Kagame ndani ya Congo, sisi kiherehere cha nini?

Wewe ndio mchafu unajua kuna vijana wetu wanakufa huko wanaacha watoto na wajane kwa ajili ya mali za wacongo zinatusaidia nini?
Toa ujinga huko, kwani unafikiri kazi ya jeshi ni nini kama sio kuwazuia wapenda vita. Au hujui kama Kagame angehamia kwa majirani wengine kuwapora mali? Hao Watutsi waliorudishwa kwao na makundi ya mifugo kutoka Kagera na Karagwe si ndio sera ya Kupora ya Kagame! Wanahamia kwako halafu wanataka waongoze serikali!
 
Nawashangaa mainterahamwe kushangilia Tanzania kupeleka kikosi kule Congo kupambana na M23 kikundi ambacho kinasemekana kinafadhiliwa na Kagame ili kupora mali za wakongo
Hivi kama Kagame ameamua kutumia fursa kupora mali kwa ajili ya wanyarwanda sisi inatuuma nini? au ndo wivu wa maendeleo, hizo mali za Congo zinatusaidia nini mpaka tuzipiganie, Tumesaidia sana ukombozi kusini mwa jangwa la Sahara tena kwa kumwaga damu lakini hamna chochote tunachothaminiwa na mataifa hayo leo hii vijana wetu wanamwaga damu kwa ajili ya wacongo ili mali zao zisichukuliwe na mjanja Kagame ambae anazitumia kujenga nchi yake ifike sehemu tuache kiherehere.

Mimi ni chadema damu ila sipendi ujambazi,dhulma.wewe kwa akili yako unadhani m23 wakitawala congo Tanzania itakuwa salama endapo vita vitatokea kati yetu na Rwanda au Congo?? Uwe na akili mkuu fikiria mbali.Usalama wa nchi kwanza mkuu.
 
Wekeni hapa MASLAHI YA TZ DRC NA SISI KUJIHUSISHA NA HILO TUJUE.NI MIPASHO TU YA "------"ILITIBUA MAMBO !!
 
Hii nchi kushatengenezwa madaraja makubwa sana kiuchumi n.k kutakuwa na kazi kubwa ya kuwaunganisha.watoto wao no jeshi.
 
Kwanza,Nampongeza Waziri Wa Mambo ya Nje Bernard Membe kwa kukubali kuwa kuna haja ya kuwa na wataalamu wa uchumi kwenye Balozi zetu nje ambao wamebobea katika Diplomasia ya Uchumi .Hili suala nimeshaandika hapa mara kadhaa,nimeaandika JF na Pia makala kwenye magazeti.Ni hatua nzuri sasa kama Wizara imetambua umuhimu wa kutumia Balozi Zetu kuvutia watalii ,kuhamasisha Biashara kati ya Watanzania na watu au makampuni ya Nje na pia kuvutia wawekezaji (Foreign Direct Investment).Sasa tumeanza kwenda na wakati ingawa tunahitahi Sera yenye strategic focus kwa EAC,SADCC,AU,ARAB LEAGUE,ASIA,CHINA ,US n.k kama Potential Partners. Uingereza,Kenya,SA,China na US ni strategic partners katika Uwekezaji.Hapa ni lazima tufanye formulation ya Unique Policy ili hata wanadiplomasia wetu waongozwe na Framework Specific

Pia Economic Intelligence Unit au Think Tank iundwe na iwe na Coordination ya Moja kwa Moja na Department ya Economic Diplomacy.kwa bahati mbaya Wabunge hawakumbana katika Eneo hili.Diplomasia ya sasa ni ya Uchumi na sio Diplomasia ya Kisiasa tena. Leo tunatuma wanasiasa wakatuwakilishe kule Doha kwenye Mikutano ya WTO wakati Wenzetu wanapeleka mabingwa mbinu za majadiliano ya kibiashara na Uchumi kutoka kwenye Economic Intelligence Unit zao

Pili,jana nilitahadharisha juu ya matamshi ya Mbunge Kessy kuhusu yeye kuituhumu Rwanda na nikasema alikosa weledi unaohitajika katika majadiliano ya mijadala ya kidiplomasia ndani ya bunge na nikaonyesha masikitiko yangu kwa Mhe.Bernard Membe kushangilia kauli ya Mhe.Kessy kuwa Rwanda inaiba Raslimali za Congo-DRC na pia inafadhili M-23.

Well,Nilisema Kessy ametuhumu (Hata kama ni Kweli) bila kufanya Rejea .Nikasema labda Membe aje afanye Rejea ya Ripoti ya UN lakini nikatahadharisha kuwa hata akifanya hivyo lakini Rwanda hajaadhibiwa.

Kweli Mhe.Membe alikuja kumsaidia Kessy kwa kufanya Rejea ya Ripoti ya UN na kutumia flirting Skills akidhani kuwa anamshambulia msemaji wa kambi ya upinzani.

Membe alichofanya ni makosa makubwa kidiplomasia na hili litachochea mgogoro mkubwa na Rwanda.

Je,Kauli alizotoa Kessy au Membe kuwa Rwanda ni Wezi na M-23 ni kundi la Serikali ya Rwanda,Rais Kikwete anaweza kuzitamka kwenye Mkutano wa EAC,SADCC,ICGLR,AU Au Kule UN General Assembly? Waziri mkuu Pinda aliyelitangazia Bunge Mwaka jana kuwa Serikali imemuomba Rais Museveni wa Uganda awapatanishe Kikwete na Kagame alimaanisha nini?Kwamba Rais angefuta kauli yake ya kumshauri Kagame kuongea na FDLR?Vipi mbona Ripoti aliyoinukuu Membe Bungeni pia imeituhumu Uganda kuwa wanashirikiana na Rwanda kulifadhili Kundi la March-23 Movement(M-23)? Siis wengine tulipinga tangu Mwanzo Uganda kuhusishwa maana kama ni confidence ya Mediator sidhani kama Tanzania ingekua nayo kwa Museveni na tena ningeshangaa sana.

Tanzania tumeonyesha kutokua na ajenda kimataifa na nimeshasema mara nyingi tunafuata sera ya fuata mkumbo (Bandwagoning Diplomacy).Tupo tupo tu na tunadandia kila kitu halafu tunasema tunaheshimika sana kimataifa?

Hiyo nguvu ya usuluhishi unaitoa wapi wakati huu wa sera ya Diplomasia ya Uchumi ambako nguvu ya uchumi na kijeshi ndiyo inayokupa nguvu katika medani za kimataifa ikiwepo usuluhishi? Marekani wakisema Usalama wanamaanisha nguvu ya kiuchumi. Nigeria baada ya Rebasing ya uchumi wao imekua taifa lenye uchumi mkubwa Afrika na hivyo nguvu ya taifa na sauti yao itaheshimika

Kenya wanatupita katika nguvu na sauti kimataifa katika ukanda huu kwa sababu ya nguvu ya kiuchumi na sisi tunaendelea kutumia ile akiba ya Diplomasia ya siasa za Frontline aliyoacha Mwalimu Nyerere

Sasa Ripoti ya Mhe.Membe iliyoandikwa na UN Expert Group ilipingwa na Rwanda,pia Ripoti hiyo ilipingwa na Uganda maana hata Uganda walituhumiwa lakini Membe kwa upotoshaji Mkubwa hakuitaja.

Ni jambo la ajabu kuwa Top Diplomat wa Nchi anashindwa kuzingatia kuwa Tayari Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lilishaidhinisha Vikwazo kupitia Azimio namba 2136 (2014) ambalo liliungwa mkono na Rwanda kwa mtazamo wa kuwa Azimio namba 1533(2004) lilotanguliwa na Azimio 1494(2003) linaheshimiwa

Azimio namba 2136 liliweka Vikwazo kwa M-23(Bila kuitaja Rwanda katika Adhabu hiyo) na pia Congo -DRC waliadhibiwa kwa kuifadhili UFDLR ambayo pia ilitajwa na UN report aliyoitumia Membe

FDLR wana extrime Ideology iliyohusika na Mauaji ya Kimbari ya Rwanda na ilithibitishwa na UN Security Council.

Haya Membe hakuyajadili wakati Bunge lilihitaji mjadala ili nchi yetu iangalie namna ya kuwasaidia majirani zetu,pia tudumishe amani,mahusiano ya kidiplomasia hasa ya kiuchumi na pia kulinda mtazamo mpana wa umajumui wa Afrika

Membe alichagua Kufanya siasa kiduchu(Petty Politics) kumshambulia Wenje binafsi(Personal Attack) kinyume na weledi wa Diplomasia na pia kutoa matamshi yatakayochochea mgogoro zaidi baina ya Tanzania na Rwanda kwa kuituhumu Rwanda kuifadhili M-23 huku akijua kwa sasa kulingana na azimio 2136 Nchi wanachama wa ICGLR(Nchi za Ukanda Maziwa Makuu) zina jukumu la jumla na binafsi katika kusaidia kutekeleza maazimio hayo ikiwa ni pamoja na kushirikiana na UN Expert Group iliyopewa Mandate ya kurefusha Sanction Regime hadi February 1,2015 ili kuleta amani ya Kudumu

Waziri wa Mambo ya Nje kupotosha mjadala na kutuhumu kuwa Msemaji wa Kambi ya Upinzani anatumiwa na Mataifa ya Nje (Pengine Rwanda) ni udhaifu mkubwa katika kukwepa hoja .Kama kuhoji kuhusu tuhuma za Rais Kukutana na Kiongozi wa Waasi(Tena Sio Upinzani) basi inamfanya Wenje kuwa Mamluki anayelipwa na Rwanda kuisemea ndani ya bunge ,Je ni wapi Duniani tuliwahi kuona Rais Wa Nchi kulisemea na kulionea huruma kundi la Waasi? Membe hakupima Kauli zake

Ni mwaka jana tu Membe alitoa matamshi tata kuhusu kutengwa kwetu kwenye Jumuiya ya Afrika Mashariki na kudai "tunasubiri Talaka".Tuliipinga kauli hii na kwa bahati nzuri Rais Kikwete aliliona hilo na akatoa hotuba nzito Bungeni kuwa hatuendi Popote.

Mimi ni mzalendo ninayelipenda Taifa langu na nitalipigania popote duniani.Sipendi Blind Patriotism.

Kagame ana matatizo yake ndani ya Rwanda lakini hatuwezi kuruhusu kauli aliyoitoa JK kuwa Rwanda Iongee na Waasi(Kauli ambayo niliiunga mkono na niliendelea kuiunga mkono hadi azimio 2136 lilipopita ingawa yeye JK hatekelezi hayo) itumike kuhatarisha mahusiano yetu na watu wa Rwanda au Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa kauli za Mawaziri ambazo wanazitoa bila kipimo

Pia suala la Majeshi yetu kule Congo DRC lipo na ni sehemu ya Tanzania katika kutimiza majukumu yake ya kimataifa(International Obligation) kupitia Azimio no.2098 la kuunda MONUSCO.

Hata hivyo halizuii mijadala bungeni maana hata Obama aliposema "Dumb War" ilikua ni matokeo ya mjadala ndani ya Congress kule US kuhusu Rais Bush kulidanganya Taifa kuwa Iraq ina silaha za Kemikali kumbe ni Uongo.Marekani ilipata hasara.

Ni lazima kuwe na mjadala bungeni kwa kukosoana na kurekebishana ili tuunde mwafaka wa kisera kama nchi tusonge mbele.Waziri alikosa weledi juu ya matumizi ya Code Words and Politeness

Unachagua kujadili millitary adventure huko DRC halafu unashindwa kutoa majibu ya kushindwa kwa Serikali kutuma Millitary Plane kufanya Evacuation hata ya Raia wetu kule Sudan Kusini wakati wa Vita? Kwanza nampongeza Membe kwa kukubaliana na ile Hoja yangu ya jana kuwa Tanzania imezubaa na wizara haina takwimu ya idadi ya Raia wa Tanzania nje hivyo hata mikakati ya kunufaika na Diaspora ni lazima tutatue changamoto hii kwanza

Tatu,Membe Alishangaza kwa kutetea ziara za Rais nje .Rais amefanya ziara zaidi ya 365 nje ya nchi kushinda Mwalimu Nyerere ambaye hakufikisha ziara 70 kwa kipindi chake cha miaka 24 madarakani.Rais anataka kuwa Member wa Diaspora?Maana ameshinda angani na nje ya nchi kwa sababu dhaifu kabisa kabisa.

Membe anatoa sababu dhaifu kuwa Rais anapendwa na kuheahimika,Je kati ya Rais Kikwete na Mwl.Nyerere ni nani alikua akiheshimika zaidi kimataifa?

Rais anashindwa kubaki nyumbani na kudhibiti wizi wa mali za umma kama bilioni 200 za ESCROW kwenye sakata la IPTL badala yake anaenda kuomba bilioni 40 au 100 nje ya nchi tena sehemu nyingine kama Singapore anapokelewa na mkurugenzi wa Idara kinyume na Itifaki kabisa?

You can't defend the trip maniac president in that way

Ifike Mahali sasa kwenye Katiba tudhibiti ziara hizi kama Mexico ambako Rais Vicente Fox alionja fedheha hii kwa kuzuiwa na Bunge lake la Senate mara Mbili Kusafiri ikiwepo ziara yake US na Canada.Safari za Rais ilikua ni lazima zipate approval ya Bunge. Chama cha Upinzani cha PRI kilizuia safari zisizokua na Tija.

Mexico walipata dawa ya kudhibiti Marais ambao ni wazururaji utadhani wamelelewa kwa supu za usafiri(Makanyagio) ya kuku wa kienyeji. Balozi za nje na hata wizara zinaweza kufanya baadhi ya safari na kupunguza gharama.

Hatuwezi kuegemea kwenye ziara za Rais katika Diplomasia ya Kuomba na Kushukuru badala ya kuweka Diplomasia ya Uchumi.Tunahitaji kudhibiti ziara za Rais kikatiba kabisa na safari zipate Approval ya Bunge kama Mexico. How can we justifty global trotting to seek aid and loans while we cant manage our Cash reserves?
 
Sasa vile vifaru na mizinga na ndege za kivita ambavyo Uganda na Kenya wameenda navyo kule South Sudan na Somalia respectively,ni vifaa vya kuimbia mapambio au kushambulia?Narudia tena,jibu maswali ulioulizwa usikwepe!
Tofautisha kulinda amani na kuwa mstari wa mbele (kupigana vita) tunaacha kulinda tembo wetu tunaenda kulinda na kupigania mali za wacongo huku tukimwaga damu kwa lipi hasa tunafaidika vipi na hiyo vita sisi hata kama ni kwa mwamvuli wa UN kwanini tujisifu sisi, tulikuwa uwezo wa kukataa kupeleka jeshi Congo.
 
Mwanadiplomasia wangu mbona unaniangusha katika hili? Ni lini Raisi alisemea waasi? kutoa ushauri wa kukaa mezani kwa ajili ya mazungumzo ndo kulisemea? Vp kuhusu Baba wa taifa kuunga mkono waasi wa biafra au kipindi hicho hakua raisi wa nchi, tumeshuhudia Obama akitamka wazi kuwasaidia waasi wa Syria. Tulipeleka majeshi yetu Comoro hatukusikia kelele zozote, tulipeleka majeshi darfur hatukusikia kelele zozote iweje hili la kupeleka majeshi yetu DRC lizue mgogoro mkubwa kiasi hicho.
 
Sasa vile vifaru na mizinga na ndege za kivita ambavyo Uganda na Kenya wameenda navyo kule South Sudan na Somalia respectively,ni vifaa vya kuimbia mapambio au kushambulia?Narudia tena,jibu maswali ulioulizwa usikwepe!

Tunapata faida jeshi letu kuwa Congo je, nchi kubwa kama ile haiwezi kujilinda mpaka watutegemee, hao wameenda kulinda amani na sio kupigana vita kama sisi Mimi sina unasaba na Kagame wale siipendi baadhi ya mambo anayoyafanya na yeye hata siku moja hawezi kutuletea chokochoko kwa sababu anatujua makali lakini sio vizuri kupeleka majeshi Congo kwenda kupigania mali zao huku za kwetu zikiteketea unaonaje kama ile brigade ingepelekwa kulinda tembo wetu wanaoangamizwa na majangili, na kama kile kikosi kiko chini ya UN sisi kiherehere cha kujisifu tunakitoa wapi?
 
Mwanadiplomasia wangu mbona unaniangusha katika hili? Ni lini Raisi alisemea waasi? kutoa ushauri wa kukaa mezani kwa ajili ya mazungumzo ndo kulisemea? Vp kuhusu Baba wa taifa kuunga mkono waasi wa biafra au kipindi hicho hakua raisi wa nchi, tumeshuhudia Obama akitamka wazi kuwasaidia waasi wa Syria. Tulipeleka majeshi yetu Comoro hatukusikia kelele zozote, tulipeleka majeshi darfur hatukusikia kelele zozote iweje hili la kupeleka majeshi yetu DRC lizue mgogoro mkubwa kiasi hicho.
Mkuu,
-Nyerere alifanya kosa kubwa kuunga mkono BIAFRA na hata Nigeria ilivunja uhusiano wa kidiplomasia na Tanzania

-Obama au Kerry kukutana na waasi wa Syria ajenda inakua Clear.

Hilo la FDLR ni kujibu tu petty politics ya Membe kumtuhumu Wenje bila grounds.Sasa hiyo ilikua Tit-for-Tat politics

Tuhuma za Twagiramungu na Rudasingwa kuwa Tanzania Membe hakuzijibu kidiplomasia maana ilihusisha viongozi wa RDC na FDLR

Tuhuma za mkuu wa nchi kukutana na Waasi wa nchi nyingine ni gesture ya Hostility mkuu wangu
 
Mkuu, now you are talking.
 
Mkuu,

-Nyerere alifanya kosa kubwa kuunga mkono BIAFRA na hata Nigeria ilivunja uhusiano wa kidiplomasia na Tanzania

..hapa naomba kutofautiana na wewe.

..nimesoma statement ya serikali ya Tanzania kuitambua Biafra na nimeridhika na sababu zao.

..sasa labda ungetufafanulia kwanini unafikiri sababu zile zilizotolewa hazikuwa na msingi.
 
Nawashangaa mainterahamwe kushangilia Tanzania kupeleka kikosi kule Congo kupambana na M23 kikundi ambacho kinasemekana kinafadhiliwa na Kagame ili kupora mali za wakongo
Hivi kama Kagame ameamua kutumia fursa kupora mali kwa ajili ya wanyarwanda sisi inatuuma nini? au ndo wivu wa maendeleo, hizo mali za Congo zinatusaidia nini mpaka tuzipiganie, Tumesaidia sana ukombozi kusini mwa jangwa la Sahara tena kwa kumwaga damu lakini hamna chochote tunachothaminiwa na mataifa hayo leo hii vijana wetu wanamwaga damu kwa ajili ya wacongo ili mali zao zisichukuliwe na mjanja Kagame ambae anazitumia kujenga nchi yake ifike sehemu tuache kiherehere.

Sasa imefikia wakati wa kuishauri Rwanda na Congo wawe na muungano wa serikali mbili , nchi mbili.
Waje wajifunze muungano wa Tanganyika na Zanzibar ulivyowanufaisha Watanzania Kiusalama.
 
Siku hizi hakuna ugomvi wa kupoteza. kama nyinyi TZ bado mnaenda vitani bila kujua mtafaidikaje na hiyo vita wakati mnatumia rasilimali bila kujua zitalipwaje basi bado mpo dunia ya ishirini maana hakuna taifa makini katika sayari ya dunia ambalo linaenda kupigana bila kujua litafaidikaje!! Ngoja nyinyi mgombane ili Kenya atumie fursa yenu ya kijiografia kujiunganisha na Mataifa ya Afrika Mashariki...Poleni kama mliwakombo A.Kusini lakini hampati hata robo ya mkate na bado hamjifunzi!! Kama Kongo ni majirani vipi kule Comoro mlifata nini?
 
Idi AMINI HAKUWA MWEHU AISE
Ni sisi Tanzania tuliruhusu wanajeshi wa Obote kutumia ardhi yetu kwenda
kushaburia ndani ya Ugada kwa lengo la kumrudisha Obote a friend of
Nyerere. Idi amini alipojibu mapigo kwa kuwafuata maadui wake akageuziwa
kibao kwamba katuvamiwa watanzania tukarishwa maneno mengi kuwa iddi
amini ni mbaya kupita kiasi Komba naye akimuita joka kuu!!!! lakini
kilichotupata watanzania vita hii ilitumaliza kabisa miaka 36 baadae
bado tunafunga mikanda!!!!!!

umeishia darasa langapi? haya hata kama hukusoma hata tv huangalii historia ya vita vya kagera? hopeless
 
wewe utafaidika nini? Mbona hamna heshima na nchi jirani!?

Sio mimi nitafaidika nini bali Tanzania na DRC zitakuwa salama na kuondokana na wimbi la wahuni wanachafua amani ndani na nje ya nchi zao.....! Kagame na kagenge chake cha wahuni wamefanya mauaji Rwanda wakaona hayatoshi wakahamia na Congo........! Kwa mara ya pili katika historia ya advanture zao za kivita ukanda wa maziwa makuu wamepata kipigo kikali toka JWTZ under the disguise ya FIB. Mara ya kwanza walitwangwa na Angola & Zimbabwe. Ile tutsi arrogance tumeikata kilimilimi...!
 
Kwanza,Nampongeza Waziri Wa Mambo ya Nje Bernard Membe kwa kukubali kuwa kuna haja ya kuwa na wataalamu wa uchumi kwenye Balozi zetu nje ambao wamebobea katika Diplomasia ya Uchumi .Hili suala nimeshaandika hapa mara kadhaa,nimeaandika JF na Pia makala kwenye magazeti.Ni hatua nzuri sasa kama Wizara imetambua umuhimu wa kutumia Balozi Zetu kuvutia watalii ,kuhamasisha Biashara kati ya Watanzania na watu au makampuni ya Nje na pia kuvutia wawekezaji (Foreign Direct Investment).Sasa tumeanza kwenda na wakati ingawa tunahitahi Sera yenye strategic focus kwa EAC,SADCC,AU,ARAB LEAGUE,ASIA,CHINA ,US n.k kama Potential Partners. Uingereza,Kenya,SA,China na US ni strategic partners katika Uwekezaji.Hapa ni lazima tufanye formulation ya Unique Policy ili hata wanadiplomasia wetu waongozwe na Framework Specific

Pia Economic Intelligence Unit au Think Tank iundwe na iwe na Coordination ya Moja kwa Moja na Department ya Economic Diplomacy.kwa bahati mbaya Wabunge hawakumbana katika Eneo hili.Diplomasia ya sasa ni ya Uchumi na sio Diplomasia ya Kisiasa tena. Leo tunatuma wanasiasa wakatuwakilishe kule Doha kwenye Mikutano ya WTO wakati Wenzetu wanapeleka mabingwa mbinu za majadiliano ya kibiashara na Uchumi kutoka kwenye Economic Intelligence Unit zao

Pili,jana nilitahadharisha juu ya matamshi ya Mbunge Kessy kuhusu yeye kuituhumu Rwanda na nikasema alikosa weledi unaohitajika katika majadiliano ya mijadala ya kidiplomasia ndani ya bunge na nikaonyesha masikitiko yangu kwa Mhe.Bernard Membe kushangilia kauli ya Mhe.Kessy kuwa Rwanda inaiba Raslimali za Congo-DRC na pia inafadhili M-23.

Well,Nilisema Kessy ametuhumu (Hata kama ni Kweli) bila kufanya Rejea .Nikasema labda Membe aje afanye Rejea ya Ripoti ya UN lakini nikatahadharisha kuwa hata akifanya hivyo lakini Rwanda hajaadhibiwa.

Kweli Mhe.Membe alikuja kumsaidia Kessy kwa kufanya Rejea ya Ripoti ya UN na kutumia flirting Skills akidhani kuwa anamshambulia msemaji wa kambi ya upinzani.

Membe alichofanya ni makosa makubwa kidiplomasia na hili litachochea mgogoro mkubwa na Rwanda.

Je,Kauli alizotoa Kessy au Membe kuwa Rwanda ni Wezi na M-23 ni kundi la Serikali ya Rwanda,Rais Kikwete anaweza kuzitamka kwenye Mkutano wa EAC,SADCC,ICGLR,AU Au Kule UN General Assembly? Waziri mkuu Pinda aliyelitangazia Bunge Mwaka jana kuwa Serikali imemuomba Rais Museveni wa Uganda awapatanishe Kikwete na Kagame alimaanisha nini?Kwamba Rais angefuta kauli yake ya kumshauri Kagame kuongea na FDLR?Vipi mbona Ripoti aliyoinukuu Membe Bungeni pia imeituhumu Uganda kuwa wanashirikiana na Rwanda kulifadhili Kundi la March-23 Movement(M-23)? Siis wengine tulipinga tangu Mwanzo Uganda kuhusishwa maana kama ni confidence ya Mediator sidhani kama Tanzania ingekua nayo kwa Museveni na tena ningeshangaa sana.

Tanzania tumeonyesha kutokua na ajenda kimataifa na nimeshasema mara nyingi tunafuata sera ya fuata mkumbo (Bandwagoning Diplomacy).Tupo tupo tu na tunadandia kila kitu halafu tunasema tunaheshimika sana kimataifa?

Hiyo nguvu ya usuluhishi unaitoa wapi wakati huu wa sera ya Diplomasia ya Uchumi ambako nguvu ya uchumi na kijeshi ndiyo inayokupa nguvu katika medani za kimataifa ikiwepo usuluhishi? Marekani wakisema Usalama wanamaanisha nguvu ya kiuchumi. Nigeria baada ya Rebasing ya uchumi wao imekua taifa lenye uchumi mkubwa Afrika na hivyo nguvu ya taifa na sauti yao itaheshimika

Kenya wanatupita katika nguvu na sauti kimataifa katika ukanda huu kwa sababu ya nguvu ya kiuchumi na sisi tunaendelea kutumia ile akiba ya Diplomasia ya siasa za Frontline aliyoacha Mwalimu Nyerere

Sasa Ripoti ya Mhe.Membe iliyoandikwa na UN Expert Group ilipingwa na Rwanda,pia Ripoti hiyo ilipingwa na Uganda maana hata Uganda walituhumiwa lakini Membe kwa upotoshaji Mkubwa hakuitaja.

Ni jambo la ajabu kuwa Top Diplomat wa Nchi anashindwa kuzingatia kuwa Tayari Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lilishaidhinisha Vikwazo kupitia Azimio namba 2136 (2014) ambalo liliungwa mkono na Rwanda kwa mtazamo wa kuwa Azimio namba 1533(2004) lilotanguliwa na Azimio 1494(2003) linaheshimiwa

Azimio namba 2136 liliweka Vikwazo kwa M-23(Bila kuitaja Rwanda katika Adhabu hiyo) na pia Congo -DRC waliadhibiwa kwa kuifadhili UFDLR ambayo pia ilitajwa na UN report aliyoitumia Membe

FDLR wana extrime Ideology iliyohusika na Mauaji ya Kimbari ya Rwanda na ilithibitishwa na UN Security Council.

Haya Membe hakuyajadili wakati Bunge lilihitaji mjadala ili nchi yetu iangalie namna ya kuwasaidia majirani zetu,pia tudumishe amani,mahusiano ya kidiplomasia hasa ya kiuchumi na pia kulinda mtazamo mpana wa umajumui wa Afrika

Membe alichagua Kufanya siasa kiduchu(Petty Politics) kumshambulia Wenje binafsi(Personal Attack) kinyume na weledi wa Diplomasia na pia kutoa matamshi yatakayochochea mgogoro zaidi baina ya Tanzania na Rwanda kwa kuituhumu Rwanda kuifadhili M-23 huku akijua kwa sasa kulingana na azimio 2136 Nchi wanachama wa ICGLR(Nchi za Ukanda Maziwa Makuu) zina jukumu la jumla na binafsi katika kusaidia kutekeleza maazimio hayo ikiwa ni pamoja na kushirikiana na UN Expert Group iliyopewa Mandate ya kurefusha Sanction Regime hadi February 1,2015 ili kuleta amani ya Kudumu

Waziri wa Mambo ya Nje kupotosha mjadala na kutuhumu kuwa Msemaji wa Kambi ya Upinzani anatumiwa na Mataifa ya Nje (Pengine Rwanda) ni udhaifu mkubwa katika kukwepa hoja .Kama kuhoji kuhusu tuhuma za Rais Kukutana na Kiongozi wa Waasi(Tena Sio Upinzani) basi inamfanya Wenje kuwa Mamluki anayelipwa na Rwanda kuisemea ndani ya bunge ,Je ni wapi Duniani tuliwahi kuona Rais Wa Nchi kulisemea na kulionea huruma kundi la Waasi? Membe hakupima Kauli zake

Ni mwaka jana tu Membe alitoa matamshi tata kuhusu kutengwa kwetu kwenye Jumuiya ya Afrika Mashariki na kudai "tunasubiri Talaka".Tuliipinga kauli hii na kwa bahati nzuri Rais Kikwete aliliona hilo na akatoa hotuba nzito Bungeni kuwa hatuendi Popote.

Mimi ni mzalendo ninayelipenda Taifa langu na nitalipigania popote duniani.Sipendi Blind Patriotism.

Kagame ana matatizo yake ndani ya Rwanda lakini hatuwezi kuruhusu kauli aliyoitoa JK kuwa Rwanda Iongee na Waasi(Kauli ambayo niliiunga mkono na niliendelea kuiunga mkono hadi azimio 2136 lilipopita ingawa yeye JK hatekelezi hayo) itumike kuhatarisha mahusiano yetu na watu wa Rwanda au Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa kauli za Mawaziri ambazo wanazitoa bila kipimo

Pia suala la Majeshi yetu kule Congo DRC lipo na ni sehemu ya Tanzania katika kutimiza majukumu yake ya kimataifa(International Obligation) kupitia Azimio no.2098 la kuunda MONUSCO.

Hata hivyo halizuii mijadala bungeni maana hata Obama aliposema "Dumb War" ilikua ni matokeo ya mjadala ndani ya Congress kule US kuhusu Rais Bush kulidanganya Taifa kuwa Iraq ina silaha za Kemikali kumbe ni Uongo.Marekani ilipata hasara.

Ni lazima kuwe na mjadala bungeni kwa kukosoana na kurekebishana ili tuunde mwafaka wa kisera kama nchi tusonge mbele.Waziri alikosa weledi juu ya matumizi ya Code Words and Politeness

Unachagua kujadili millitary adventure huko DRC halafu unashindwa kutoa majibu ya kushindwa kwa Serikali kutuma Millitary Plane kufanya Evacuation hata ya Raia wetu kule Sudan Kusini wakati wa Vita? Kwanza nampongeza Membe kwa kukubaliana na ile Hoja yangu ya jana kuwa Tanzania imezubaa na wizara haina takwimu ya idadi ya Raia wa Tanzania nje hivyo hata mikakati ya kunufaika na Diaspora ni lazima tutatue changamoto hii kwanza

Tatu,Membe Alishangaza kwa kutetea ziara za Rais nje .Rais amefanya ziara zaidi ya 365 nje ya nchi kushinda Mwalimu Nyerere ambaye hakufikisha ziara 70 kwa kipindi chake cha miaka 24 madarakani.Rais anataka kuwa Member wa Diaspora?Maana ameshinda angani na nje ya nchi kwa sababu dhaifu kabisa kabisa.

Membe anatoa sababu dhaifu kuwa Rais anapendwa na kuheahimika,Je kati ya Rais Kikwete na Mwl.Nyerere ni nani alikua akiheshimika zaidi kimataifa?

Rais anashindwa kubaki nyumbani na kudhibiti wizi wa mali za umma kama bilioni 200 za ESCROW kwenye sakata la IPTL badala yake anaenda kuomba bilioni 40 au 100 nje ya nchi tena sehemu nyingine kama Singapore anapokelewa na mkurugenzi wa Idara kinyume na Itifaki kabisa?

You can't defend the trip maniac president in that way

Ifike Mahali sasa kwenye Katiba tudhibiti ziara hizi kama Mexico ambako Rais Vicente Fox alionja fedheha hii kwa kuzuiwa na Bunge lake la Senate mara Mbili Kusafiri ikiwepo ziara yake US na Canada.Safari za Rais ilikua ni lazima zipate approval ya Bunge. Chama cha Upinzani cha PRI kilizuia safari zisizokua na Tija.

Mexico walipata dawa ya kudhibiti Marais ambao ni wazururaji utadhani wamelelewa kwa supu za usafiri(Makanyagio) ya kuku wa kienyeji. Balozi za nje na hata wizara zinaweza kufanya baadhi ya safari na kupunguza gharama.

Hatuwezi kuegemea kwenye ziara za Rais katika Diplomasia ya Kuomba na Kushukuru badala ya kuweka Diplomasia ya Uchumi.Tunahitaji kudhibiti ziara za Rais kikatiba kabisa na safari zipate Approval ya Bunge kama Mexico. How can we justifty global trotting to seek aid and loans while we cant manage our Cash reserves?

Mkuu kwa andiko lako hili inaonesha dhahiri kuna mambo mengi sana usiyoyajua...........usiwe brainwashed na magazeti na TV!
 
Bora Wewe Leo Umefunguka Na Kukiri Kuwa Rwanda Inawaharibia Biashara Yenu Ya Magendo Mnayoifanya Kwa Kushirikiana Na Kabange au Adrien Hypolite Kanombe ( Joseph Kabila ) Kwa Msaada Wa Mjomba na Mgombea Urais Chaguo Lake Maembe Huku Mkipeleka Wanajeshi Wetu Wakateseke Kwa Maslahi Yenu na Wakirudi Mnawapa Pesa Kiduchu Zitokanazo na Kikosi Cha Kulinda Amani cha Force Intervation Brigade. Na Ndiyo Hata Mmoja Wa Makamanda Wenu Huko Congo Wanajeshi Wa Kibongo Walimchenjia na Nusura Wampige baada Ya Kumgundua Kuwa Anataka Kuwadhulumu na Kwa Aibu Tukamrudisha Bongo na Sasa Tunae Mtaani Humu. Tunajisifu Kusambaratisha M23 Lakini Tunasahau Kuwa Tumesababisha Hata Rais Wao Kabila Sasa Halali DRC na Anaamkia Dar es Salaam Na Analala Dar es Salaam. Mnaojifanya Mnajua ktk Hili Nibishieni................... Sasa Nawatoleeni Uvivu Na Siku Wakongo Wakishtuka Mtafute Majibu Ya Kuwapa ILA Ukweli Ni Kwamba Nchi Zote Zilizoko DRC Zinaiba Rasilimali za Akina Bandeko Nangai Kwa Mgongo wa Kulinda Amani. Tuacheni UNAFIKI Watanzania Na Hebu Tuweni na Jicho La Tai ktk Kuangalia Mambo AU Ndiyo Madhara Haya Ya Elimu Yetu Ya BRN?????????????????????????????
Kwa hiyo?
 
Hyo atakuwa masalia ya wale walioludishwa bahati mbaya akawa amejificha lakn tusha msoma temu hii anarudishwa yy mwenyewe na viboko juu
 
Sio mimi nitafaidika nini bali Tanzania na DRC zitakuwa salama na kuondokana na wimbi la wahuni wanachafua amani ndani na nje ya nchi zao.....! Kagame na kagenge chake cha wahuni wamefanya mauaji Rwanda wakaona hayatoshi wakahamia na Congo........! Kwa mara ya pili katika historia ya advanture zao za kivita ukanda wa maziwa makuu wamepata kipigo kikali toka JWTZ under the disguise ya FIB. Mara ya kwanza walitwangwa na Angola & Zimbabwe. Ile tutsi arrogance tumeikata kilimilimi...!

We kweli keng.e yaani vijana wetu wafe kwa ajili ya Wacongo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom