value of the nation is tampered with by anyone, be him small or big. Bravo Kagame, I see a leader in you. And that should teach everybody a lesson, dont go about shooting your mouth about other people's affairs so that you can earn some cheap international popularity, to you it may be a not-so-important-affair but to others is the foundation of their existence.
Thats cheap analysis, hivi mandela angetaka kulipiza alichofanywa na makaburu sa ingekalika, huwezi kuwa na amani hata nyumbani kwako kama hujui kumaliza mambo kwa mazungumzo na kusameheana and only intelligent and strong minds can do that.
Kikwete katoa ushauri kama hautaki asifate no big deal, hadi mapovu yanamtoka inaonyesha kuna kitu anafaidika nacho kwa kuleta vurugu congo.
Kagame kapigana for the past 20 years hajachoka tu, atake asitake amani congo lazima ipatikane, aache upuuzi wake.
 
Wadau; ingekuwa kheri kama hii kitu (Hotuba ya Kagame kwa vijana) ingetafsiriwa ili tuelewe undani wa kile anachokisema!

Please, someone translate the content of the clip!
 
wakuu tayali tuko vitani na Rwanda m23vsTz.Kagame anahaha baada ya kuona USA wanatuunga mkono.mwisho wa uthalim umefika
 
Ukomo wa urais rwanda na uganda ni miaka mingapi kama hakuna achana nao wamelewa madaraka
 
JK is not my president,ameniangusha kwa mengi,plus me si mzalendo and never will kwa aina ya nchi kama hii
 
Twende mbali zaidi tufikiri sana hivi kweli ni kagame tu au wapo wengine nyuma yake au maadui wa kagame wanafanya hivi,
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom