Waterloo
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 25,351
- 38,941
We kweli keng.e yaani vijana wetu wafe kwa ajili ya
Wacongo.
wewe ndo kenge ambaye hujui kwanini wapo pale na wapo kwa ajili ya nani,
mbona waliokuwa lebanon,liberia ,dafur hulalamiki au wale siyo
watanzania.? unless uniambie tanzania ijiondoe uanachama katika umoja wa
mataifa ili isishiriki operation za kulinda amani za un kitu ambacho
hakiwezekani kwa wenye akili labda kwa akili zako za kijinga. (angalizo) samahani kwa kukuita mjinga mkuu siyo tusi hilo