Kafulila,Tibaijuka live Star TV

Kafulila,Tibaijuka live Star TV

1TIBAP2080251.JPG
 
angejua atakua live na kafulila ansingekwenda kwenye kipindi (what does it mean?)

Nami nimemshangaaa huyu mama...ni kwamba alikuwa hajajiandaaa.Kakutana aKafulila jasho linamtoka
 
Nimeipenda Hii kwa msaada wa watu wa marekani.....................
Muda si mrefu utasikia kwamsaada wa watu wa china kwakua wamarekani wameshachukua pazia mpaka hela za Escrow zirudi na wahusika kuchukuliwa hatua!
 
Naangalia hapa, Tibaijuka anatoka povu, na jinsi walivyokaa karibu, Kafulila analowa mvua ya mate, vilevile anaweza kunaswa kibao.
Ha ha ha,huyo mama inaonekana ana hasira hasira huyo
 
Mtangazaji amefanya wrong choices kumleta Kafulila na Tibaijuka. Tibaijuka ni waziri wa Ardhi, hawezi kujibu kikamilifu habari za ESCROW Account. Ilibidi aje Waziri wa Nishati au Mwanasheria Mkuu. Kwa masuala ya Escrow, Tibaijuka ni kama mbunge mwingine tu, zaidi ya hapo ni mmoja wa waliopewa fedha. Ni kama vile kumleta Kilaini na Kafulila, halafu Kafulila aanze kuzungumzia mambo ya Gavana wa BoT, unadhani Kilaini atakuwa na nafasi nzuri ya kujibu mambo ya barua za Gavana? Choice haikuwa fair, na hapo lazima Tibaijuka ababaike kwani analazimishwa kujibu mambo asiyoyajua
 
Huyu mama chibonge ila anashusha point kwa uelewa sana. Sema inakatakata!
Nani huyu mama sofia?
 
Mtangazaji amefanya wrong choices kumleta Kafulila na Tibaijuka. Tibaijuka ni waziri wa Ardhi, hawezi kujibu kikamilifu habari za ESCROW Account. Ilibidi aje Waziri wa Nishati au Mwanasheria Mkuu. Kwa masuala ya Escrow, Tibaijuka ni kama mbunge mwingine tu, zaidi ya hapo ni mmoja wa waliopewa fedha. Ni kama vile kumleta Kilaini na Kafulila, halafu Kafulila aanze kuzungumzia mambo ya Gavana wa BoT, unadhani Kilaini atakuwa na nafasi nzuri ya kujibu mambo ya barua za Gavana? Choice haikuwa fair, na hapo lazima Tibaijuka ababaike kwani analazimishwa kujibu mambo asiyoyajua

naomba kukuuliza,kwani kafulila yeye ni waziri wa nishati au waziri kivuli wa nishati
 
Hahaha Amavubi, like zikowapi leo!? Naona mods wa JF wamebania kwangu!

Picha kama hizo hutumiwa na wapiga dili wote ili kuvutia misaada ya watu. Ile ni biashara. Nenda leo peleka mtoto pale mwambie nina 2m only, kwakuwa kapewa hela akusaidie mtoto asome usikie utakachoambiwa.
 
Last edited by a moderator:
Kweli huyu mama ni Professor anasema eti David Kafulila ndio aliyetufikisha hapa na ndio maana wahisani wamesitisha misaada! More updates coming!

Ha ha ha uwiiii haya majitu ya ccm yakoje.natamani ningemuona. Vipi hali ya professor hapo studio kwa sasa.tupeni taarifa
 
Habari zenu, mjadala unaendelea mama Anna, anajitahidi kupangua hoja na anababaika sana sijui kwa nini...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom