Kagame tells Kikwete "I will hit you......"

Kagame tells Kikwete "I will hit you......"

Status
Not open for further replies.
7481088476_5924df4951_b-1.jpg

7478927916_1953f88426_b.jpg

Why now you have turned great beasts like that???
 
uzalendo wa Mtanzania upo at all time low,tusiombe vita au tutaona maajabu ya wa tz wakimkumbatia adui. Huo ndio ukweli. jwtz na polisi wa endelee kuwadhibiti wapinzani mtwara, arusha, zanzibar mbeya etc etc wasidhubutu kamwe kufungua war front na Rwanda,Malawi. Time is simply not right. I am done.

mkuu huo ndio ukweli japo mchungu! Uzalendo hauji automatically, unajengwa na utawala bora, siwezi kujifanya mzalendo kuisaidia jeshi hili ninaloshuhudia Mbeya, Arusha na Mtwara wakimwaga damu ili kumrizisha aliye Madarakani, never!
Huu ndio msimamo wangu hata kwa yule mama wa Malawi!
 
Look at this fool.Ajaribu aone jinsi watanzania tutakavyoungana kumfunza adabu and dump him huko lake Tanganyika.Na sisi tumekua wapole mno maana mimi ningemuonyesha cha moto.Hakuna cha intetnational community!
Mkuu huyu jamaa kwa vile wanajeshi wake wanamchezea KABILA DRC wanaingia na kutoka wapendavyo anadhani hata TZ atafanya hivyohivyo ni makosa makubwa kwa JK kumnyamazia mtu kama Kagame.
 
kwani huyu mzee mzee ameanza kuingiwa uchizi mbona anahangaika sana kwani kazalishwa tanzania? huyu wehu umemkaribia sana na kiama chake kiko karibu.
 
uzalendo wa Mtanzania upo at all time low,tusiombe vita au tutaona maajabu ya wa tz wakimkumbatia adui. Huo ndio ukweli. jwtz na polisi wa endelee kuwadhibiti wapinzani mtwara, arusha, zanzibar mbeya etc etc wasidhubutu kamwe kufungua war front na Rwanda,Malawi. Time is simply not right. I am done.
Kaka wanaosema jeshi letu lina nguvu wana refer kipindi tofauti kabisa na wanaosema nchi yetu kubwa nao pia ni wafinyu wa mawazo, ukubwa wa nchi sio kushinda vita. Kumbuka Tony Blair ndiye mshauri wa Rwanda na ana reputation kubwa sana yule mzee na ushawishi mkubwa na anaheshimiana na Kagame kwa sababu kagame anatumia ushauri wa yule mzee. Hawa wanaotaka kutupiga ni wazungu tu walitaka kupitia ziwa nyasa wameona wanachelewa sasa hivi wanapitia Rwanda. Vita ni mbaya, hivi kabla ya vita tuko taabani je tukiingoia vitani mnadhani itakuwaje??? Baba Mwanaisha anahamisha familia yake yote na ndio itakayokuwa nafasi ya mafisadi kuba zaidi. Tukiingia vitani umaskini hautakuja ututoke kwa miaka mingi sana
 
For the first time since President Kikwete elected...I stand by my President! This Rwandese 'maniac' who eagerly wanted to be crowned 'dictator' (HE IS NOT!) have 'chuki-binafsi' na Tanzania. The way I see, the issue here is not Kikwete's comment..the issue is Tanzania. Atuchokoze tumpige ka Nduli! Shalikenda zake..
\

For sure huyu jamaa anatakiwa kichapo
 
Kama kweli amesema hivi, Kagame mgonjwa wa akili! Huwa mimi maoni yangu ni kwamba watu watenganishe siasa na ukabila, na wakati mwingine nakuwa accused of supporting PK, nikisema chondechonde achene kuwashambulia Watutsi.Lakini sasa kama Kagame amesema haya manneo, basi apigwe! make tumechoka, atakuwa hafai kuwa raisi kabisa! Ila sasa kuna wanyarwanda weeengi ambao ni wapinzani wa kagame, kazi yao ni kuandika kwenye internet anti-kagame propaganda. Moja ya website inaitwa Afroamerican web. Ebu tu google kama hii piece haijaanzia pale. make hii afroamerican forum ni ya genocidaires, ukisoma articles zao A-Z so ni vigumu kupata ukweli...

mkuu unachosema kinaukweli unajua kagame kauwa watu wengi sana na anawapinzani wengi sana lakini kwa jinsi kagame alivyo acha apingwe ni muuaji,
 
Siku zote ukiona mtu mzima anaongea upumbavu mbele ya media au watu dhidi ya kiongozi mwenzake ujue ana matatizo.

Rwanda ni kama sisimizi kwetu, kama anazungumzia vita Tanzania inaweza kuichukua rwanda na kuifanya wilaya kama biharamulo tu.

This idiot must be stopped now.

Kagame ni muuaji na --------, huwezi kukataa kumaliza matatizo na adui yako hata uwe nani labda tu uamini kuwa unaweza kuwaua wote ubaki peke yako. Leo tunaona marekani yenye uwezo wa kuwamaliza kabisa Taleban imekubali kukaa chini na kuongea nao sembuse Rwanda na interahamwe ambao ni wahutu na Rwanda ni nchi yao?

It hurts to see such slanders directed to our Command-In-Chief and respectable President of the United Republic of Tanzania. Anyhow the Ministry of Foreign Affairs and International Cooperation and office of president are responsible to demand explanations of such disrespectful utterances to our President of URT and take appropriate measures to HIT BACK AND TEACH LESSONS TO KAGAME. We cant remain silence in the name of diplomacy while the dignity of our beloved country, Tanzania, is put to test. IF THE SILIENCE IS A STRENGTH WE MUST SEE "4Bs" of Rwanda is taught a good lesson in a near future and protect our dignity as country.

I argue our instruments to take counter measures and deter such threats from Rwanda and allies by all means.

God Bless Tanzania!
 
Achen ujinga nyinyi hvi nan aliye waambia kuwa ilikushinda vta lazma iwe nchi kubwa ....ushindi wa vta ni mipango,uzarendo na slaha co ukubwa wa pua

You forget kwamba majeshi yetu tayari yapo Congo DRC, and you forget kwamba Burundi ni mshirika wetu? Hapa watakaokataa kutusupport labda ni Uganda tu ambao ni washirika na kagame. But Malawi ni ngumu zaidi kuipiga kuliko Rwanda.
 
Haka kakijeba kasikonenepa dawa ni kukofundisha adabu tu!Kinchi chenyewe hata wilaya ya urambo kubwa na on top of that nearly 80% ya population yake (Hutu) are on our side,kwaniji tusimfundishe adabu huyu kimburu?
 
Kagame ni joka kuu Afrika Mashariki,.....ila nafikiri anakaribia mwisho wake.
 
Siku zote ukiona mtu mzima anaongea upumbavu mbele ya media au watu dhidi ya kiongozi mwenzake ujue ana matatizo.

Rwanda ni kama sisimizi kwetu, kama anazungumzia vita Tanzania inaweza kuichukua rwanda na kuifanya wilaya kama biharamulo tu.

This idiot must be stopped now.

Kagame ni muuaji na --------, huwezi kukataa kumaliza matatizo na adui yako hata uwe nani labda tu uamini kuwa unaweza kuwaua wote ubaki peke yako. Leo tunaona marekani yenye uwezo wa kuwamaliza kabisa Taleban imekubali kukaa chini na kuongea nao sembuse Rwanda na interahamwe ambao ni wahutu na Rwanda ni nchi yao?

Kagame kuua maadui zake wa interhamwe ambao wamechukua silaha wanapigana nae ni kitu gani kwako? mbona raisi wako yeye anaua wapinzani wake wa kisiasa ambao hata kisu hawajawahi kumshikia??!!!
 
Mkuu usione ukimya wa Tanzania, kwenye international politics huwa nipo confident sana na Tanzania pamoja na intelligence yake. Sina shaka kwamba Tanzania inazichanga karata zake vizuri. Membe alishasema Tanzania haina mpango wa kumuomba radhi, bila shaka something better is being thought of. Pengine aanze yeye Kagame kushughulikiwa na kuachia madaraka. Kama ilivyompandikiza Mseven Uganda, ikamuweka Laurence Kabila kule Congo, naamini haitashindwa kwa huyu.

Your ccm myself chadema'but we can not take this nonsese'wamejaribu kutugombanisha wameshindwa'Tanzania itabaki kama ilivyo forever
 
Watanzania mnaifanya issue ya Kagame kama vile mechi ya simba na yanga ambayo ikiisha kila mtu anachukua time yake. Aliyefungwa na aliyefunga.

Hi issue ni serious, wengine wanasema wana jeshi zuri ukiwauliza hawana data, wengine wanasema nchi yetu kubwa hiyo nayo haina mashiko, kubwa so what? wengine wanasema wanatz wana uzalendo hawana data, na wengine wanasema tutamnyongelea mbali hawajui hata uwezo wa jeshi letu.

Wapo wenye data za mwaka 47 ambazo matokeo yake tulishayaona mbagala na gongo la mboto. Na simple research kwenye mikutano ambapo polisi wakituliza ghasia wanaua, huo umakini wetu uko wapi??? mpaka tujisifu?????

Hivyo hili swala sio mpira wa yanga na samba la sivyo itatu cost sana.
 
Nakusupport,now its not a time to start confrontation with our enemies.remember vita ya uganda tulishinda kwa sababu wananchi wa uganda walikuwa wanafichua maficho ya jeshi lao.
Pia inaweza ikawa njia kwa wasioitakia mema nchi kupata mwanya.remember vita huanzishwa mezani na kumalizikia mezani but waathirika ni wananchi mnaoshabikia sa hv na ndugu zetu tutaowapoteza vitani.
I urge to tanzanian government to sit down and find the peaceful solution for this conflict.

uzalendo wa Mtanzania upo at all time low,tusiombe vita au tutaona maajabu ya wa tz wakimkumbatia adui. Huo ndio ukweli. jwtz na polisi wa endelee kuwadhibiti wapinzani mtwara, arusha, zanzibar mbeya etc etc wasidhubutu kamwe kufungua war front na Rwanda,Malawi. Time is simply not right. I am done.
 
Your ccm myself chadema'but we can not take this nonsese'wamejaribu kutugombanisha wameshindwa'Tanzania itabaki kama ilivyo forever
rosemarie acha uchokozi, tangu lini mimi ni CCM? I agree with you kwamba when it comes to international affairs we (CHADEMA and CCM) are both Tanzanians, despite our political affiliations. Our political differences will only be expressed when we are discussing our home affairs.
At international level, we wont accept to see our president being insulted or offended. He is the icon of our nation. we will all together stand for him. His weaknesses are for us, we wont allow others to take advantage from him.
 
Last edited by a moderator:
Tanzania ni bora kuliko mawazo mgando yanayoelekea kufa. Wezetu walioamka zamani linapokuja swala lenye maslahi kwa taifa hata kama ni mwendawazimu hupigania nchi yake
 
Kaka wanaosema jeshi letu lina nguvu wana refer kipindi tofauti kabisa na wanaosema nchi yetu kubwa nao pia ni wafinyu wa mawazo, ukubwa wa nchi sio kushinda vita. Kumbuka Tony Blair ndiye mshauri wa Rwanda na ana reputation kubwa sana yule mzee na ushawishi mkubwa na anaheshimiana na Kagame kwa sababu kagame anatumia ushauri wa yule mzee. Hawa wanaotaka kutupiga ni wazungu tu walitaka kupitia ziwa nyasa wameona wanachelewa sasa hivi wanapitia Rwanda. Vita ni mbaya, hivi kabla ya vita tuko taabani je tukiingoia vitani mnadhani itakuwaje??? Baba Mwanaisha anahamisha familia yake yote na ndio itakayokuwa nafasi ya mafisadi kuba zaidi. Tukiingia vitani umaskini hautakuja ututoke kwa miaka mingi sana

akili yako inatosha kwenye kifuniko cha soda tu wala huyajui mambo mengi ya vyombo vyetu vya dola unaongea bila hata ya fact na ukiona mtu anaizalau mpaka nchi yake anachuki binafsi na watu walioko madarakani wala huna lolote.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom