angejua atakua live na kafulila ansingekwenda kwenye kipindi (what does it mean?)
Muda si mrefu utasikia kwamsaada wa watu wa china kwakua wamarekani wameshachukua pazia mpaka hela za Escrow zirudi na wahusika kuchukuliwa hatua!Nimeipenda Hii kwa msaada wa watu wa marekani.....................
Nimemsikia Prof bhana, aweke ID yake wazi nianze nae sasa
Hapo yani kama anasema kabisa, katoto nuksi haka!!Anajambajamba tu.
Ha ha ha,huyo mama inaonekana ana hasira hasira huyoNaangalia hapa, Tibaijuka anatoka povu, na jinsi walivyokaa karibu, Kafulila analowa mvua ya mate, vilevile anaweza kunaswa kibao.
Mtangazaji amefanya wrong choices kumleta Kafulila na Tibaijuka. Tibaijuka ni waziri wa Ardhi, hawezi kujibu kikamilifu habari za ESCROW Account. Ilibidi aje Waziri wa Nishati au Mwanasheria Mkuu. Kwa masuala ya Escrow, Tibaijuka ni kama mbunge mwingine tu, zaidi ya hapo ni mmoja wa waliopewa fedha. Ni kama vile kumleta Kilaini na Kafulila, halafu Kafulila aanze kuzungumzia mambo ya Gavana wa BoT, unadhani Kilaini atakuwa na nafasi nzuri ya kujibu mambo ya barua za Gavana? Choice haikuwa fair, na hapo lazima Tibaijuka ababaike kwani analazimishwa kujibu mambo asiyoyajua
Hahaha Amavubi, like zikowapi leo!? Naona mods wa JF wamebania kwangu!
kama shule ndiyo hiyo basi sawa
Kweli huyu mama ni Professor anasema eti David Kafulila ndio aliyetufikisha hapa na ndio maana wahisani wamesitisha misaada! More updates coming!
watajibu nini hawa wezi?Hamna cha prof. wala nani wote wamekuwa tumbili.teh teh teh!mbona majibu hayaendani na alichoulizwa?eti prof?my foot!