Kagame ndani ya Congo, sisi kiherehere cha nini?

Boko halal

Senior Member
May 14, 2014
167
119
Nawashangaa mainterahamwe kushangilia Tanzania kupeleka kikosi kule Congo kupambana na M23 kikundi ambacho kinasemekana kinafadhiliwa na Kagame ili kupora mali za wakongo.

Hivi kama Kagame ameamua kutumia fursa kupora mali kwa ajili ya wanyarwanda sisi inatuuma nini? au ndo wivu wa maendeleo, hizo mali za Congo zinatusaidia nini mpaka tuzipiganie, Tumesaidia sana ukombozi kusini mwa jangwa la Sahara tena kwa kumwaga damu lakini hamna chochote tunachothaminiwa na mataifa hayo leo hii vijana wetu wanamwaga damu kwa ajili ya wacongo ili mali zao zisichukuliwe na mjanja Kagame ambae anazitumia kujenga nchi yake ifike sehemu tuache kiherehere.
 
Mimi ni mwanachadema mtiifu ninayemfahamu kagame from a-z.
Sikuungi mmkono kwa hili mkuu maana kagame ni sumu kali ndani ya mvinyo wa sherehe ya kifalme.
Nitamchukia kagame siku zote bila kukoma,asiye mjua atamshangilia.
Media za rwanda kila siku ni kumsifia kama vile mungu mtu!
'n£no'
tukiingia vitani nitakuwa wakwanza kuchukua silaha ili kuangamiza adui la africa mashariki na kati,p.kagame.
 
watu wana ugonvi wao binafsi halafu wanatuahadaa sisi ili tuingie kwenye machafuko,alituahadaa nyerere ugonvi wake binafsi na idd amini na huku idd amin akimdai nyerere wakutane ili wapigane laivu yeye akampelekea jeshi,safari hii piganeni wenyewe labda mna maslai binafsi na huko DRC,haiwezekani wanajeshi wetu wanakufa kila siku wanaacha watoto yatima ,wajane na wategemezi wengine halafu tusijiulize tunatetea maslahi ya nani,hata raisi wa marekan aliwahi kuhojiwa na wabunge wake ni faida zipi wameipata kwa kupeleka jeshi Iraq.Ukiuliza hapa tanzania unaambiwa wanajeshi wanapata uzoefu,kama suala ni uzoefu ni bora tuombe vita ya kirafiki na marekani ili wanajeshi wetu wawe ngangali,kama suala ni uzoefu mbona wanaokwenda vitani wengi ni vijana wadogo wenye miaka chini ya 25,wakati kuna wazee mpaka wanakaribia kustaafu hawajawahi kupigana vita kwa nini wasiende wao,wanaogopa nini,ndio maana vita ya uganda wakati wanazoa wagambo kijijini kwetu babu alikataa na kuwajibu kwamba mmewahi kunipa mshahara wenu siku moja
 
Mkuu,
Vp Kagame akijitolea kuja kutuondolea ma CCM a.k.a Ma Intarahamwe.
Mimu ntampa Gwala aisee...hata wangekuwa Boko haram,Alshabab Alqaeda etc etc
 
"Ugonvi" binafsi upi? Na unaposema Iddi Amin alikuwa na "ugonvi" binafsi na Nyerere, hilo eneo la Kagera alilovamia Iddi Amin lilikuwa ni mali binafsi ya Nyerere?
 
Kama Kagame alishindwa mikikimikiki ya JWTZ kule Congo ataweza hapa nyumbani?
 
Kule Kongo ni vita ya maslahi binafsi, hakuna maslahi ya nchi. Joseph Kabila na prince wetu wanajitajirisha na mali za Kongo. Kabila na Kagame wote wanyarwanda na wamewekana wenyewe sisi kwa vile tunaongozwa na vilaza tumeingia kichwa kichwa.

Utasemaje unaenda kuwekeza Kongo wakati kujenga barabara hadi Kigoma imekuwa shida
 
"Ugonvi" binafsi upi? Na unaposema Iddi Amin alikuwa na "ugonvi" binafsi na Nyerere, hilo eneo la Kagera alilovamia Iddi Amin lilikuwa ni mali binafsi ya Nyerere?

unajua maneno ya ugomvi yalikoanzia ,hadi kufikia hatua ya kujibishana mipasho .hata rais wa syria mwanzoni alikuwa anajipiga mwenyewe anasingizia wapinzani wanampiga.
 
Huyu nae akili zake km za komba,.TZ tuna interest kubwa kuliko Rwanda lazima ujue hiln...US anapopeleka majesh yake ni interest tu...km Kagame angekua anaiba tu isingekua shida tatizo ni kuua wana conco,ubakaji, displacement nk...na hiyo isingeishia apo ata kwetu ingeingia kwan wanyarwanda wengi walikua wanaishi kinyume na sheria na ndo waliokua wakifanya unyama uko kagera..kagame kwenda DRC nadhan ameenda kuomba msamaha kwan Gen L NKUnDA yule kiongoz wa waasi mbona yupo kwao Rwanda anakula bata so huwez kujua ata ilo...
 
Nawashangaa mainterahamwe kushangilia Tanzania kupeleka kikosi kule Congo kupambana na M23 kikundi ambacho kinasemekana kinafadhiliwa na Kagame ili kupora mali za wakongo
Hivi kama Kagame ameamua kutumia fursa kupora mali kwa ajili ya wanyarwanda sisi inatuuma nini? au ndo wivu wa maendeleo, hizo mali za Congo zinatusaidia nini mpaka tuzipiganie, Tumesaidia sana ukombozi kusini mwa jangwa la Sahara tena kwa kumwaga damu lakini hamna chochote tunachothaminiwa na mataifa hayo leo hii vijana wetu wanamwaga damu kwa ajili ya wacongo ili mali zao zisichukuliwe na mjanja Kagame ambae anazitumia kujenga nchi yake ifike sehemu tuache kiherehere.

We kenge kweli....huko ulipo Kigali tumbo joto....! Tunaelewa kuwa Kagame na kagenge chake cha wahuni wote sasa matumbo joto..........! Najua unaelewa nani sasa amekuwa gumzo miongoni mwa jamii inayoonewa Rwanda.........wananchi hao wanafurahia kichinichini kipigo mlichopata Congo, na wanaomba sababu itokee.......ili JWTZ waje wamtoe Kenge hapo Kigali...!
 
Aisee, wewe utakuwa sio mtanzania.

Kwa mtz aliye mzalendo na nchi yake hawezi zungumza uliyozungumza wewe
na kwa taarifa yako mtanzania mzalendo hawezi kushabikia kuingiza majeshi yetu vitani bila sababu ya msingi kamwe! Kupeleka jeshi congo kutakuwa na maana tu kama nchi yetu itafaidika kiuchumi iwe kwa kuibia congo kama inavyosadikika kuwa rwanda inafanya au vinginevyo! Nje ya hapo kina membe wapeleke ndugu zao au watoto wao kule congo ili wakajue ugumu wa vita!
 
Sina hakika kama wewe ni mzima kichwani, ungekuwa una uwezo japo kidogo wa kujua barabara inavukwaje, ningekuelezea maana ya uhusiano wa kimataifa.
..wewe ndo unapotosha kabisa! Uhusiano wa kimataifa ni kwa kupeleka jeshi tu nje ya nchi? Acheni kutumia propaganda katika ulinzi na usalama wa taifa letu!
 
Mimi ni mwanachadema mtiifu ninayemfahamu kagame from a-z.
Sikuungi mmkono kwa hili mkuu maana kagame ni sumu kali ndani ya mvinyo wa sherehe ya kifalme.
Nitamchukia kagame siku zote bila kukoma,asiye mjua atamshangilia.
Media za rwanda kila siku ni kumsifia kama vile mungu mtu!
'n£no'
tukiingia vitani nitakuwa wakwanza kuchukua silaha ili kuangamiza adui la africa mashariki na kati,p.kagame.
kumchukia kagame wewe binafsi sio mbaya! Lakini chuki ya watu wachache dhidi ya mtu/nchi isipelekee kuliingiza taifa letu katika uadui na nchi jirani. Mbona uganda jirani zetu pia wanatuhumiwa kusaidia waasi huko congo? Pia je unafikiri raia wa rwanda wote wanampenda rais wetu jk?
 
watu wana ugonvi wao binafsi halafu wanatuahadaa sisi ili tuingie kwenye machafuko,alituahadaa nyerere ugonvi wake binafsi na idd amini na huku idd amin akimdai nyerere wakutane ili wapigane laivu yeye akampelekea jeshi,safari hii piganeni wenyewe labda mna maslai binafsi na huko DRC,haiwezekani wanajeshi wetu wanakufa kila siku wanaacha watoto yatima ,wajane na wategemezi wengine halafu tusijiulize tunatetea maslahi ya nani,hata raisi wa marekan aliwahi kuhojiwa na wabunge wake ni faida zipi wameipata kwa kupeleka jeshi Iraq.Ukiuliza hapa tanzania unaambiwa wanajeshi wanapata uzoefu,kama suala ni uzoefu ni bora tuombe vita ya kirafiki na marekani ili wanajeshi wetu wawe ngangali,kama suala ni uzoefu mbona wanaokwenda vitani wengi ni vijana wadogo wenye miaka chini ya 25,wakati kuna wazee mpaka wanakaribia kustaafu hawajawahi kupigana vita kwa nini wasiende wao,wanaogopa nini,ndio maana vita ya uganda wakati wanazoa wagambo kijijini kwetu babu alikataa na kuwajibu kwamba mmewahi kunipa mshahara wenu siku moja
haa haa mkuu huo ndo ukweli! Chuki binafsi za mtu mmoja zinaliingiza taifa vitani!
 
Bunge letu lingekuwa makini lilipaswa kumwita jk na membe na kuwaweka kiti moto juu ya uamuzi wao wa kupeleka watoto wa masikini waitwao wanajeshi congo. Je Tanzania inapata maslahi gani ya kiuchumi ya muda mfupi au muda mrefu? Vinginevyo bunge lingepiga marufuku kupeleka jeshi letu congo! Tatizo bunge letu limekuwa mpitishaji wa kila kitu kinachopelekwa na serikali bungeni!
 
Back
Top Bottom