GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,021
- 126,444
Kwa hiyo?
Idiot.........................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kwa hiyo?
jinga sana wewe unadhani nani katutuma mimi ni Mtanganyika halisi wala sina unasaba na Rwanda.
Una kitambulisho cha Tanganyika?Tanganyika upo wapi?kajipange kwanza sihitaji maneno ya mitaani.
Tanganyika ndo nchi yangu hiyo nyingine anaijua Nyerere na Karume.
Umewahi ona wafanyabiashara wetu wanafanya biashara na Somalia? Au kuna mizigo ya Somalia inapitia Dar?Congo kuna masilahi gani? Mbona majeshi yetu hamuyapeleki Somalia?
Umewahi ona wafanyabiashara wetu wanafanya biashara na Somalia? Au kuna mizigo ya Somalia inapitia Dar?
kweli tz tuna matahira yaan unshindwa kufikiri japo kidogo kuwa congo mizigo yao yote inapita kwetu na lazima tupiganie congo yenye amani ili magari na mizigo yetu iweze kupita kwa amani