Kagame ndani ya Congo, sisi kiherehere cha nini?

Kagame ndani ya Congo, sisi kiherehere cha nini?

Huyu kamaliza mitihani ya brn jana, unaweza kufikiri unajibizana na mtu ni katoto!
 
Bunge letu lingekuwa makini lilipaswa kumwita jk na membe na kuwaweka kiti moto juu ya uamuzi wao wa kupeleka watoto wa masikini waitwao wanajeshi congo. Je Tanzania inapata maslahi gani ya kiuchumi ya muda mfupi au muda mrefu? Vinginevyo bunge lingepiga marufuku kupeleka jeshi letu congo! Tatizo bunge letu limekuwa mpitishaji wa kila kitu kinachopelekwa na serikali bungeni!

nyie watusi mnahaha sana toka tukate mirija yenu ya mauaji na wizi huko kongo m.a.k.a.l.i.o yenu
 
jina lako tu linafanana na kabila la kna kagame. ..tatzo umeamishia akili m.a.t.a.k.o.n...kagame mpuuz lazma tumchape ndan au nje ya tz ameua sana wahutu na wakosoaji wake akiwemo yule mkuu wa ujasus south ata mkuu wake wa majeshi aliyemkmbia baada ya kuona kagame anamlazmsha kuua wakongo wasio na hatia bwana nyamaswa ambaye kagame amejarbu kumuua mara kadhaa bila mafanikio adi kufkia serkali ya south afrca kumwambia kagame kuwa watamchapa akmgusa nyamaswa alieleza wazi waandshi wa habari yeye na mke wake mauaji ya kagame kwa wakongo wasio na hatia na uporaji wa madini anaofanya kongo.

nani asiyeua?,kabla ya kutoa kibanzi jichoni kwa mwenzako anza kwanza jicho lako.aliye msafi na .........
 
Mimi ni mwanachadema mtiifu ninayemfahamu kagame from a-z.
Sikuungi mmkono kwa hili mkuu maana kagame ni sumu kali ndani ya mvinyo wa sherehe ya kifalme.
Nitamchukia kagame siku zote bila kukoma,asiye mjua atamshangilia.
Media za rwanda kila siku ni kumsifia kama vile mungu mtu!
'n£no'
tukiingia vitani nitakuwa wakwanza kuchukua silaha ili kuangamiza adui la africa mashariki na kati,p.kagame.

Sasa Kuna Uhusianao Gani Wa Wewe Kuwa Mwana Chadema Mtiifu na Suala Zima La Mwanamume Paul Kagame na Rwanda Yake? Sasa Nimeamini Kwanini Mheshimiwa James Mbatia Alisema Elimu Ya Tanzania Ipo ICU. Pure Idiot.....!!!!!!!
 
Aisee, wewe utakuwa sio mtanzania.

Kwa mtz aliye mzalendo na nchi yake hawezi zungumza uliyozungumza wewe

Kwani Ni Kipi Kipimo cha Kuwa Mtanzania Halisi? Je Ni Kuwa Mzalendo na Kutetea Uzembe Wa Serikali Yako Huku Wachache Wakitajirika Na Masikini Kama Wewe Mkizidi Kuongezeka Kila Kukicha Nchini Tanzania? Nina Mashaka Na IQ Yako.
 
Kinachofanyika ni kwamba, ccm wamepoteza mwelekeo dhidi ya utawala wao dharimu kwa wananchi, wanachofanya ni kuchafua mahusiano yaliyopo baina ya nchi na nchi, ili chama kinachokuja kutawala kikute mambo yote yameharibika, siku zote ushetani hauwezi kushinda mbele ya nuru.
 
Joseph Kabila DR Congo ni business partner wa JK wanabiashara kubwa ya mafuta nchi nzima. Riz 1 ndo msimamizi. Wamempora Chacha eneo lake pale Vijibweni kwa ubabe wa kutisha ili waweke matanki yao ya mafuta. Tz hatuna hja ya kupoteza resources zetu both human and financial to pursue a very unpopular, personal and materialistically propelled. Watoto wanakalia mawe na viroba madarasani, wamama wanajiffungulia chini, vijana wamegeuka watoto wa mbwa, hospitalini hamna dawa nk.
 
Rwanda anatuharibia biashara DRC lazima tumchape tu

Bora Wewe Leo Umefunguka Na Kukiri Kuwa Rwanda Inawaharibia Biashara Yenu Ya Magendo Mnayoifanya Kwa Kushirikiana Na Kabange au Adrien Hypolite Kanombe ( Joseph Kabila ) Kwa Msaada Wa Mjomba na Mgombea Urais Chaguo Lake Maembe Huku Mkipeleka Wanajeshi Wetu Wakateseke Kwa Maslahi Yenu na Wakirudi Mnawapa Pesa Kiduchu Zitokanazo na Kikosi Cha Kulinda Amani cha Force Intervation Brigade. Na Ndiyo Hata Mmoja Wa Makamanda Wenu Huko Congo Wanajeshi Wa Kibongo Walimchenjia na Nusura Wampige baada Ya Kumgundua Kuwa Anataka Kuwadhulumu na Kwa Aibu Tukamrudisha Bongo na Sasa Tunae Mtaani Humu. Tunajisifu Kusambaratisha M23 Lakini Tunasahau Kuwa Tumesababisha Hata Rais Wao Kabila Sasa Halali DRC na Anaamkia Dar es Salaam Na Analala Dar es Salaam. Mnaojifanya Mnajua ktk Hili Nibishieni................... Sasa Nawatoleeni Uvivu Na Siku Wakongo Wakishtuka Mtafute Majibu Ya Kuwapa ILA Ukweli Ni Kwamba Nchi Zote Zilizoko DRC Zinaiba Rasilimali za Akina Bandeko Nangai Kwa Mgongo wa Kulinda Amani. Tuacheni UNAFIKI Watanzania Na Hebu Tuweni na Jicho La Tai ktk Kuangalia Mambo AU Ndiyo Madhara Haya Ya Elimu Yetu Ya BRN?????????????????????????????
 
Kama Kagame alishindwa mikikimikiki ya JWTZ kule Congo ataweza hapa nyumbani?

Wa Kuvunja Matofali Ya Udongo Kwa Kichwa au Kuvunjiwa Mbao Za Kutengenezea Madawati? Mkwara Wa Miaka 50 Ya Muungano Usikupe Jeuri Huna Jeshi La Kupambana Na Kagame na Rwanda Yake na Ukianzisha Tu Vita Na Kagame Shughuli Itaanzia Hapa Hapa Tanzania Kwani Wanyarwanda Wamejazana ktk Kila Idara Yako Nyeti Unayoijua Wewe ktk Nchi Hii. Kama Kweli Tupo Vizuri Mbona Hadi Leo Hatujamkamata Yule Mwanajeshi Jasusi Wa Rwanda Aliyefanya Kazi JWTZ Kwa Takribani Miaka Saba Iliyopita na Akaondoka Laptop Computer Iliyokuwa Na Vitu na Mambo Nyeti Ya Tanzania? Sasa Kama Huyo Mtu Mmoja tu Anatutoa Jasho Kumsaka Je Hii Inaashiria Nini ktk Medani Za Intelligence Na Millitary? Mimi Nawashauri tu Hebu Mwambieni Mjomba Alianzishe Kisha Muone Mtiti Wake!!!!!!!!!!!!!!
 
watu wana ugonvi wao binafsi halafu wanatuahadaa sisi ili tuingie kwenye machafuko,alituahadaa nyerere ugonvi wake binafsi na idd amini na huku idd amin akimdai nyerere wakutane ili wapigane laivu yeye akampelekea jeshi,safari hii piganeni wenyewe labda mna maslai binafsi na huko DRC,haiwezekani wanajeshi wetu wanakufa kila siku wanaacha watoto yatima ,wajane na wategemezi wengine halafu tusijiulize tunatetea maslahi ya nani,hata raisi wa marekan aliwahi kuhojiwa na wabunge wake ni faida zipi wameipata kwa kupeleka jeshi Iraq.Ukiuliza hapa tanzania unaambiwa wanajeshi wanapata uzoefu,kama suala ni uzoefu ni bora tuombe vita ya kirafiki na marekani ili wanajeshi wetu wawe ngangali,kama suala ni uzoefu mbona wanaokwenda vitani wengi ni vijana wadogo wenye miaka chini ya 25,wakati kuna wazee mpaka wanakaribia kustaafu hawajawahi kupigana vita kwa nini wasiende wao,wanaogopa nini,ndio maana vita ya uganda wakati wanazoa wagambo kijijini kwetu babu alikataa na kuwajibu kwamba mmewahi kunipa mshahara wenu siku moja

Kagame sikia. Wewe hakuna asiyekujuwa hapa East Afrika kwa uyafanyayo. Nikuahakikishie kitu kimoja kuwa siku zako hapa duniani zinahesabika. Nobody likes you except for your uncle (Museveni) in Uganda. Hapo Rwanda wananchi wanakushangilia because wanakuogopa kwa uuwaji wako and brutality. Marais wote wa Afrika wanajuwa kuwa wewe ni muuwaji ila wanangoja tu mtu ajitokeze kukumaliza, better believe it, akija kutokea mtu kukumaliza nobody will come to your aide. You are living a sad life.
 
Nawashangaa mainterahamwe kushangilia Tanzania kupeleka kikosi kule Congo kupambana na M23 kikundi ambacho kinasemekana kinafadhiliwa na Kagame ili kupora mali za wakongo
Hivi kama Kagame ameamua kutumia fursa kupora mali kwa ajili ya wanyarwanda sisi inatuuma nini? au ndo wivu wa maendeleo, hizo mali za Congo zinatusaidia nini mpaka tuzipiganie, Tumesaidia sana ukombozi kusini mwa jangwa la Sahara tena kwa kumwaga damu lakini hamna chochote tunachothaminiwa na mataifa hayo leo hii vijana wetu wanamwaga damu kwa ajili ya wacongo ili mali zao zisichukuliwe na mjanja Kagame ambae anazitumia kujenga nchi yake ifike sehemu tuache kiherehere.

mkuu sio sisi na un ndio walituomba kutokana na maombi ya kabila kuomba msaada wa kijeshi na tanzania ni member wa un gharama zote ni a un
kuna south africa pia wapo pale ukienda sudan kuna vikosi zaidi ya vya nchi tatu kama ug ,kenya tz na nk
usikurupuke mkuu
sisi kinachotuuma ni migogoro hiyo na madhara yake kama wimbi la wakimbizi
 
Nawashangaa mainterahamwe kushangilia Tanzania kupeleka kikosi kule Congo kupambana na M23 kikundi ambacho kinasemekana kinafadhiliwa na Kagame ili kupora mali za wakongo
Hivi kama Kagame ameamua kutumia fursa kupora mali kwa ajili ya wanyarwanda sisi inatuuma nini? au ndo wivu wa maendeleo, hizo mali za Congo zinatusaidia nini mpaka tuzipiganie, Tumesaidia sana ukombozi kusini mwa jangwa la Sahara tena kwa kumwaga damu lakini hamna chochote tunachothaminiwa na mataifa hayo leo hii vijana wetu wanamwaga damu kwa ajili ya wacongo ili mali zao zisichukuliwe na mjanja Kagame ambae anazitumia kujenga nchi yake ifike sehemu tuache kiherehere.

Itakuwa Kikwete ana maslahi binafsi na hii operation ya kongo, kama kweli anasaidia kuwepo na aman katika nchi za Africa basi apeleke jeshi SOMALIA aone mziki wake.
 
Mod, mada za kipuuzi kama hii muwe mnazifuta. Tukiendelea kujadili utumbo huu tunaharibu heshima ya jukwaa hili zuri.

Mkuu Usisahau Kuwa Nyie Wana Habari Ndiyo Mmechangia Sana Kuharibu Huu Uhusiano wa Dar na Kigali Kwa Interests Zenu Na Haswa Kwa Kutumika Pia Hivyo Nadhani Kama Ni Heshima Ya Hizi Platforms Zilitakiwa Zianzie ktk Magazeti Yenu Hivyo Siungi Mkono Post Yako Japo Nakuheshimu Na Nakukubali Sana. Nadhani Ungeanza Na Jambo Leo Na Mtanzania Kwani Sijui Wana Nini Na Kagame na Nchi Yake Ya Rwanda Na Labda Kwakuwa Wewe Ni Mdau Labda Ungetuambia Je Wanatumia Theory Gani Ya Journalism ktk Aina Yao Hiyo Ya Uandishi Wa Habari Otherwise Kila Kukicha Ndiyo Wanazidi tu Kudharaulika Mbele Ya Intellectuals.
 
Nawashangaa mainterahamwe kushangilia Tanzania kupeleka kikosi kule Congo kupambana na M23 kikundi ambacho kinasemekana kinafadhiliwa na Kagame ili kupora mali za wakongo
Hivi kama Kagame ameamua kutumia fursa kupora mali kwa ajili ya wanyarwanda sisi inatuuma nini? au ndo wivu wa maendeleo, hizo mali za Congo zinatusaidia nini mpaka tuzipiganie, Tumesaidia sana ukombozi kusini mwa jangwa la Sahara tena kwa kumwaga damu lakini hamna chochote tunachothaminiwa na mataifa hayo leo hii vijana wetu wanamwaga damu kwa ajili ya wacongo ili mali zao zisichukuliwe na mjanja Kagame ambae anazitumia kujenga nchi yake ifike sehemu tuache kiherehere.
Ukweli hiki ni kiherehere. Tanzania inakwenda DRC kutetea na kulinda raslimali za Congo? Kweli? au nayo inapora?
 
Joseph Kabila DR Congo ni business partner wa JK wanabiashara kubwa ya mafuta nchi nzima. Riz 1 ndo msimamizi. Wamempora Chacha eneo lake pale Vijibweni kwa ubabe wa kutisha ili waweke matanki yao ya mafuta. Tz hatuna hja ya kupoteza resources zetu both human and financial to pursue a very unpopular, personal and materialistically propelled. Watoto wanakalia mawe na viroba madarasani, wamama wanajiffungulia chini, vijana wamegeuka watoto wa mbwa, hospitalini hamna dawa nk.

Mkuu Sina Mashaka Na IQ Yako Na Nahisi Unaweza Nawe Ukawa Ni Myahudi Mwafrika Mwenzangu. Ulichokiandika Nakubaliana Nacho Kwa Asilimia Zote Mia Moja Na Huo Ndiyo Ukweli Mtupu. Hujapepesa Wala Kutikisa Masikio. Nimefurahi Sana Na Nimekukubali, Heko.........................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom