Kafulila: Kwa miaka mitatu Rais Samia amekopa nje TZS 12.5T sawa US$ 5BL lakini amelizalishia Taifa TZS 47.5T sawa na US$19BL

Pigeni kazi ili muongeze pato la taifa
Kama 30% ya watz ni masikini wa hali ya chini sana, ni lazima mjiongeze
 
sasa badala useme huo ambao ni ukweli, unajitambulisha kwa tone na style ya article kwamba wew ni block gani 🐒
Hoja hujibiwa kwa hoja.
Amekuja na maneno maneno bila details na sources. Na mimi nimemjibu namna ile ile ya maneno maneno.

Mwambieni huyo mtu aje na data ili tukimpinga kwa data asione kaonewa. Sisi (hasa mimi) siyo mjinga.
 
TANZANIA USD88
ELON MUSK USD193.6

next time tujaribu kutawaliwa na AI maana we have failed humanity
 
Piga kazi mkuu

IMG_20240326_135812.jpg
 
Kamishina wa PPP Mhe David Kafulila anasema "Wakati Rais Samia anaingia madarakani Uchumi wa Tanzania ulikuwa US$ 66BL Leo ni US$ 85BL sawa na ongezeko la US$19 wakati deni la nje ni US$ 5BL

View attachment 2945755
Kafulila nalo ni zimwi lingine linalosaka vyeo,tuache zimwi liendelee na kazi,huko nyuma alikuwa ni mtu kweli kweli Sijui nn kinaendelea kumtokea huyu kijana.
 
Kafulila akizungumza unamwelewa kirahisi sana,

Kafulila anatoa mifano rahisi ßana

Kafulila Hakika ni haxina kwa Taifa hili
 
Back
Top Bottom