Kagame ndani ya Congo, sisi kiherehere cha nini?

Kagame ndani ya Congo, sisi kiherehere cha nini?

Nawashangaa mainterahamwe kushangilia Tanzania kupeleka kikosi kule Congo kupambana na M23 kikundi ambacho kinasemekana kinafadhiliwa na Kagame ili kupora mali za wakongo
Hivi kama Kagame ameamua kutumia fursa kupora mali kwa ajili ya wanyarwanda sisi inatuuma nini? au ndo wivu wa maendeleo, hizo mali za Congo zinatusaidia nini mpaka tuzipiganie, Tumesaidia sana ukombozi kusini mwa jangwa la Sahara tena kwa kumwaga damu lakini hamna chochote tunachothaminiwa na mataifa hayo leo hii vijana wetu wanamwaga damu kwa ajili ya wacongo ili mali zao zisichukuliwe na mjanja Kagame ambae anazitumia kujenga nchi yake ifike sehemu tuache kiherehere.
Join Date : 14th May 2014
Posts : 40
Rep Power : 311
Likes Received19
Likes Given0

Karibu janvini kijakazi wa Kagame naona una speed.
 
Bora Wewe Leo Umefunguka Na Kukiri Kuwa Rwanda Inawaharibia Biashara Yenu Ya Magendo Mnayoifanya Kwa Kushirikiana Na Kabange au Adrien Hypolite Kanombe ( Joseph Kabila ) Kwa Msaada Wa Mjomba na Mgombea Urais Chaguo Lake Maembe Huku Mkipeleka Wanajeshi Wetu Wakateseke Kwa Maslahi Yenu na Wakirudi Mnawapa Pesa Kiduchu Zitokanazo na Kikosi Cha Kulinda Amani cha Force Intervation Brigade. Na Ndiyo Hata Mmoja Wa Makamanda Wenu Huko Congo Wanajeshi Wa Kibongo Walimchenjia na Nusura Wampige baada Ya Kumgundua Kuwa Anataka Kuwadhulumu na Kwa Aibu Tukamrudisha Bongo na Sasa Tunae Mtaani Humu. Tunajisifu Kusambaratisha M23 Lakini Tunasahau Kuwa Tumesababisha Hata Rais Wao Kabila Sasa Halali DRC na Anaamkia Dar es Salaam Na Analala Dar es Salaam. Mnaojifanya Mnajua ktk Hili Nibishieni................... Sasa Nawatoleeni Uvivu Na Siku Wakongo Wakishtuka Mtafute Majibu Ya Kuwapa ILA Ukweli Ni Kwamba Nchi Zote Zilizoko DRC Zinaiba Rasilimali za Akina Bandeko Nangai Kwa Mgongo wa Kulinda Amani. Tuacheni UNAFIKI Watanzania Na Hebu Tuweni na Jicho La Tai ktk Kuangalia Mambo AU Ndiyo Madhara Haya Ya Elimu Yetu Ya BRN?????????????????????????????

Mbona usemi tulivyomkata yule handler wa huyo "jasusi" wa rwanda jwtz na tukamfanya "aimbe" siri zote?

Au mlidhani kuweka mdada mrembo kampala university hatutojua?

You tutsis are pathetic
 
Kwani Ni Kipi Kipimo cha Kuwa Mtanzania Halisi?

Mojawapo ya Kipimo cha mtanzania halisi ni kuitetea na kuipigania nchi yako. Kagame alimtukana rais , kitu ambacho ni sawa na kututukana watanzania wote, sasa kitendo cha nyinyi kumtetea eti kisa tz kuna mafisadi n.k huo si utanzania.

Nimemwambia mwenzako hapo juu kwamba mtu akikutukana ukamchekea siku nyingine atakushika m@tak0

Je Ni Kuwa Mzalendo na Kutetea Uzembe Wa Serikali Yako Huku Wachache Wakitajirika Na Masikini Kama Wewe Mkizidi Kuongezeka Kila Kukicha Nchini Tanzania?

Tafadhali mkuu hunijui sikujui, naomba usiniite masikini,

Turudi kwenye mada, nakubali tanzania tuna mapungufu meengi sana kiuchumi, kielimu n.k. pamoja na yote hayo bado sisi ni watanzania lazima tujivunie utanzania, huwezi kubali kutukanwa eti kisa una mapungufu fulani fulani ambayo yapo tuu na yataendelea kuwepo,

Ndo maana nakwambia wewe huna uzalendo na nchi yako, linapokuja suala la utaifa lazima tuweke tofauti zetu mbali na tuwe wamoja.

Nina Mashaka Na IQ Yako.

Narudia tena, hunijui sikujui, huwezi kuwa na mashaka na kitu ambacho hukujui.

Halafu wewe unayejiona mwenye IQ isiyo na shaka unakubali kutukanwa na kudharauliwa nchi yako, hapo sidhan kama IQ yako iko sawa.
 
Bora Wewe Leo Umefunguka Na Kukiri Kuwa Rwanda Inawaharibia Biashara Yenu Ya Magendo Mnayoifanya Kwa Kushirikiana Na Kabange au Adrien Hypolite Kanombe ( Joseph Kabila ) Kwa Msaada Wa Mjomba na Mgombea Urais Chaguo Lake Maembe Huku Mkipeleka Wanajeshi Wetu Wakateseke Kwa Maslahi Yenu na Wakirudi Mnawapa Pesa Kiduchu Zitokanazo na Kikosi Cha Kulinda Amani cha Force Intervation Brigade. Na Ndiyo Hata Mmoja Wa Makamanda Wenu Huko Congo Wanajeshi Wa Kibongo Walimchenjia na Nusura Wampige baada Ya Kumgundua Kuwa Anataka Kuwadhulumu na Kwa Aibu Tukamrudisha Bongo na Sasa Tunae Mtaani Humu. Tunajisifu Kusambaratisha M23 Lakini Tunasahau Kuwa Tumesababisha Hata Rais Wao Kabila Sasa Halali DRC na Anaamkia Dar es Salaam Na Analala Dar es Salaam. Mnaojifanya Mnajua ktk Hili Nibishieni................... Sasa Nawatoleeni Uvivu Na Siku Wakongo Wakishtuka Mtafute Majibu Ya Kuwapa ILA Ukweli Ni Kwamba Nchi Zote Zilizoko DRC Zinaiba Rasilimali za Akina Bandeko Nangai Kwa Mgongo wa Kulinda Amani. Tuacheni UNAFIKI Watanzania Na Hebu Tuweni na Jicho La Tai ktk Kuangalia Mambo AU Ndiyo Madhara Haya Ya Elimu Yetu Ya BRN?????????????????????????????

Wewe si mtanzania, kubali tu yaishe
 
nyie watusi mnahaha sana toka tukate mirija yenu ya mauaji na wizi huko kongo m.a.k.a.l.i.o yenu
inaonekana wewe ni sehemu ya walewale interahamwe, umejaa ubaguzi na chuki sana za kikabila! Kama umeanza kuwabagua watanzania wenzako kisa wanatofautiana nawe kimawazo!
 
Nawashangaa mainterahamwe kushangilia Tanzania kupeleka kikosi kule Congo kupambana na M23 kikundi ambacho kinasemekana kinafadhiliwa na Kagame ili kupora mali za wakongo
Hivi kama Kagame ameamua kutumia fursa kupora mali kwa ajili ya wanyarwanda sisi inatuuma nini? au ndo wivu wa maendeleo, hizo mali za Congo zinatusaidia nini mpaka tuzipiganie, Tumesaidia sana ukombozi kusini mwa jangwa la Sahara tena kwa kumwaga damu lakini hamna chochote tunachothaminiwa na mataifa hayo leo hii vijana wetu wanamwaga damu kwa ajili ya wacongo ili mali zao zisichukuliwe na mjanja Kagame ambae anazitumia kujenga nchi yake ifike sehemu tuache kiherehere.
Muone kigwangala anadawa za akili akusaidiee upone kwanza.
 
Kama Kagame alishindwa mikikimikiki ya JWTZ kule Congo ataweza hapa nyumbani?

Mkuu Buchanan,

Ni lini Job Descriptions za JWTZ zimegeuka na kuwa ni kwa ajili ya kuilinda CCM badala ya wa Tanzania.?
 
Last edited by a moderator:
inaonekana wewe ni sehemu ya walewale interahamwe, umejaa ubaguzi na chuki sana za kikabila! Kama umeanza kuwabagua watanzania wenzako kisa wanatofautiana nawe kimawazo!

hakuna mtanzania anayemuunga mkono kagame nyie ni mamluki wa kagame wote mnafanya ujasusi wa kizamani...mtanzania anayemuunga mkono kagame ni mtanzania jina si halisi na wengi ni wale mamluki wa kagame waliojpenyeza Tanzania kwa paspot za Uganda ambao ata vyuon wameshashtukiwa
 
Mkuu inabidi ikumbuke hatukuenda sisi kwa matakwa yetu, tumeenda kupitia UN, kupitia UN lleo congo kuna majeshi zaidi ya nchi kumi. Tulienda pamoja na Malawi na South afrika lakini sijawahi kusikia hawa jamaa wengine wakigombana mabungeni mwao. Hii ni kawaida somalia wapo burundi na uganda, CAR ufaransa, rwanda na majeshi ya nchi kibao. Sielewi kwa nini sisi tunaongea saana kuhusu congo. Leo wakitokea M20 tanzania itabidi kama sisi un itume majeshi nchini kufanya kile tuachokifanya congo,
Hoja yangu sisi tusiwachanganye wanajeshi wetu na siasa. Mambo ya UN tuwaachie UN, sisi tukomae kuimarisha uchumi kupitia majirani. Pamoja na kushutumiwa kuiba mali ya congo, rwanda bado ni nchi inayoongoza kwa kupokea misaada africa. Ushauri wangu Nchi iachane na siasa za chuki na majirani, tuangalie jinsi tunavyowez kuwatumia kukua kiuchumi. Tuna safari ndefu jamani.

Angalau mkuu umeandika vya maana
 
hoja yako haina mashiko.ukumbuke kwamba leo ni congo kesho itakula kwetu.ni muhimu kwa jeshi letu kwenda kuwasaidia ndugu zetu wakongo kwani kinyume na hapo kesho hawa wanyarwanda watatugeukia sisi.nashangazwa sana na kauli hii potofu kwa huyu jamaa yetu.ujue vision ya mwalimu nyerere ni kuona afrika nzima kuwa huru.wakongo wakiwa na amani hata sisi tutakuwa na amani lakini kongo isipokuwa na amani hata sisi watanzania amani yetu itakuwa mashakani.kagame akileta ujeuri ni lazima apigwe.huwezi kupeleka askari wake kwenda kuiba mali za wakongo,hii haikubaliki.watanzania tuwe wazalendo.nashangaa sana vijana wa sasa hivi wa kitanzania hawana uzalendo na nchi yao.vijana wengi hawaenda jeshini hata hawajui madhara ya vita hivyo wana wanabwabwaja tu

Daah sijakuelewa kabisa mkuu
 
mwambien na mfadhili wenu kagame akrud tu tunampa kpgo....tunampongeza kabila junior kwa kukataa mikataba ya mstuni ya kuiuza congo drc waliyosaini watangulizi wake na kna kagame. ..ata baba yake alkataa hyo mikataba na kuwaambia kna kagame hiyo ilkua mikataba ya mstuni...hatuwezi kuuza kongo kwa mikataba ya mstuni
 
Tumeshampiga na kumtoa Congo, na akileta choko choko tunampiga mpaka Kigari unasemaje sasa???
Mpuuzi wanawake wanabakwa, wanaume wanauawa,watoto wadogo hawasomi wanaingizwa jeshi la waasi na ili wawe na ujasiri wanafundishwa na kufutishwa bhangi kisha wanaambiwa wawaue wazazi wao ili wasiwe nahuruma wewe unaona sawa? Idiot!
 
Yaan wewe unaweza muona jirani yako kavamiwa na uwezo wa kumsaidia unao halafu unaangalia tu.

Huo unaitwa uoga. Halafu na huyo kagame mnaemtetea ametutukana watanzania

Wewe utakuwa na matatizo mtu anakutukana wewe unamchekea, mwisho wa siku atakushika m@tak0

Halafu sisi wote ni watanzania (ila sina uhakika na wewe) pamoja na mapungufu yote tuliyonayo lakini katika suala la utaifa kama hili lazima tuwe wamoja kulinda heshima ya taifa letu

Nakukubal sana mkuu ila kwahil hapana......watanzania tuna mengi ya kufanya kwanza huku kwetu.sio kukurupikia ya wenzio tunasindwa kupambana na mafisadi tunakimbilia vita isiyotuhusu,kuna kitu hapa mkuu...think big
 
Watz wivu tu na Kagame kasemwa juzi Bungeni hana mda wa kujibu yeye Kaz Tu.

Sent from my Philips.
 
Sina hakika kama wewe ni mzima kichwani, ungekuwa una uwezo japo kidogo wa kujua barabara inavukwaje, ningekuelezea maana ya uhusiano wa kimataifa.

Unapoteza muda wako kubisha na waliolala!
 
Nawashangaa mainterahamwe kushangilia Tanzania kupeleka kikosi kule Congo kupambana na M23 kikundi ambacho kinasemekana kinafadhiliwa na Kagame ili kupora mali za wakongo
Hivi kama Kagame ameamua kutumia fursa kupora mali kwa ajili ya wanyarwanda sisi inatuuma nini? au ndo wivu wa maendeleo, hizo mali za Congo zinatusaidia nini mpaka tuzipiganie, Tumesaidia sana ukombozi kusini mwa jangwa la Sahara tena kwa kumwaga damu lakini hamna chochote tunachothaminiwa na mataifa hayo leo hii vijana wetu wanamwaga damu kwa ajili ya wacongo ili mali zao zisichukuliwe na mjanja Kagame ambae anazitumia kujenga nchi yake ifike sehemu tuache kiherehere.

Kwa hiyo wewe huna huruma na Wacongo wanaoteseka hasa kina mama na watoto?
 
Nakukubal sana mkuu ila kwahil hapana......watanzania tuna mengi ya kufanya kwanza huku kwetu.sio kukurupikia ya wenzio tunasindwa kupambana na mafisadi tunakimbilia vita isiyotuhusu,kuna kitu hapa mkuu...think big

nyie majasusi wa kagame sisi ni mafia kuwazd kwanza wote jeshi tumewafundsha na mjue hatukuwapa mbnu zote....mnataka tucheze ngoma mnayoitaka kwa kuprempty ajenda za kijnga kuptia mitandao ya kijamii taarfa zenu tunazo na mlkua mksubri bajeti ya foreign affairs mkiamni hii ajenda itakuwepo na ndio eneo la kuanzia sasa msmamo wetu ni kumchapa kagame popote atakapoleta upuuuzi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom