Kagame tells Kikwete "I will hit you......"

Kagame tells Kikwete "I will hit you......"

Status
Not open for further replies.
....."Those people [Tanzanian President Jakaya Kikwete] you just heard siding with Interahamwe and FDLR and urging negotiations… negotiations? Me, I do not even discuss this topic, because I will just wait for you [Tanzanian President Jakaya Kikwete] at the right place and I will hit you! He[Tanzanian President Jakaya Kikwete] did not deserve my answer. I did not waste my time answering him…It is well known. There is a line you cannot cross, there is a line, a line that you should never cross. It is impossible…""
It is in these ominous terms that the Rwandan dictator General Paul Kagame threatened to get even with Tanzanian President Jakaya Kikwete, while addressing Rwandan Youth on June 30, 2013 during a summit called "Youth Konnect"", sponsored by his wife, Janet Kagame.

Relations between Tanzanian President Jakaya Kikwete and Rwandan leaders have soured in the last weeks. On several occasions Rwandan leaders called the Tanzanian President "a genocide and terrorist sympathizer", "ignorant", "arrogant", and "mediocre leader". The relations have deteriorated following the recommendation by President Jakaya Kikwete of open negotiations between Rwandan, Ugandan and Congolese leaders and their respective armed opposition in order to bring durable peace and security in the African Great Lakes region....

source..I will Just Wait For You At the Right Place And I will Hit You, Rwandan General Paul Kagame Threatens Tanzanian Jakaya Kikwete

The highlighted section is heavily edited it is NOT 100% credible. Can somebody give us the original version of Kagame's speech to the Youth Connect? Please furnish the original text.... anybody has it?
 
who is Kagame??
1. MURDERER.
2. THIEF OF CONGOLESE RESOURCES.
3.DICTATOR.
4.POWER MONGER.
5.TRIBALIST.
ETC.
From there I always stand up against him and his fellow Muse7 so I will support whatever from TZ Gov or anyone against them.
 
Mkuu; Tafadhali usifikirie kitoto,fikiria kiutu uzima.
Kuwa na eneo kubwa au kuwa na jeshi kubwa siyo kipomo cha kushinda vita.
kupigana na nchi ndogo si kipimo cha kushinda vita.Mharau mwiba mguu huota tende!!!!!!!
Awaulize wamarekani walikimbia nini Somalia? Au ni kwa kiasi gani waliendeshwa kwenye vita ya Vietnam. You can imagine ka Vietnam kalivyo kadogo lakini fikiri kalivyoichezea Marekani. Au mkumbushe jinsi dunia nzima ilivyokuwa inakaribia kushindwa kuipiga Japan wakati wa vita ya pili ya dunia kiasi cha kupelekea kutumia mabomu ya nuclear. Au hajui kwamba korea kaskazini yenye eneo dogo kuliko jimbo moja tu dogo la New York, ni tishio kubwa kwa marekani nzima?
 
Johnsecond,

..sasa kosa la Tanzania ni nini mpaka Kagame amtukane Raisi wetu?

..hivi hushangai jinsi jambo hili lilivyowaunganisha wa-Tz hapa JF?

..Kabila anazungumza na M23 ingawa baadhi ya makamanda wa kikundi hicho wana tuhuma za mauaji ya kimbari dhidi ya wananchi wa DRC.

..Kagame ameshauriwa, na JK na tena nchi za SADC, kuzungumza na waasi wa FDLR. ameshauriwa azungumze na wale tu ambao hawakushiriki ktk genocide. tatizo liko wapi hapo??

Tatizo langu inawezekana hii issue hatuijua kiundani sana sisi JK ndiye anayejua na ndio maana hajibu. Kama amiri jeshoi mkuu alipaswa kumjibu kagame yeye na sio sisi, tulitakiwa tumwambie amjibu. Nina wasi wasi tunapopaona sio penyewe issue inawezekana ilianza zamani na itelejensia zao hawa watu wawili
 
Kagame ana matatizo. Hata kama Kikwete ameongea asichopenda. Hizi threat kwa mkuu wa nchi nyingine hazifai. Ikitokea Rais wetu kapata madhara hata kwa bahati mbaya, tutakula naye sahani moja. Asidhani Kikwete ni akina Kayumba Nyamwasa anaowafuatilia kuwapiga risasi mpaka South Africa. As a nation WE WILL HIT BACK.
 
i think kuna hidden mater ambayo haijawekwa wazi between the two. JK kuongelea peace making ndio hasira zote hizo, Kagame tuliza hasira utakufa siku si zako, wewe nunaaaaaaaaaaaaa, ongeaaaaaaaaaaaaaaa, JK atakuchekea tu na mwisho wa siku utapasuka. tuache na raisi wetu tumemzoea wenyewe.

Hahahaha aisee nimeipenda hii
 
Pumbafu Kagame.

Hit Kikwete. Tanzania huiwezi. Hiyo Rwanda yako Tanzania ni mkoa tu.

---- wewe!
umewahi kuona size ya Israel unapoangalia eneo la Uarabuni!?
Cha msingi ni kuwa na strategies za ni jinsi gani ya kuwa handle majirani zetu kulingana na jinsi walivyo. Tuna mgogoro na Malawi na nimesikia baadhi ya viongozi wetu wakitoa mipasho badala ya kumaliza tatizo. Hawa watu hawaamki tu asubuhi na kuanza kuitishia Tz nyau, wana wanakosimama ndugu yangu. Tuwe makini
 
Hivi unajua kwanini Kagame analialia baada ya kusikia JWTZ wanakwenda Kongo! Hivi mmesahau kama Tanzania ni king maker! Kagame's days are numbered. Hivi mnajua Kongo wamekwenda kina nani? Tumekwenda Kongo kutengeneza Rais mpya wa Rwanda, hiki ndicho kiwewe cha Kagame.
 
Kagame anaweweseka. Ni marais watatu waliopewa ushauri lakini yeye anatokwa mapovu mfululizo. Mara mipasho kwenye ufungaji wa kozi ya maafisa wa jeshi mara kwenye shughuli ya vijana iliyoandaliwa na mkewe. Akikosa pa kusemea usishangae kumsikia akiyasema kwenye kitchen party, send off na kwenye sherehe za ubatizo. Laana ya damu za watu ni mbaya, akamuulize Kaini. In a serious note, Kagame ataivuruge EAC.
 
Kikwete na serikali yake ni waropokaji na wasio na busara wa hekima kutatua matatizo! Hayo ndio matokeo yake kajiengiza kusemea matatizo ya watu bila kujua namna nzur ya kutoa mawazo yake, sasa yamemkuta. So Kagame hit him even us we tired with his non sense speech. Youre not supposed to be so blind with patriotism thay you cant face reality. Wrong id wrong no matter who says it
 
Siku zote ukiona mtu mzima anaongea upumbavu mbele ya media au watu dhidi ya kiongozi mwenzake ujue ana matatizo.

Rwanda ni kama sisimizi kwetu, kama anazungumzia vita Tanzania inaweza kuichukua rwanda na kuifanya wilaya kama biharamulo tu.

This idiot must be stopped now.

Kagame ni muuaji na --------, huwezi kukataa kumaliza matatizo na adui yako hata uwe nani labda tu uamini kuwa unaweza kuwaua wote ubaki peke yako. Leo tunaona marekani yenye uwezo wa kuwamaliza kabisa Taleban imekubali kukaa chini na kuongea nao sembuse Rwanda na interahamwe ambao ni wahutu na Rwanda ni nchi yao?
Nafikiri hujui falsafa za jeshi ndo maana unasema wale ni sisimizi.Pia nafikiri rais wetu angemaliza kwanza matatizo ya ndani ndipo aangalie ya wenzetu
 
Awaulize wamarekani walikimbia nini Somalia? Au ni kwa kiasi gani waliendeshwa kwenye vita ya Vietnam. You can imagine ka Vietnam kalivyo kadogo lakini fikiri kalivyoichezea Marekani. Au mkumbushe jinsi dunia nzima ilivyokuwa inakaribia kushindwa kuipiga Japan wakati wa vita ya pili ya dunia kiasi cha kupelekea kutumia mabomu ya nuclear. Au hajui kwamba korea kaskazini yenye eneo dogo kuliko jimbo moja tu dogo la New York, ni tishio kubwa kwa marekani nzima?
Tuko pamoja mkuu tumuombe Mungu atuepushe na hili ili tusije kuwa wakimbizi katika nchi za watu bure naogopa!!!
 
Look at this fool.Ajaribu aone jinsi watanzania tutakavyoungana kumfunza adabu and dump him huko lake Tanganyika.Na sisi tumekua wapole mno maana mimi ningemuonyesha cha moto.Hakuna cha intetnational community!
Ben, nakuunga mkono kuwa jirani mkorofi si wa kumchekea na funzo anapaswa kupewa. Na hilo WaTZ wote tutaungana. Tatizo liko kwa serikali yetu,wao uadui ni ule unaotoka na tofauti za kiitikadi ndani ya nchi na sio hayo matisho toka nje. Inatumika nguvu kubwa kupambana na CDM badala ya kuchunguza jirani zetu wana njama gani dhidi ya nchi yetu. Ona kila siku majambazi yao yanavuka mipaka na kutudhalilisha na huwezi sikia huko kwao wameshika jambazi toka TZ.


Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Rwanda kwa eneo lake ni ndogo kuliko mkoa wa Kilimanjaro ambao ni mdogo kuliko mikoa yote Tanzania. Tutamkanyaga kama kifaranga cha kuku akithubutu! Asidhani kuwa Tanzania ni kama Congo!

Hapana Rwanda ni Kubwa kuliko Mkoa wa Kilimanjaro kwa mbali sana Mkoa wa Kilimanjaro una eneo la 13,209 km[SUP]2,
[/SUP]lakini Rwanda ni zaidi ya 24,949km[SUP]2,....
[/SUP]
Usiwe unakuwa shabiki kwa ajili ya ushabiki, na usiseme kitu kama hujafanya utafiti
 
Tusije tukapoteza Rasilimali zetu katika upuuzi huu. Tayari wanaotuongoza wametupotezea rasilimali zetu nyingi sana hasa kwa kushindwa kuongoza au kwa makusudi, na sasa wanaanzisha bifu na nchi nyingi kwa kauli zao zilizojaa uzembe wa kutokufikiri. Kuna issue ambazo ziko sensitive katika nchi yeyote ile, kwa mfano huku kwetu ukizungumzia meremeta unaambiwa hiyo ni issue ya usalama wa taifa ingawa ndani yake kuna ufisadi. Issue ya waasi wale wa Rwanda kwao ni issue sensitive sana na ni issue ya usalama wa taifa lao kulingana na mwelekeo wa taifa lao, kwahiyo tuwe na tahadhari.

Huwezi kwenda Israel alafu ukaonyesha ishara na NAZI, watakuyeyusha hapo hapo.
 
Kagame ni taahira jamani. Mwacheni. Hamuoni amekusanya mafuvu ya watu wote waliokufa Rwanda tangu miaka ya sitini na kuyaita yote ni ya Watutsi wenzake waliouwawa kwa genocide ya 1994?


Kama kweli Kagame angekuwa na akili timamu angeyajengea mafuvu yale museum ili kuwakumbusha machungu wanyaRwanda wenzake wazidi kugawanyika na kuchukiana zaidi kizazi hadi kingine?
 
Nchi kama Rwanda wala haihitaji kupigwa au kupigana nayo kijeshi, bali fitna za kiuchumi zatosha kabisa kutumika...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom