Kagame tells Kikwete "I will hit you......"

Kagame tells Kikwete "I will hit you......"

Status
Not open for further replies.
msinichekeshe Kagame kaongea na Kikwete nyie mnapepesa humu midomo eti kama vita ije tu khaa nyie yanawahusu.yaani apigane mume na mke kijiji kiingilie jaman.kupigana kisa kikwete na kagame?hayo yao waachien wenyewe ndo mana sms send kwa kikwete c Tanzania.yaani niweke nchi rehani kwa ugomvi usionihusu?jf wakati mwingine mwaniacha hoi
 
natamani kusikia counter attack statement toka kwa JK.actions speak louder than words n' kucheka cheka.
 
Alichosema Mh JK ni jambo zuri, lakini mahali aliposemea ndipo panaleta huu ukinzani. Mh JK alitakiwa kuzungumza na President Kagame in person na kuangalia msimamo wake, sio kukimbilia majukwaani na kushauri kitu kizito kama hiki. Pres Kagame amesema "I do not even discuss this topic, because I will just wait for you [Tanzanian President Jakaya Kikwete] at the right place and I will hit you" hii ni busara sana. Vita sio ukubwa wa nchi au ukubwa wa jeshi, bali ni vifaa, utaalaam na nidhamu. JWTZ wanalalamikiwa huko Mtwara kwa ku rape wanawake, kupiga vikongwe, watoto, wanawake bila sababu yeyote, no discipline at all, jeshi limegeuzwa tawi la CCM kufanya uchafu. Mnaotaka kujua nguvu na nidhamu ya Kagame, nendeni Rwanda ndipo mtajua jamaa ni jembe.

Kwa hali ya marais hawa uende Rwanda? Wakijua wewe ni mtanzania linaweza kukuta la kukuta huko ohoo.
 
Achana na hao watoto wa CCM ambao hata JKT hawakuenda. Wanatambia tundege twa jeshi ambato tumechoka twa Kichina na Silaha ambazo huwa zijalipukia tu zenyewe kwenye maghala. Too sad. Acha Kagame aje waanze kusikia zile story za Wahaya zisemazo:

Mhaya: Askari wa Amini waliniwowa, na mke wangu wakamuwowa, ila binti yangu walimuwowa zaidi.
Mtangazaji: Una maanisha nini kusema walikuwowa Mzee?
Mhaya: Huelewi nini ndugu Mtangazaji? Warinisw**** ahhhhhh Wahaya bado wako macho na watoto wao!!!
Watanzania kwa kuongea, nawakakubali.

Laiti vita ingekuwa maneno.....

Mkuu Sikonge nimekusoma mchundo mwenzangu. Watu bado wako kwenye imani ya vita ni wingi wa watu na umiliki wa ukubwa wa eneo.... Too bad!
 
mi sioni kama kuna haja ya kugommbana hapa afrika nzima inabidi iwe moja lakini kwa mienendo hii ahisi hhata mjukuu wa mjukuu wangu hatokuja kuiona afrika iliyoungana,kila siku migogoro m.lengo la kikwete lilikuwa zuri wamelipotosha na kulidefine vyengine hakukuwa na haja ya kuexagerate kiasi hiki..yaliyopita si ndwele..
 
hapo ndipo ninapowapenda watanzania. wanaweza kuwa na tofauti zao za kisiasa lakini inapofika mahali pa usalama wa nchi yao kutoka vitisho vya nje au rais wao kudharauliwa huwa ni wamoja. HEKO.

Hao watakuwa ni mazezeta, ndani unabondwa kila siku na policcm halafu unasema unashikamana. Hata kama mkishikamana na kumpiga Kagame, mkirudi Kikwete anaanza kuwabonda na kuwazuia hata kudai haki zenu za kujengwa kiwanda cha kuprocess gas.
 
Nahamu na Vita! Hawa wanajeshi wetu wanakula kodi zetu za bure wanatoka vitambi. Mpaka wamesahu majukumu yao sasa wamekuwa wanasiasa, kama vipi kinuke tu.
Pamoja na yote tukumbuke Israel ni nchi ndogo sana lakini ikiamua kuichakaza Tanzania yote ni siku tatu tu.
Tusitowe maoni yetu kwa kudharau inchi kuwa ndogo.
You are the son of cockroach, kama walivyo WATUTSI WOTE. Kagame amechanganyikiwa na amewaambukiza wote msioitakia mema nchi yetu.
No one among oue neighbours who can stand agaist Tz. Take from me and choke with it
 
Achana na hao watoto wa CCM ambao hata JKT hawakuenda. Wanatambia tundege twa jeshi ambato tumechoka twa Kichina na Silaha ambazo huwa zijalipukia tu zenyewe kwenye maghala. Too sad. Acha Kagame aje waanze kusikia zile story za Wahaya zisemazo:

Mhaya: Askari wa Amini waliniwowa, na mke wangu wakamuwowa, ila binti yangu walimuwowa zaidi.
Mtangazaji: Una maanisha nini kusema walikuwowa Mzee?
Mhaya: Huelewi nini ndugu Mtangazaji? Warinisw**** ahhhhhh Wahaya bado wako macho na watoto wao!!!
Hahahaha fundi hapo red umeniacha fire pale.

BTW hebu nambie comrade hawa wagesh wetu tunaopiga nao chipsi yai kitaani, wanaeza pambana na magwiji wa vita waliozoea kula nyama mbichi za kima na nyani wakikesha misituni kusaka roho za watu? Si ndo hawa waliposikia mabomu yamelipuka Mbagala/Gongs waliungana na raia kuingia mitini.... Si ndo hawa tunanyang'anyana mademu kitaani na wakileta za kuleta wanapigwa vibao? Si ndo hawa tunashindana nao kujenga vitambi kwa hisani ya kitimotoooz??

Sir yes Sir..... Source: Full Metal Jacket.
 
msinichekeshe Kagame kaongea na Kikwete nyie mnapepesa humu midomo eti kama vita ije tu khaa nyie yanawahusu.yaani apigane mume na mke kijiji kiingilie jaman.kupigana kisa kikwete na kagame?hayo yao waachien wenyewe ndo mana sms send kwa kikwete c Tanzania.
ukisikia patriotism ndo hiyo.hivi unafaham kuwa jeshi la israel linaweza likaingia vitani kwa ajili ya raia wake mmoja tuu kutekwa na taifa adui.fatilia visa vya israel vs palestine i bet u wont beleave ur ears.
 
Kwa kuangalia mazingira ya mkutano huu, kwa vyovyote vile hii clip isingeweza kuingia mtandaoni bila idhini ya Kagame.
 
mtu anapomtukana rais wa Tanzania maana yake ametutukana watanzania, anaposema atampga kikwete anamaanisha ataipiga TZ, lazima tumjibu, hatuwezi kukaa kimya, hapo tunaungana kwa pamoja kuresponse maana hii nchi ni ya kwetu.
 
Some symptoms of mental illness:

  • Overwhelmed by fear or worry
  • Depressed mood
  • Confused thinking
  • Trouble dealing with stress
  • Suicidal thoughts
  • Severe anxiety
  • Problems sleeping
  • Distance from friends and family
  • Paranoia
Mwenzenu naona kama Mzee Kagame kimeshaanza.Huwa kinaanza hivi hivi!
Ni kweli kabisa
hahahaha, mkuu Chris Lukosi nimefurahi sana ulivyokubalia fasta fasta hizo dalili za huo ugonjwa. CC; Matola
 
Last edited by a moderator:
Hii inaonyesha kiwango cha kutokujitambua ambacho watz wengi wanacho.mtu anasema anamsapoti Kagame,hivi vita ya Kagame na Jk halafu PK ashinde itakusaidia nini wewe mtz?Kagame hamtukani Jk,anaitukana ikulu!ikulu si ya Jk,ni ya kwetu watz ndio maana Jk atapita na ikulu bado itabaki kwa kuwa Tz na watz wake bado ipo!ikulu ile magogoni ikianguka maana yake hakuna Tz,akiguswa Jk imeguswa ikulu!hata kama tukichagua rais mwendawazimu,bado dunia nzima itamtambua kama rais wa Tz.ni alama ya uhuru wa nchi.kama rais hafai hilo ni suala la ndani la nchi.ni langu mie na wewe wenye nchi yetu,si Kagame.tumshughulikie huyu rais wetu sisi wenye mamlaka hiyo,si Kagame,yeye hana mamlaka ya kutuamulia sisi.wacha mie nimtukane rais wangu nitakavyo na si Kagame.yeye hana mamlaka ya kuniaminisha mie kile atachoamini kuhusu rais wangu.na kama Kagame yu sahihi,then hiyo ni failure kwako wewe uliyempa kura Jk!ni aibu,unatakiwa ufiche uso wako na si kumshabikia Kagame akikutukana,hicho ni kiwango kikubwa cha kukosa uwajibikaji.kama huamini anachosema Kagame,then pambana nae maana kakutukana kwa kutukana rais wako,kama unaamini alichosema,then kaa kimya,ona aibu,ficha uso wako,maana kakuvua nguo kwa kuchagua rais asiye makini.ukimshabikia Kagame ni sawa na kushangilia huku ukicheka na kuitangazia dunia nzima ukisema "ha ha haa,auwii,kwi kwi kwii,Kagame bwana!ana vineno yule mzee kijana,eti anasema nina sura mbaya na macho yangu makubwa yeye hayapendi..he..hee..jamani sura yangu mbaya,macho maakubwaaa, Kagame kasema ha haa uuwii!"kila mtu atakuona juha!
 



We are smooth operators ....no words...let's see this tym ..next year...who is there!!!!

Hamna kitu Wa Tanzania na Serikali yetu tutafanya.
Tutabaki kupiga kelele tu Hapa wakati Kagame kasha Mtusi Rais.
Sipati picha wangekuwa CHADEMA ama Ma Dr na Mgomo wao.
Hapo wa Kina Ighondu wangeingizwa kazini fastaaa.
Lakini kwa Kagame watu wame fyata
 
Hahahaa, Makomandoo wa Tanzania ni wakali bana, usiwasingizie. Kuanzia Komandoo Hamza Kalaja na malizia na huyu Nchemba.

Kitimoto sasa hivi nimesoma kuwa kitashuka na Bei, jamaa wakilianzisha mwisho wa mwezi, wengine watakuwa hoi na mfungo na wengine tumenenepeana kama Mwanamke Mrusha tufe.
969969_498877033499459_965656489_n.jpg
images

Hahahaha fundi hapo red umeniacha fire pale.

BTW hebu nambie comrade hawa wagesh wetu tunaopiga nao chipsi yai kitaani, wanaeza pambana na magwiji wa vita waliozoea kula nyama mbichi za kima na nyani wakikesha misituni kusaka roho za watu? Si ndo hawa waliposikia mabomu yamelipuka Mbagala/Gongs waliungana na raia kuingia mitini.... Si ndo hawa tunanyang'anyana mademu kitaani na wakileta za kuleta wanapigwa vibao? Si ndo hawa tunashindana nao kujenga vitambi kwa hisani ya kitimotoooz??

Sir yes Sir..... Source: Full Metal Jacket.
 
Hii nimeipata kutoka website ya serikali ya Rwanda..Hayo maneno mengine yametoka wapi?




President Kagame, First Lady tell youth that building Rwanda is their responsibility


Kigali, 30 June 2013

Rwanda’s First Lady Mrs. Jeannette Kagame has called on the youth to take advantage of the available opportunities the country has afforded them to advance themselves and build the nation.
She made these remarks while addressing hundreds of youths who gathered at Serena Hotel for the closing of the Youth Connect dialogue, a platform that brings together young people to address dimensions of unity and reconciliation. The dialogue was organised under the theme ’The Promise of a Post-Genocide Generation’.
Speaking to a room full of excited young people from across the country, First Lady Jeannette Kagame, who is also the Chairperson of Imbuto Foundation, told them that is critical that they prepare their future now.
‘‘You are a fortunate generation because you have leadership that cares for you unlike in the past where the leadership divided you. Our country has had a tormenting history but it’s up to you to turn that history around. We stand against parents who continue to teach division ideology to their children. Let us build on peace, development and a culture of unity...that is the future we wish for you. We see endless possibilities in each of you. The Rwanda you stand in today is yours, building it is your responsibility,’’ said Mrs. Kagame.
Fighting divisionism, changing mindsets
The day featured testimonies from various people on what they experienced before, during and after the 1994 Tutsi Genocide and their choice to move forward.
Edward Bamporiki testified how his parents taught him to hate Tutsis from a young age. During the genocide, he saw many of his Tutsi colleagues being slaughtered, most of them being killed by his own relatives.
‘‘I had, for long time, lived with the guilt of being Hutu because of what my relatives did to the Tutsi and I was ready to accept any revenge from them. But after 1994, I saw how the RPF Inkotanyi liberated, reconciled and rebuilt this country so I decided to be part of this process. I am hoping that my life will make a difference in transforming Rwanda, and it’s my wish for all of you.”
President Kagame urges youth to spearhead Rwanda’s development
President Kagame, who also attended the forum, reminded them that the future of Rwanda is in their hands.
‘‘If you properly use the knowledge and strength you are acquiring, you will take this country to another level. If you do it the wrong way, you will destroy it. You must look beyond education and ensure that each of you use your knowledge to build your country. No one but ourselves has the right to define who we are or should be.’’
The 800 youth, representing all districts, pledged to bring change in their generation and help those who were still chained by the complexities of Rwanda’s past to move forward for a better future for all Rwandan
 
Nyooo!! We endelea na uchonganishi wako kwanye keybord tu. Wewe front line, unaijua?
Siwezi bishana na MTUMWA,MBINAFSI,HAINI na mtu usiyejua maana ya uzalendo kama wewe.
Reveal your true colours palz, that rubish cements our viewz agaist you all
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom